Beberu kashatoa karipio kali kupitia EU, the Commonwealth, USA, Sweden, etc. etc. kwamba uchaguzi ulikuwa mchafu.Vipi na mabeberu na wao watakuwepo?
Wenzetu wana misimamo, hawawezi kukandya uchaguzi halafu wakaja kupiga piga makofi na kuuza sura kwenye uapisho.
Watakuja waliopongeza uchaguzi, the Ugandas and Zimbabwes of the world....