Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,515
Naendelea kusema Ben ameyataka mwenyewe kiburi chake kimemponza, kiburi, jazba, dharau ndizo zilizopelekea kudhani anaweza kuwafanya chochote watanzania na hakuna wakumfanya kitu. Ndio maana juzi alikuwa na guts za kuwatukana wapinzani and the bad thing is still kuna watu walimpongeza na sasa bado kuna watu hawaoni ubaya wa yeye kumtamkia vile VN. Tuliona alivyowachinja Wapemba watu wake mwenyewe anawapelekea vifaru huku akijua kabisa hawana hata gobole.Mkapa mikono yakeimejaa damu, alianza kuonja damu kwa Imran Kombe, alivyonogewa akachinja Wapemba wasiokuwa na kosakisha akawapandisha vyeo makuhani wake wa mauaji, ni wengi tu wamepoteamikononi mwa Mkapa.Lakini malipo ni hapa hapa duniani, si mnaona ngozi yakeilivyoanza kubabuka.
Kosa kubwa alilolifanya Mkapa ni kuwa underestimate Chadema in general na Vincent in particular kwa kudhani kuwa hawawezi kusema kitu watanyamaza kama walivyonyamaza Igunga hajui kuwa mambo huwa yanabadilika.
Hii issue ni mbaya kwa upande wake hata kwa CCM, si tu kwa uchaguzi huu bali effects zake zitaonekana hata baada ya uchaguzi. Kama watu wanavyobashiri kuwa anaweza kujibu, binafsi sishauri kitu hicho kwa vile hajui adui yake amejiandaa kiasi gani inaweza ikawa mbaya zaidi. Aelewe VN hayuko peke yake mwenye mawazo hayo, kuna original source ya yaliyotokea kwanza kwenye familia yenyewe na nje ya familia. Najuwa CCM nao wanaweza kumtumia Makongoro au wana familia wengine kukanusha, lakini wakifanya hivyo waelewe wanataka kuigawa familia na hadhi ya familia hiyo itazidi kushuka.