Viongozi wengi kuoa Uchagani. Kuna nini huko?

Viongozi wengi kuoa Uchagani. Kuna nini huko?

Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
11. Oscar Kambona,
12. Benjamin Mkapa,
13. Job Ndugai,

**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?

NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema.

****Zunguka kwenye kumbi za harusi kwenye miji mikubwa Tanganyika. Katika kumbi 10 haukosi mabinti 9 (90%) wa kichaga wanaolewa.
Muongeze na Hamis kigwangala na mzee warioba kwenye list
 
Ukienda matembezi na Mwanamke wa kichagga ukiwa na elfu 50 chenji inarudi LAKINI toka na mwanamke CHASAKA laki tano itateketea
 
Ila watanzania buana Sasa wengine mnacholalamika Nini?? Yaaan eeeh hata mtu kusema tu viongozi baadhi kuoa wachaga nayo pia mioyo inawauma nakuwakereketa ....... Tunasafar ndefu
 
Hivi hao 11 waliooa Uchagani ni wengi? Tukiorodhesha list kwa mfano wanajeshi top 11 waliooa uchagan wapo wangapi? Nenda sekta ingine. Hapa haujafanya uchambuzi wa kutosha kusapoti hoja yako. Sema tu imekua ni kawaida kipindi hiki kufungua nyuzi za kuwasifia wachaga.
Angalizo, mimi pia ni mchaga wa Kirua Vunjo ila nimeoa watani. zangu wasambaa.
Wewe mchaga lakini huna marinda
 
Wachaga wameshawaelekeza mabinti zao kuhakikisha wanaolewa na wenye hela. Sio kwamba hao viongozi wanawapenda sana hao mabinti wa kichaga.
 
Back
Top Bottom