Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Hujajibu swali. nimekuuliza baada ya kugundua ugonjwa Marekani kwa nini hakumpeleka kutibiwa? na akasubiri mpaka ikafika terminal stage?. Hata kama nikiwa Muhimbili nitahoji sababu za kumchelewesha mgonjwa iwapo ugonjwa ulijulikana mapema na ndugu walikuwa wanajua.

Wenzako wanasema mwl alikuwa amegoma kwenda kutibia, ila sasa wanajaribu kupindisha alikuwa anataka kwenda usa. KAma umesoma sredi yote kuna mjumbe amesema hivi.

"Mkapa alipoenda pale butiama na kumtaka mwl akatibie, mwl alimuuliza hivi, hivi wewe ulikuwa hujui mda wote huo mrefu naugua leo ndo unakuja?"
 
This is more than silly! Siasa za Tz. ni kama kucheza kamali...Nani asiyejua Mwl.aliugua na ilipaswa atibiwe na wote twafahamu alikuwa anaenda UK kwa matibabu sasa leo kumnyoshea mtu kidole kweli Watz. tuwe waoga na hizi tuhuma.
Mchafueni Mkapa kwa mambo mengine UFISADI na mapungufu mengine wakati na baada ya utawala wake, lakini hili kwa kweli mnamwonea. Asingempeleka UK kutibiwa lingezuka lingine. Jamani mungu yupo hizi dana dana tutaja jutia baadae.

Hivi mmetumwa au? Mbona mnapotosha? mwalimu alindwa kwa UCHUNGUZI na sio MATIBABU. au hamuoni tofauti? na hili alisema mwenyewe kwa kauli yake kuwa ni UCHUNGUZI na tusiwe na wasiwasi atarudi!
 
Julius kambarage Nyerere, hana ndugu anaeitwa Josephat, ndugu yake Nyerere tumjuae akiitwa Joseph, na huyu inasemekana alikuwa Chizi wa msimu.

Tunaomba ufafanuzi wa kina.
 
Julius kambarage Nyerere, hana ndugu anaeitwa Josephat, ndugu yake Nyerere tumjuae akiitwa Joseph, na huyu inasemekana alikuwa Chizi wa msimu.

Tunaomba ufafanuzi wa kina.
Zomba,
Usizungumzie jambo usilo na uhakika nalo. Ndiyo, alikuwepo Joseph (rip) Josephat (rip) na Julius. Joseph ndiye aliyeanzisha TANU Youth League.
 
Hawa wanataka kutuambia kwamba JKN ameuliwa na Mkapa kwa kushirikiana na daktari wake kwa upande wa tazania, na kwa upande wa uingereza ameuliwa na tony brea akishirikiana na hospitali nzima na madaktari hapo. Hawa jamaa ndo wanatka kutuambia hapa. Japo wanaruka kimanga.

Cha kujiuliza ni nini uingereza imefaidika kutokana na kumuua JKN? BAE?? ha ha ha ha

Mie naomba nikujibu hapo tu kuwa Tanzania sasa hivi who is the biggest investor nchini? Jibu unalo.

Mada nzito hii kwa tunaofahamu international politics hatushangai kwani tangu Nyerere aondoke katika medani za siasa za kimataifa hakuna kiongozi aliyekuwa anaweza kuwamudu wazungu kama Nyerere. I want to continue to believe baba yetu wa Taifa alifariki natural death but who knows with this CCM ze movie continues!!!
 
Wenzako wanasema mwl alikuwa amegoma kwenda kutibia, ila sasa wanajaribu kupindisha alikuwa anataka kwenda usa. KAma umesoma sredi yote kuna mjumbe amesema hivi.

"Mkapa alipoenda pale butiama na kumtaka mwl akatibie, mwl alimuuliza hivi, hivi wewe ulikuwa hujui mda wote huo mrefu naugua leo ndo unakuja?"
Hapo kwenye red ndo penye swali langu.
 
Kansa aliyopandikiziwa JKN aliipata through toilet paper south africa! walio-initiate na ni UWT !!! baada ya kupata go ahead ya watu wazito walio nje ya nchi hii, they tried several time to poisson him through food, they failed!

Nyerere alikuwa mwiba kwenye globalization though alikuwa dictator kwenye demokrasia!

what i remember,is nilikuwa south africa wakati mwalimu anakufa, na is truth, nilishuhudia pat ya watu kujipongeza mahala kwa kugongeana glas mbaya, nilishangaa sana baadaye ndiyo nikajagutuka ohooooooooo,mmojawapa ni yule jamaa anayesimamia shughuli za uchimbaji wa tanzanite ya wasouthafrika kule arusha

Bila kujali mleta hoja kajiunga na JF lini, mimi pia nikiangalia mtiririko wa matukio ya kuinajisi nchi baada ya kifo cha mwalimu, nabaki najiuliza swali kama lililoletwa na ndugu Shimbo.
......................
 
Hii habari ni kubwa na Mkapa amezidi kuchafuwa! Na mimi najiuliza masuali kadhaa kama vile...
1] Je, kitatokea nini katika taifa, katika CCM, katika uchaguzi mdogo huko Arusha, na kwa Mkapa...?
2] Je, ni nani atatowa majibu fasaha na majibu gani ili kukanusha habari hii? Je, ni serikali, Chama cha CCM, Mkapa au member nnoja wa familia ya Nyerere ...?
3] Je, Mh V. Nyerere ana data (risasi) zaidi anazoweza kuzitowa kama ikibidi? Je, anaweza kuzitoa katika mazingira yepi? Je, ukoo utaendelea kukubali kwa siri hizo kutoka?
4] Je, Tanzania itabaki salama na moja katika hali hii?

Ila nafahamu kuwa "hamkani si shwari tena"..mambo yatazidi kuwa worse. Kama ni kweli Mkapa hapaswi kuishi pamoja na wote waliogongeana glass za kufurahia kifo cha mzee anayeheshimika kama baba wa taifa la Tanzania.
 
Ushauri wa bure kwa Mh Vincent Nyerere ni kumtaka awe na ushahidi wa kutosha kusupoprt matamshi yake, matamshi ambayo ni serious stuff dhidi ya Rais mstaafu.
Hisia peek yake bado hazisimami despite all the sensationalism caused.
 
Duh! Na wewe umesikika bwana!

Mbona Mkapa hamkushauri hivyo mapema?
 
mzee MKAPA kama bado hujastuka ngoja nikudokezi siunajua hila za JMK ANAVYO wazunguka anajua kuwa wewe mbele ya wananchi waliowengi umechafuka hivyo yeye anakutanguliza ili utakacho sema utapatiwa majibu ya kukufedhehesha hebu muone mzee MWINYI AMEMSHTUKIA wala hataki tena kutumwa na JMK MWENYEWE ANAKULA pensheni yake taratibu MKAPA achana na jk atakuponja shauri yako nimejaribu tu kukudokeza :hurt:
 
Naona kama kweli vile

Mimi nina imani kuwa Baba wa TAIFA alikufa kifo cha kawaida kisichokuwa na mkono wa mtu, sema tu Vicent atakuwa amerudisha kwa hasira. Huwa nasikia tetesi kuwa mwalimu mwenyewe enzi za uhai wake alishawahi kusema kuwa kama kuna mtu atakuja kumuua yeye, basi yule mtu lazima awe ni chizi au kichaa, kitu ambacho kinapingana moja kwa moja na madai ya Vicent.
 
Hivi, wewe Gembe ungejibuje kama uhalali wa familia yako ungeshukiwa na kiongozi wa taifa?
Siwaelewi kabisa wanaomsakama na kumlaumu Vincent Josephat Kiboko Nyerere. He is a Nyerere for God's sake.
Tukubali kuwa Mkapa ndiye aliyekurupuka. Sasa wanamtafuta Makongoro awasaidie. Too late.

Na kama Makongoro atakubali kumtetea mtu aliyemtoa roho baba yake basi atalaanika yeye uzao wake wote.
 
Ndugu zangu mimi sitaki kuwa mshabiki wa upande wowote but kuhusu vifo vya viongozi makini africa na waliokua wanapinga western countries kuchukua resources zetu.....nenedeni mkaulize kilichowaua Kwame Nkurumah wa ghana na Haire Selassie wa Ethiopia. Mi naishia hapo bandugu
 
Mimi siamini kuwa mwl.Nyerere alikufa "Natuaral Death" na sina sababu hiyo kwa sababu huyo mzee angekuwa hai
  1. ubinafsishaji usingekuwepo au ungepingwa mno!
  2. Watawala wasingejilimbikizia mali kiasi hicho akiwemo mkapa
  3. Kama ulivyosikia kama alitishia awamu ya pili ya mkapa ya miaka mitano mtawala asingekubali kutemeshwa kitumbua na mashitaka juu.
  4. Kwa nini alazimishe atu apelekwe uingereza na atume wajumbe mara kwa mara!
  5. Kwanini afikishiwe hotelini mpaka azimie ndiyo apelekwe hospitali?

NB Mtawala kuuwa kwa ajiri ya Mali na Madaraka ni kawaida mno.
Mimi nina imani kuwa Baba wa TAIFA alikufa kifo cha kawaida kisichokuwa na mkono wa mtu, sema tu Vicent atakuwa amerudisha kwa hasira. Huwa nasikia tetesi kuwa mwalimu mwenyewe enzi za uhai wake alishawahi kusema kuwa kama kuna mtu atakuja kumuua yeye, basi yule mtu lazima awe ni chizi au kichaa, kitu ambacho kinapingana moja kwa moja na madai ya Vicent.
:emptybath:
 
1995 Nyerere aliingizwa mkenge na wajanja kuwa Mkapa anafaa wakati chaguo lake lilikuwa Salimu. Lakini JKN alikuja kugundua Mkapa kawa siye yule aliyembeba. Baada ya Mkapa kuingia tu Ikulu akaanza kuuza mashirika ya umma kwa mgongo wa ubinafsishaji kwa rafiki zake hasa wa SA akijua JKN hawezi mfanya lolote. Nyerere alikasirika sana akamwambia kwanini lakini? Mkapa akamjibu hatuwezi kukwepa impact ya globalization. Well but don't touch (MY) NBC. Baada ya Mkapa kuona mchonga kakasirika wenzake ABSA wakamshauri aigawe NBC, by 1997 zikawa NBC 3. Nyerere aliijua hiyo mbinu ila hakuwa na uwezo tena wa kuzuia akawa anasema pembeni kama kunung'unika vile, wakaona isiwe tabu ndipo walipoanza kutafuta alternatives kwa kushirikiana na TISS. Baada ya kifo chake 1999 haukupita hata mwaka NBC(1997) ikauzwa SA. Watu wana connect dots. Kama mtakumbuka Mwakyusa aliyekuwa dokta wake siku chache kabla ya kifo familia ya Nyerere ilimpiga marufuku kwenda hosptali alikolazwa London.

Wajanja unaowasema Salim naye alikuwamo then. Kwa sababu waliomshinikiza Mkapa kugombea alikua ni Warioba, Adam Marwa, Butiku na Salim. Salim aligoma kugombea 1995, akitoa sababu kuwa anataka kumalizia muda wake AU au OAU wakati huo, akijua kuwa atagombea 2005, na Mwalimu atakuwepo wakati huo. Aligombea kweli 2005, lakini Mwalimu hakuwepo.

Issue ya NBC, Mwalimu Nyerere alipelekewa taarifa Msasani na ujumbe wa watu wawili, Daudi Ballali na Anna Muganda akiwa mshauri wa rais kwenye masuala ya uchumi. Pia Anna Muganda na familia nzima ya Muganda ni marafiki wa karibu wa familia ya Mwalimu Nyerere, kabla hawajaoana. Walikwenda kumwelezea Mwalimu Nyerere njama za NBC kutaka kuuzwa kwa Barclays, na wahusika walikua ni waziri wa fedha wakati huo, Yona. Na Ballali alimwambia Mwalimu Nyerere kuwa kuna viongozi wenye "vested interests" kwenye kuuzwa NBC kwa Barclays.
 
Baada ya kuona serikali ya JK imetuliza mawimbi na kwamba hazomewi tena kwamba ni FISADI, amejisahau na kujiona ni msafi sana.

Sasa si kuzomewa tu. Anahitaji kupopolewa kila anapoonekana na kila Mtanzania aliyempenda Nyerere na mwenye uchungu na nchi hii!!!
 
Julius kambarage Nyerere, hana ndugu anaeitwa Josephat, ndugu yake Nyerere tumjuae akiitwa Joseph, na huyu inasemekana alikuwa Chizi wa msimu.

Tunaomba ufafanuzi wa kina.
Kwani Nyerere alikuwa na wake wangapi inaonesha wewe unaijua familia ya Nyerere vizuri je wewe ni sehemu a wake zake...
 
Back
Top Bottom