Mkuu,
Huyu mtanzania ni mwanasiasa na aligombea Ubunge kule Kyela, nimemuuliza ana maoni gani kuhusu Afya ya Mwakyembe sijui alichojibu...
Nadhani ni mtu ambaye anajifanya kutokubali ukweli huenda kwa makusudi au vinginevyo, iwe Mkapa anahusika au ahusiki ila lazima tukiri kwamba wako watu uuawa kwa sababu za kibinadamu na vipo vifo vitokanavyo na mikono ya wanadamu, kuamini haya si lazima uwe mmoja wa watu walioenda Loliondo kwa Babu kunywa kikombe.
Na huenda Bw. Mtanzania anafurahia maradhi yaliyompata candidate mwenzake huko Kyela...
Cheap politics, gutter politics. Sitaingia huku mkuu wangu. Kama wewe unafurahia watu ambao umewahi kugombea nao vyeo kwa njia demokrasia ili wapate magonjwa na kufa basi hayo ni ya kwako ndugu yangu usitake kuingiza na wengine.