Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Damn, nakupa big up mkuu kucheza na majina ya wahusika bila ya kujisahau wakati wa kutype kumhusu moja kwa moja,
mwambie ray asimwamni sana huyo waziri maana anaukaribu na mh, zephania
Tatu hili ndo la muhimu zaidi usimhusishe mh. Lawasa maana alishajiuzulu kitambo kwenye the board nowadays hayuko tena huko(kidding)
 
umenena hakika hata mie nimwambia afanye hivyo amesema ataanza mwaka huu........nilikuwa sana mpenzi wa vitabu zamani kwa sasa sijapata wa mtunzi anayenivutia kusoma vitabu vyake (nazungumzia vya kiswahili)


Jamaa anajua.. The bold ukitoa novel ni pm, at any reasonable cost nitanunua. The ni add kwenye tag list yako maana nimekuwa zaidi ya teja..
 
Heshima yako mkuu na tulizo la moyo la The Bold….
Naomba umwambie mheshimiwa kama hatajari sana zile updates za Episodes pale page ya kwanza awe anaziandika kwa juu kabsa na sio kule chini maana tunaotumia simu tunapata tabu kidogo kuscroll mpaka kule chini ya Episode ya 1 kuangalia updates.
Nimekufurahisha na nini mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom