Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,594
- 5,568
Mkuu mimi nitamuomba Producer ( the Bold) niwe Tony(afisa mikopo FINCA na demu wangu awe Grace(Mfanyakazi wa Tigo)
Wale majirani zake wala bata proffesional..
Hapa unacheza scene chache lakini za bata la nguvu..!
Club, swimming, kuna kwa kitanda....
Afu pia si unajua Tigo wanaajiri Watoto Visuuu....! So lazima nilitewe visu kama vile vya Tigo...
Wakuu nitakuwa Tony mla bata
Ujue wewe nshakuelewa hutak ufike mwisho wa series ila utakapoonekana lazima ufanye madhara