Wakuu,
Kutokana na sababu za kimaadili na kujaribu simulizi hii iendelee pasipo mushkeli.. Inanipasa kubadili baadhi ya majina ya wahusika..
Wahusika hao na majina yao ya sasa ni kama ifuatavyo, pasipo kutaja majina yao ya awali;
1. Waziri - Mhe. Charles Wangwe
2. Mwanachama wa The Board aliyekuwa mbunge na kujiuzuru miaka michache iliyopita - Khalid Mohammed
3. Askofu mwanachama wa The Board - Askofu Eliyah Kamei
4. Kampuni ya Utafutaji mafuta Morogoro - Quebec Energy.
Kwahiyo, kuanzia Episode hii ya 5 ambayo nimeiweka tayari nimebadilisha majina ya wahusika hao na na episode zote zinazofuata wahusika hao watafahamika kama inavyoonekana hapo juu..
Samahani kwa usumbufu!
Shukarani..