Viongozi wengi kuoa Uchagani. Kuna nini huko?

Viongozi wengi kuoa Uchagani. Kuna nini huko?

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
11. Oscar Kambona,
12. Benjamin Mkapa,
13. Job Ndugai,
14. Joseph Warioba,
15. Dr Hamish Kigwangala,

**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?

NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema.

****Zunguka kwenye kumbi za harusi kwenye miji mikubwa Tanganyika. Katika kumbi 10 haukosi mabinti 9 (90%) wa kichaga wanaolewa.
 
I
Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba,
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso,
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo,
9. Lawrence Mafuru.

**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani imechomoza kwenye huu mtanange.
Ingekua na Nyerere ameoa uchagani hapo tungeongea
 
Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.

**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?
Wachaga wanatongoza wenyewe! Ndiyo mafanikio ya kuolewa wachaga
 
Ndio ndugu, jaribu kuishi na mtu wa hiyo jamaa wa kipato chochote alafu uwe unamuangalia mtazano wake katika mambo mbalimbali, alafu fanya ku compare na watu wa jamii nyingine utaina kuna tofauti
Niliwahi kupata demu wa Tanga zaidi ya mauno ni kuomba pesa Tu. Nothing more she could offer.
 
Ukweli huu hapa,usiulize kwengine kokote kule

Hawa huwa wanaambiwa kabisa wawe karibu na watu ambao wanaonekana wana future

Kwahiyo tangu mkiwa shuleni au chuo huwa wanaspot watu makini na wenye mwelekeo wa maendeleo au wenye connection

Kwahiyo mwana kama unaona mtoto wa kichaga anakuzengea zengea basi jua kaona fursa

Huo ndio mpango mzima

Ila msisahau

Amani ni tunu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
 
Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.

**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?

NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema
shida hawa ndugu zetu wachaga ukiolea huko ni kama umeshajikabidhi kwa islael mtoa roho mda wowote parapanda inalia!, tamaa na jeuri mixer kiburi ndo zao.
 
Ukweli huu hapa,usiulize kwengine kokote kule

Hawa huwa wanaambiwa kabisa wawe karibu na watu ambao wanaonekana wana future

Kwahiyo tangu mkiwa shuleni au chuo huwa wanaspot watu makini na wenye mwelekeo wa maendeleo au wenye connection

Kwahiyo mwana kama unaona mtoto wa kichaga anakuzengea zengea basi jua kaona fursa

Huo ndio mpango mzima

Ila msisahau

Amani ni tunu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Hapo mwisho ndio umeharibu ujumbe wote umekosa maana!!..
 
Ukweli huu hapa,usiulize kwengine kokote kule

Hawa huwa wanaambiwa kabisa wawe karibu na watu ambao wanaonekana wana future

Kwahiyo tangu mkiwa shuleni au chuo huwa wanaspot watu makini na wenye mwelekeo wa maendeleo au wenye connection

Kwahiyo mwana kama unaona mtoto wa kichaga anakuzengea zengea basi jua kaona fursa

Huo ndio mpango mzima

Ila msisahau

Amani ni tunu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

Wanaambiwa na Nani?
Jamii zingine haziambii mabinti zao?

Hao wenye future wanalazimishwa kuoa hao wachaga?

Maana umetoa hoja yako kana kwamba waoaji(wanaume) wao ni mazuzu hawajui kilichobora kwao.

Wewe Kila mwanamke akikuzengea zengea utamuoa? Au ulimuoa mwanamke anayekuzengea zengea?

Kwa nini unaukimbia ukweli kuwa hao mabinti za kichaga kuna sehemu wamewazidi mabinti wa jamii zingine?
 
Ukweli huu hapa,usiulize kwengine kokote kule

Hawa huwa wanaambiwa kabisa wawe karibu na watu ambao wanaonekana wana future

Kwahiyo tangu mkiwa shuleni au chuo huwa wanaspot watu makini na wenye mwelekeo wa maendeleo au wenye connection

Kwahiyo mwana kama unaona mtoto wa kichaga anakuzengea zengea basi jua kaona fursa

Huo ndio mpango mzima

Ila msisahau

Amani ni tunu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Mambo ya fursa kunammoja amesema kabisa mtoto mmoja atatfuta mwanaume mwenye pesa wakuzaa nae na anamume tayari 😀😀😀😀
 
Hivi hao 11 waliooa Uchagani ni wengi? Tukiorodhesha list kwa mfano wanajeshi top 11 waliooa uchagan wapo wangapi? Nenda sekta ingine. Hapa haujafanya uchambuzi wa kutosha kusapoti hoja yako. Sema tu imekua ni kawaida kipindi hiki kufungua nyuzi za kuwasifia wachaga.
Angalizo, mimi pia ni mchaga wa Kirua Vunjo ila nimeoa watani. zangu wasambaa.
 
Hivi hao 11 waliooa Uchagani ni wengi? Tukiorodhesha list kwa mfano wanajeshi top 11 waliooa uchagan wapo wangapi? Nenda sekta ingine. Hapa haujafaya uchambuzi wa kutosha kusapoti hoja yako. Sema tu imekua ni kawaida kipindi hiki kufungua nyuzi za kuwasifia wachaga.
Angalizo, mimi pia ni mchaga wa Kirua Vunjo ila nimeoa watani. zangu wasambaa.
Wewe Mchaga Ulitaka uolewe wewe na Kiongozi? Soma mada, elewa mada. Wewe ni Kiongozi?
 
Back
Top Bottom