Did Mwalimu die a natural death?

what i remember,is nilikuwa south africa wakati mwalimu anakufa, na is truth, nilishuhudia pat ya watu kujipongeza mahala kwa kugongeana glas mbaya, nilishangaa sana baadaye ndiyo nikajagutuka ohooooooooo,mmojawapa ni yule jamaa anayesimamia shughuli za uchimbaji wa tanzanite ya wasouthafrika kule arusha

Bila kujali mleta hoja kajiunga na JF lini, mimi pia nikiangalia mtiririko wa matukio ya kuinajisi nchi baada ya kifo cha mwalimu, nabaki najiuliza swali kama lililoletwa na ndugu Shimbo.

Kansa aliyopandikiziwa JKN aliipata through toilet paper south africa! walio-initiate na ni UWT !!! baada ya kupata go ahead ya watu wazito walio nje ya nchi hii, they tried several time to poisson him through food, they failed!

Nyerere alikuwa mwiba kwenye globalization though alikuwa dictator kwenye demokrasia!
 
Kansa aliyopandikiziwa JKN aliipata through toilet paper south africa! walio-initiate na ni UWT !!! baada ya kupata go ahead ya watu wazito walio nje ya nchi hii, they tried several time to poisson him through food, they failed!

Nyerere alikuwa mwiba kwenye globalization though alikuwa dictator kwenye demokrasia!
Kweli ufisadi sio mchezo hadi walimuua mzeee wwtu. Never knew this
 
Wewe umekuja leo....na hii ndo post yako ya kwanza unaanza kupost utumbo.......what do you mean by natural death....what made u believe his deth (if not death) was not natural.... Karibu lakini jf si sehemu ya majungu...ni kwa wasomi ndugu yangu...utaumbuka...
 
Are you talking about Mwalimu the man or Mwalimu the ujamaa? Mwalimu the Ujamaa died naturally.

I like it
 
duh! Ngaiza tena? Yule mzee jamani acha tu,SOKOINE? CHACHAGE? Ms MBATIA. Acha bongo iitwe bongo!

Huyu si alishaanza kufa taratibu na kale kaugonjwa ketu? kwa watu waliokuwa nae karibu wanajua hili. Afya yake ilikuwa ni ya kupanda na kushuka kwa muda mrefu.
 
Waliosherehekea kifo cha Mwalimu hawakuwa Afrika kusini peke yake. Hata pale Magogoni walikuwepo.

Natumai hata yule jamaa mwenye kichwa cheupeeeeeeeeeeeeee alifurahi sana na genge lake la mafisadi wa Igunga.

Siku moja katika pitapita zangu nilimsikia jamaa mmoja pale UDSM akitamka kuwa wakati mwalimu akiwa hoi hospitalini kule UK, kiongozi mmoja mzito kabisa wa nchi alikwenda Marekani kuwaaambia kuwa yule jamaa anayezuia kuchimba madini yuko hoi hospitalini kamumalizieni.
 
Tusitoneshane vidonda na makovu yaliyopona... JKN apumzike kwa Amani... Ukweli kuujua ni kazi, zitabakia ni porojo tuu.. Bila evidence..
 
Jamani hebu tuwache majungu. Nyerere alikuwa na umri wa miaka 77 alipofariki, juu ya wastani wa watanzania wa kuishi.

Ktika umri wake kupata ugonjwa kama wa leukemia (cancer ya damu) ni kawaida kwa vile uwezo wa mwili kuhimili vishindo utakuwa umepungua sana.

Mama yangu mkubwa alifariki kwa ugonjwa kama huo katika umri wa miaka 80, na yeye naye alipewa sumu na nani?
 
Natural death ikoje na unnatural death ikoje ?

Heshima Mbele Kiranga,
nadhani umelipokea swali vizuri, na kabla hujachangia umeliombea ufafanuzi,

kwa upande mwingine nadhani JF inaanza kupungukiwa watu wenye werevu, Swali lilikuwa "Did mwalimu die a natural death? " lakini mtu anaanza kuingiza mambo ya Sokoine na vitu kama hivyo,

Nikijibu Swali lako Kiranga kwa uelewa wangu ni kuwa:
1) Natural Death nikwamba Mwili umeshafika mwisho wake wa kufanya kazi, moyo umeshindwa kufanya kazi yake, figo zina fail na vitu kama hivyo na hiyo inaweza kusababishwa na Uzee, Maradhi, nk

2) UnNatural Death ni Kifo kinachosababishwa (mechanical), Ajali, Kuuliwa kwa njia yoyote (Risasi, Panga, Moto, Maji, Sumu nk)
 
Back
Top Bottom