JAPUONY
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 383
- 186
Bw. Mbunge NYERERE wewe ni Ndugu yangu, rafiki yangu, tumecheza wote na hili suala la Mkapa na Mwl. Hata mie ninalifahamu. Ila ulipotoa hii habari humu ndani nakuambia ili bidi nikimbie kwenda KUHARISHA manake nimeumia sana tena sana manake sikutegemea kama ungesema jambo kama hili. Najua unaouchungu juu ya nchi yako na kumpoteza Mwl. Nyererepia kama mzazi wako lakini kwa hili nashauri usiendeleze. Ishia hapo, waache wananchi watafakari,wataamua wafanye nini wao wenyewe.
Endela na kampeni, zungumza mambo yanayowagusa Wana-Arumeru ili upate kura, tupate ushindi au tukose lakini siyo hilo. Nimejisikia kutaka kwenda kwa Mkapa kwenda kumuua kabisa, lakini Mungu anajua.
Naombeni mnaosoma humu mumshauri Vicent Nyerere aachane na suala hilo. Anaweza fikisha Taifa hili pabaya na hatutaki tufike huko.
Thanks.