Viongozi wengi kuoa Uchagani. Kuna nini huko?

Viongozi wengi kuoa Uchagani. Kuna nini huko?

Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
11. Oscar Kambona,
12. Benjamin Mkapa.

**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?

NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema.

****Zunguka kwenye kumbi za harusi kwenye miji mikubwa Tanganyika. Katika kumbi 10 haukosi mabinti 9 (90%) wanaolewa.
Umemsahau Madilu system
 
Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
11. Oscar Kambona,
12. Benjamin Mkapa,
13. Job Ndugai,

**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?

NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema.

****Zunguka kwenye kumbi za harusi kwenye miji mikubwa Tanganyika. Katika kumbi 10 haukosi mabinti 9 (90%) wa kichaga wanaolewa.
Mchaga mjanja
 
Niliwahi kupata demu wa Tanga zaidi ya mauno ni kuomba pesa Tu. Nothing more she could offer.
Unajua kila jamii ina uniqueness yaksme ambayo hakuna jamii nyinyine inaweza fananan nayo, na hiyo huchangiwa na geographic ya eneo walilipo.. Angalia watu wa jamii ya Mbeya kwa ukarimu wao, angalia wamasai ya nature yao yakuishi kifamilia
 
Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
11. Oscar Kambona,
12. Benjamin Mkapa,
13. Job Ndugai,

**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?

NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema.

****Zunguka kwenye kumbi za harusi kwenye miji mikubwa Tanganyika. Katika kumbi 10 haukosi mabinti 9 (90%) wa kichaga wanaolewa.
13 ndio wengi? Halafu hapo kadhaa wanatoka maeneo ya huko huko sasa kipi cha ajabu?
 
Ukweli huu hapa,usiulize kwengine kokote kule

Hawa huwa wanaambiwa kabisa wawe karibu na watu ambao wanaonekana wana future

Kwahiyo tangu mkiwa shuleni au chuo huwa wanaspot watu makini na wenye mwelekeo wa maendeleo au wenye connection

Kwahiyo mwana kama unaona mtoto wa kichaga anakuzengea zengea basi jua kaona fursa

Huo ndio mpango mzima

Ila msisahau

Amani ni tunu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Wewe ndio umenena kitu cha ukweli.
 
Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
11. Oscar Kambona,
12. Benjamin Mkapa,
13. Job Ndugai,

**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?

NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema.

****Zunguka kwenye kumbi za harusi kwenye miji mikubwa Tanganyika. Katika kumbi 10 haukosi mabinti 9 (90%) wa kichaga wanaolewa.
Hussein Umemsahau Mkuu wa wakuu wa Mikoa Visiwani Mtoto wa Mzee Ruksa uongozi wa kurithi
 
Kwa miaka ya nyuma.

Walitangulia shule, Wengi wamekutana nao vyuoni, Mabinti wa kichaga ni wanyenyekevu wakiwa na jambo lao kichwani, which is good.

Utaniuliza wahaya pia walikuwa wengi mashuleni/vyuoni, Why waolewe wachaga na sio wahaya? Jibu unalo….. Mabinti wa kihaya wengi wako na pride kubwa, They do not settle for less, Na wengi wameolewa na wahaya wenzao ambao wako successfully, ama kielimu au kibiashara au diasporas. Kumbuka once viongozi wengi walikuwa masikini apeche alolo, masikini wengi hawawezi kuoa mtu mwenye pride, maana ni threat kwa ego yake. That’s sum up, why wachaga na sio wahaya wakati hawa wote walikuwa katika level moja ya elimu na exposure.

Chaga queens wanajua kumeza pride zao, they are good wives, until……

Nimeongea ukweli ninaoujua, i hope sijamuonea mtu.
Umemaliza kila kitu.
 
Mchaga yupo mawindon kila muda
Hatafutei kwa nguvu sana kama wengne
 
Back
Top Bottom