Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Baba wa Ufisadi Tanzania alituulia Baba wa Taifa la Tanzania! Ukweli unaanza kujiweka wazi taratibu....circumstantial evidence zilizokuwa ziemsambaa kuhusu kifo cha Baba wa Taifa zinaanza kupata facts moja baada ya nyingine. Mwisho u karibu na ni hapa hapa duniani!
 
Wajanja unaowasema Salim naye alikuwamo then. Kwa sababu waliomshinikiza Mkapa kugombea alikua ni Warioba, Adam Marwa, Butiku na Salim. Salim aligoma kugombea 1995, akitoa sababu kuwa anataka kumalizia muda wake AU au OAU wakati huo, akijua kuwa atagombea 2005, na Mwalimu atakuwepo wakati huo. Aligombea kweli 2005, lakini Mwalimu hakuwepo.

Issue ya NBC, Mwalimu Nyerere alipelekewa taarifa Msasani na ujumbe wa watu wawili, Daudi Ballali na Anna Muganda akiwa mshauri wa rais kwenye masuala ya uchumi. Pia Anna Muganda na familia nzima ya Muganda ni marafiki wa karibu wa familia ya Mwalimu Nyerere, kabla hawajaoana. Walikwenda kumwelezea Mwalimu Nyerere njama za NBC kutaka kuuzwa kwa Barclays, na wahusika walikua ni waziri wa fedha wakati huo, Yona. Na Ballali alimwambia Mwalimu Nyerere kuwa kuna viongozi wenye "vested interests" kwenye kuuzwa NBC kwa Barclays.
mkuu funguka zaidi hapo ktk njama za kuuzwa NBC!
 
Julius kambarage Nyerere, hana ndugu anaeitwa Josephat, ndugu yake Nyerere tumjuae akiitwa Joseph, na huyu inasemekana alikuwa Chizi wa msimu.

Tunaomba ufafanuzi wa kina.

MADARAKA Nyerere ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ameibuka na kuthibitisha kuwa Mbunge wa sasa wa Musoma mjini (Chadema), Vincent Nyerere ni mdogo wao na mwanafamilia hiyo, kwani ni mtoto wa baba yao mdogo, Josephat Kiboko Nyerere.
…Katika jibu lake alilolituma kwa barua pepe Madaraka alisema; “Naomba kutoa maelezo yafuatayo kuhusu yanayozungumzwa kwenye kampeni za uchaguzi wa Arumeru; Ili kuepuka kujiingiza kwenye masuala ya kampeni, nitajibu sehemu ndogo sana ya maswali yako”.

Aliongeza “Nataka kuthibitisha tu kuwa Mhe. Vincent Nyerere ni ndugu yetu, mtoto wa marehemu baba yetu mdogo, Mzee Josephat Kiboko Nyerere…”

Source: http://www.mwananchi.co.tz/componen...ry/21115-madaraka-nyerere-amuumbua-mkapa.html
 
Kinachonishangaza mimi ni kwa nini tuhuma nzito kama hizi zisubiri kampeni za Arumeru ndipo zitolewe hadharani.
Tulilia wote kwenye msiba mwezi mzima, baada ya hapo tuhuma hizi wangepewa wanaharakati wazisimamie Mahakamani.
Sio zingoje miaka zaidi ya 10 imepita, ndipo mtu aanze kubwabwaja, tena sio kwa kutoa ushahidi Mahakamani bali kwenye kwenye majukwaa ya siasa na kampeni za uchaguzi Arumeru.
Inaniashiria kitu kimoja tu. Uongo wa kinafiki na kampeni za majitaka.
 
kazi kweli kweli,tatizo watz ni wanafiki humu humu JF watu walikuwa wanamtetea mkapa kama mr clean.Sasa kawagusa ndio mnaanza kusema ukweli.Mkapa ni mwizi,mbabe tena mjeuri.Waulize waandishi kipindi cha utawala wake,alivyowabana.Waulize wapinzani alivyowashughulikia.Kila aliyepingana nae anamnyang'anya uraia.
 
MADARAKA Nyerere ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ameibuka na kuthibitisha kuwa Mbunge wa sasa wa Musoma mjini (Chadema), Vincent Nyerere ni mdogo wao na mwanafamilia hiyo, kwani ni mtoto wa baba yao mdogo, Josephat Kiboko Nyerere.
…Katika jibu lake alilolituma kwa barua pepe Madaraka alisema; "Naomba kutoa maelezo yafuatayo kuhusu yanayozungumzwa kwenye kampeni za uchaguzi wa Arumeru; Ili kuepuka kujiingiza kwenye masuala ya kampeni, nitajibu sehemu ndogo sana ya maswali yako".

Aliongeza "Nataka kuthibitisha tu kuwa Mhe. Vincent Nyerere ni ndugu yetu, mtoto wa marehemu baba yetu mdogo, Mzee Josephat Kiboko Nyerere…"

Source: Madaraka Nyerere amuumbua Mkapa

mkuu
unakuwa kama humfahamu ZOMBA yeye huwa analengo la kuharibu mada na hata ulichokiweka hapa bado ataendelea kukipinga kwa nguvu zote kana kwamba nae ni mtoto wa nne wa Mwal Nyerere
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Alipewa uwaziri wa afya baada ya nyerere kufariki soma magazeti ya leo utmouna sura yake nasikia kikwete anataka kumpa tena baada ya MPONDA kuchemsha...duh!!!inaonekana huyo mheshimiwa anasiri nzito saana. Vincent ameongea kwa niaba ya familia inaonekana familia ya nyerere wana dongo zito saana ..ni bora mkapa arudi dar na aachane na siasa manake vincent kawasha moto mkali saana!!!
 
Najaribu kufikiri sipati jibu. Mtoto au Si mtoto Wa Nyerere au nani kamuua nani. Arumeru Si Uwanja wake . Tuhuma za mtu aliyesababisha kifo cha baba yangu au ndugu yangu siwezi kuzimwaga jukwaani...
 
Huyu Vincent angeulizia kwa wenzie kwanza,AMINA CHIFUPA YUPO WAPI? Kama amejibiwa Ipasavyo basi angenyamaza kwa Maslahi yake na familia
Acha uoga...uoga ni dhambi...acha kutisha wenzako...hakuna mapambano yasiyo na gharama...ndiyo atakufa wao wataenda wapi? tuuache ukweli uwe wazi tujifunze..unaua baba yako kwa ajili ya mali "hata ukiupata ulimwengu wote utakusaidia nini?
 
Ama kweli, hili ni Taifa la waaminio katika KIKOMBE cha BABU!
Hivi huyu Kiboko Josephat siye yule ndugu yake Mwalimu aliyekuwa zimefyatuka?
 
Najaribu kufikiri sipati jibu. Mtoto au Si mtoto Wa Nyerere au nani kamuua nani. Arumeru Si Uwanja wake . Tuhuma za mtu aliyesababisha kifo cha baba yangu au ndugu yangu siwezi kuzimwaga jukwaani...
unataka zimwagiwe wapi?
 
Ama kweli, hili ni Taifa la waaminio katika KIKOMBE cha BABU! Hivi huyu Kiboko Josephat siye yule ndugu yake Mwalimu aliyekuwa zimefyatuka?
wewe ni mtoto wa ngapi wa nyerere? Manaa tunaambiwa mkapa ni wa 4
 
Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki (Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu, huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia, alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa (kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JamiiForums

Kweli nimeamini kuwa, Kila mchuma janga hula na wakwao. Hili watalila magamba!
 
mkuu funguka zaidi hapo ktk njama za kuuzwa NBC!

kweli hapa tumejaa wazushi, Je unafahamu kuwa Mwalimu ndiye aliyekwenda Washington DC kumwakilisha Mkapa enzi hizo kuongea na Wolfehson akiwa Rais wa Benki ya Dunia kuinusuru NBC na NMB? na Mwalimu alifanya hivyo? Na ndiye maana Leo bado zipo! Kama silo Mkapa kushirkiana na Mwalimu, leo hii mngebakiwa na Meridian Biao🙂 na mabenki ya nje tu!

kuhusu kubinafishwa kwa NBC na MNB Mkapa amegeuzwa Baniani, kiatu chake dawa🙂 na mumshukuru Mwalimu kuridhia kufana kazi hiyo kwa niaba ya Mkapa🙂 ushauri wa wakubwa ulikuwa tusiwe na mabenki yetu wenyewe!
 
Duh.. wana forum mnaangamiza....na huyu Nyerere mdogo kaiweka vibaya.Tulizoea akina Mtikila and the sorts enzi hizo democrasia ilikuwepo manchinjioni TZ(angalau leo imerudishwa zizini ije chinjwa kesho wabongo wakilala). Nadhani huu ubishi wao hao jamaa wasipouweka vizuri in such uwe na exit door.Yaani uishe vizuri bila kuleta mushkeli,kwa huyu kijana thibitisha au mzee kujitetea kuthibitisha si yeye patakuwa salama.Ila sasa dola ikiingilia vibaya ndio mwisho wa serikali ya CCM.angalia hizi scenarios.
Imagine dogo anabanwa,akshindwa thibitisha, sheria ikachukua mkondo wake+ vijisifa vya chama tawala vikaingia wakatoa adhabu bila mawazo km alivyohukumiwa zitto na akina Mudhihir.CDM+familia ya Nyerere+ktk CCM wenyewe kuna wengi hawakuwa wakiamini kuwa alikufa natural death.Na kuna hawa ambao baada ya kusikia hii habari ndio vichwa vikaanza weka puzzles pamoja.Hii haitofutika na itaamsha fikra za wale wenye wasiwasi na vifo vya akina sokoine,kolimba, malima sr(hii minong`ono ipo mitaani long time).Tayari kuna ya viongozi wanaoumwa nayo inaongelewa wazi sana.Hii ni ishara tosha ya kugawa familia za viongozi, taasisi na jamii zilizopo nyuma yao.
Imagine dogo anathibitisha, kuna wale waliokuwa wanaamini hilo lipo ila hofu ya kuuwawa ipo ktk vichwa vyao, na km ni kweli kuna wale walioshiki watakuwa wanajenga mazingira ya kupunguza adhabu kwa kuangusha zigo kwa jemedari wa siku hizo.Bado mmadui wa mkapa na utawala wake na hasira ya watanzania na wana CCM wanaoamini mwalimu angekuwepo CCM ingewafaa na kuwakilisha mchango wao wa muda mrefu.
Nadhani hawa jamaa wajitahidi waweke exit door ya haya malumbano, ingawa tayari jini keshatoka ktk chupa.y akaina mtikila yalikuwa yakiisha kimyakimya kwa vile mtikila naye ana maeneo yasiyowavutia watu na waandishi wa habari kwa hiyo hata ushindi wake hauonekani sana.Ingawa watu hawaelewi ni kwanini pamoja na mabomba yake hawamwoni akila mvua za kutosha ukonga. All in all hii habari imekaa vibaya.
 
kweli hapa tumejaa wazushi, Je unafahamu kuwa Mwalimu ndiye aliyekwenda Washington DC kumwakilisha Mkapa enzi hizo kuongea na Wolfehson akiwa Rais wa Benki ya Dunia kuinusuru NBC na NMB? na Mwalimu alifanya hivyo? Na ndiye maana Leo bado zipo! Kama silo Mkapa kushirkiana na Mwalimu, leo hii mngebakiwa na Meridian Biao🙂 na mabenki ya nje tu!

kuhusu kubinafishwa kwa NBC na MNB Mkapa amegeuzwa Baniani, kiatu chake dawa🙂 na mumshukuru Mwalimu kuridhia kufana kazi hiyo kwa niaba ya Mkapa🙂 ushauri wa wakubwa ulikuwa tusiwe na mabenki yetu wenyewe!
Mkuu wangu tupe source ya habari yako.. Tunajua vizuri kwamba NBC ilikuwa isiuzwe na hata Nyerere alipoambiwa mpango huu wa kifisadi, alikwenda Ikulu na kumkuta Mkapa Nzwiiii akitembea na ukuta. Jamani tunajua fika kuuzwa kwa NBC ilikuwa mpango wa Mkapa, sema jingine.
 
Mkuu wangu tupe source ya habari yako.. Tunajua vizuri kwamba NBC ilikuwa isiuzwe na hata Nyerere alipoambiwa mpango huu wa kifisadi, alikwenda Ikulu na kumkuta Mkapa Nzwiiii akitembea na ukuta. Jamani tunajua fika kuuzwa kwa NBC ilikuwa mpango wa Mkapa, sema jingine.

Kaka,

Na wewe huko kwenye hii ligi?
 
Back
Top Bottom