johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
mkuu unaisemaje? kwanza story yake umielewa?Shooter tv series naiangalia ila sijui kwa nini sina mzuka nayo kiivyo. Sijui kwa sababu niliiona movie yake. Kuna series nyengine inaitwa designated survivor ni nzuri sana mambo hayohayo ya FBI
Enewei maoni yako hayo ngoja niicheki hyo designated survivor
ili kukabiliana na hii arosto