FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,401
- 2,752
Ni kama babu yako. Tatizo mliimba sana nyimbo za huyo mpuuzi shule kwa hiyo sikulaumu.Babu yako ni nani nchi hii?
Ni kama babu yako. Tatizo mliimba sana nyimbo za huyo mpuuzi shule kwa hiyo sikulaumu.Babu yako ni nani nchi hii?
Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
11. Oscar Kambona,
12. Benjamin Mkapa.
**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?
NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema.
****Zunguka kwenye kumbi za harusi kwenye mini mikubwa Tanganyika. Katika kumbi 10 haukosi mabinti 9 (90%) wanaolewa.
Hivi huyu waga ni dem kumbe?Binti una akili fupi mno
Amani ya kugongewa kila siku au amani ipi unaongelea wewe dadaUkitaka kuishi ndoa yenye amani na furaha,oa pwani
Miaka takribani 20 na kadhaa Baba mkubwa alimwambia mama yetu mzazi na sisi tukiwepo..shida hawa ndugu zetu wachaga ukiolea huko ni kama umeshajikabidhi kwa islael mtoa roho mda wowote parapanda inalia!, tamaa na jeuri mixer kiburi ndo zao.
Kwamba wanawake wasio wa pwani ukioa hugongewiAmani ya kugongewa kila siku au amani ipi unaongelea wewe dada
Orodha aliyoitoa mtoa mada ni viongozi waliozaliwa miaka ya 70-80 ambao robo au nusu Yao wameoa wachaga.
Sababu kubwa hapo ni kuwa miaka hiyo hasa kuelekea 90 mabinti wengi wa kichaga walipelekwa pelekwa shule na wanaelimu aidha ualimu, unesi, uhasibu n.k.
Hivyo wengi walifit vigezo vya wanaume waliokuwa wamejiingiza kwenye uongozi au biashara.
Sio kwamba mabinti wa makabila mengine hawakuwa wamesoma ila walikuwa wachache. Tofauti na Wachaga ambao ni wengi ukilinganisha na jamii zingine.
Hii ni tofauti na miaka kabla ya uhuru na wakati WA Uhuru 1961-1970.
Kwa sasa viongozi wengi wanaoa makabila mengine na sio wachaga tuu kwa sababu ya mabinti wengi pia wa jamii zingine wamesoma.
Lakini pia wameamka na tabia zingine za uchapakazi.
Kingine ukioa uchagani ni ngumu kupata usumbufu wa kupigwa vizinga au kubebeshwa mizigo ya familia ya mkeo. Hii pia ni sababu.
Utakutana na changamoto zingine lakini sio hiyo.
Kingine mabinti wa kichaga au wakwe wachaga kama wanauwezo hawaoni shida kusaidia WAKWE zao na mabinti zao. Hii ni tofauti na jamii zingine.
Ambapo ukioa umeoa natatizo ya ukoo mzima
Unadhan mabinti wa kichaga wanachukua mazombi kama wewe? Wana choice pia hawaolewi na yeyote tuUna hoja, Lkn Kwa upande mwingine kaka zao hawataki kuwaoa hao mabinti 😃
Boss wangu mmoja aliniambia, Baba yake alimuambia ukija kuoa Hao watu mm sio Baba yako
Akaenda kujichukuliq Iringa huko, na wanafamilia kubwa tu.
So haya mambo ya ndoa, Ni mtu na mtu sana, Mimi nawapenda wachaga kwakua ni pisi kali + Viko smart kichwani Ila swala la kuoa huko bado nali tafiti 😃
Alikuwa na mchepuko permanent wa Kichagga wa Kimachame. Ndiyo ulikuwa unamtuliza.I
Ingekua na Nyerere ameoa uchagani hapo tungeongea
NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema.
****Zunguka kwenye kumbi za harusi kwenye miji mikubwa Tanganyika. Katika kumbi 10 haukosi mabinti 9 (90%) wanaolewa.
Kwa mtu mvivu mvivu kama wewe utaona Wana jeuri tamaa au kiburi unabidi upambane utafute pesaa Mzee dada zetu hawapendi mafala Yan wewe uweke Pumbu juu dada zangu wakakutafutie ni lazima wakuletee jeuri na dharau Sasa si Bora ukapigwe Pumbu wewe ulete Hela kama umeweka hizo ball juu juu huku hamna Ratiba na Mitikasishida hawa ndugu zetu wachaga ukiolea huko ni kama umeshajikabidhi kwa islael mtoa roho mda wowote parapanda inalia!, tamaa na jeuri mixer kiburi ndo zao.
kenge mmoja we!, kuwa na adabu, kima we.Kwa mtu mvivu mvivu kama wewe utaona Wana jeuri tamaa au kiburi unabidi upambane utafute pesaa Mzee dada zetu hawapendi mafala Yan wewe uweke Pumbu juu dada zangu wakakutafutie ni lazima wakuletee jeuri na dharau Sasa si Bora ukapigwe Pumbu wewe ulete Hela kama umeweka hizo ball juu juu huku hamna Ratiba na Mitikasi
NB: Hata vikao vyetu vya Dec tunaangalia wapi tumekwama,kama familia wapi tumetoka na wapi tunakwenda hatupendi kudiscuss mtu wala sio show off ya misururu ya magari Pale tunaweka maazimio Kila Jiji,Miji mpka Chocho zote za Dunia
Dah!Niliwahi kupata demu wa Tanga zaidi ya mauno ni kuomba pesa Tu. Nothing more she could offer.
Hahahaha!kenge mmoja we!, kuwa na adabu, kima we.