Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

"hawa ndio mafala wanaotugongea mademu zetu vyuoni, wanajifanya 'wajasiriamali' kumbe wazee wa kitengo".
Ray bwana anawaza mademu tuuuuuuuuuuuuuu, ahsante sana mkuu sikuwaza kabisaaa kama baba Bite atakuwa usalama wa Taifa nlichojua kuwa na yy ni wale waleeeeeee
 
Episode ya 5 umeiunda kiconspiracy hatari, na hao wahusika ungetumia majina tofauti kabisa
 
Daah sijaenda Lunch kabisa asante The bold .......umenikumbusha Inspekta Kombora anapokuwa anamkabidhi Joram tarifa fulani........Ray lazima atakuwa mjuzi zaidi ya wengine kwa maana nyingine ndio Will Gamba au Joram Kiango wetu hahahaha


Ray hana qualifications za Willy Gamba au Joram Kiango, kutaka kumvalisha Ray viatu vya hao ni mwanzo wa kuiharibu story nzima mwishoni mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom