mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,489
- 4,977
Nchi nzima inawanaume hao tu uliowaorodheshea?
Mbona mimi sjaoa huko na maisha yangu ni mazuri tu
Hao waliooa huko ndo wanaodaiwa damu za watanganyika?