Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki (Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu, huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia, alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa (kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JamiiForums
Si mchezo Ngoma nzito.
 
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali
Si ndio umefufua huu mkaburi 😒😒
 
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali
Ungetaka uzi ufutwe au usahaulike ungepiga kimya tu
 
Nyongeza ya maisha ya binadamu anayostahili kupewa na Mwenyezi Mungu, ni mpaka ufikishe miaka mingapi?
Yesu aliishi miaka 33 ulimwenguni, kuishi miaka mingi hakuna uhusiano na baraka za Mungu ila kuishi ulimwengu ni vile ambavyo Mungu amekusudia yeye.
 
Yesu aliishi miaka 33 ulimwenguni, kuishi miaka mingi hakuna uhusiano na baraka za Mungu ila kuishi ulimwengu ni vile ambavyo Mungu amekusudia yeye.
Bila shaka kwa majibu haya Eli79 niliyo quote hapo juu ata edit alichokiandika!
 
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali

Kwanini ufutwe Mkuu!? Hiyo ni historia na kawaida huwa haifutiki!
 
aisee, Mkapa atakuja kufa kifo kibaya. Ametenda dhambi ambayo dunia nzima hawatamsamehe.Kumbe familia ya mwalimu ni wavumilivu sana.Wameamua kuumia wakati muuaji wanamjua.Tunashukuru kuwepo uchaguzi Arumeru hili la Mkapa kumuua mwalimu tungelijuaje.Majonzi ya watanzania yameanza upya.Mwenyezi Mungu atutie nguvu.
Aisee
 
Back
Top Bottom