Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Episode 5
Baada ya kuingizwa kwenye gari nkawakuta jamaa wengine wawili walovalia mavazi yanayofanana na wale walonikamata
Nkajidai kuwahoji kwani nmefanya nn hadi kunikamata vile?Jamaa mmja akanijbu kwa usalama wangu natakiwa kutulia tuu lkn endapo nitafanya kinyume na hapo ntawajua wale n kina nani
'Nkajidai kufoka kidume nyie wapuuzi wakubwa naomben mniambie nyie ni kina nani jamaa mmja akaniambia unataka utujue sisi ni kina nani?
Nkamjbu ndio hapo hapo nkashtukiwa nmenaswa bonge ya kofi hadi nkaona nyota na punde si punde nkaishilia kwenye usingizi wa ajabu,mara nkaanza kuota wamemkamata Isack wamemtesa sanaaa,pia haikutosha wakamkamata na cheupe wangu
Salaleeee roho ikapitwa kuona jamaa wamemchukua ka moyo mashine kangu
Hahahaha
Itaendelea baadae
Kupata hadithi hii tafadhali tuma neno Bold kwenda namba 001 Nifah

Eti salaleeeee
 
Niko tayar ila sio UHUSIKA WA BABA BITE
Mkuu mimi nitamuomba Producer ( the Bold) niwe Tony(afisa mikopo FINCA na demu wangu awe Grace(Mfanyakazi wa Tigo)

Wale majirani zake wala bata proffesional..

Hapa unacheza scene chache lakini za bata la nguvu..!
Club, swimming, kuna kwa kitanda....

Afu pia si unajua Tigo wanaajiri Watoto Visuuu....! So lazima nilitewe visu kama vile vya Tigo...

Wakuu nitakuwa Tony mla bata
 
Kila ka heri mkuu ila tigo isiwe 071
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom