Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

I cant prove it ila kifo cha Mwalimu kina utata sana. Hata pale mikocheni A. alipokufa tu mafisadi wakatoa makucha yao kwa nguvu. Mkapa has a lot a explain regarding the death of Mwalimu.
 
Jamani hawa Chadema tumeshawazoea wakati wa kampeni badala ya kunadi sera za chama chao wanashamulia watu na kuleta maneno ya kashfa,dharau na majungu na ndiyo maana wananchi hawawachaguhi wamechoka siasa za majitaka kama mzee mkapa alimuua nyerere kwa nini hakusema siku zote huko nyuma aje aseme leo kwenye kampeni Arumeru Mashariki,tumeshawajua kura hatuwapi mmezoea siasa chafu hamna sera,tutawafanya kitu mbaya kama walivyowafanya watu jimbo la Igunga na Uzini wenzenu wanazungumza sera nyie mmekalia majungu, kila kukicha mnawaza siasa za kuchafuana kama nyie mnakubalika iweje muangaike na vipingamizi kwa mgombea wa CCM hiyo yote ni hofu tayari mmeshashindwa kwa kuwa hamjiamini na uwezo wenu,imekula kwenu april mosi tunawagandamiza tumechoshwa na majungu yenu tunataka sera na mtueleze mtazitekeleza vipi!
 
Mkuu MkamaP,

Hata hizo pesa za rada Waingereza hao hao si ndio wametusaidia japo kurudishiwa baadhi ya pesa.

Nyerere wa 1999 alikuwa hana madhara yoyote kwa Waingereza. Tena kifo chake walikiomboleza vizuri sana hasa kwenye media mpaka wengine tukajisikia raha kuwa Watanzania. Wanaojua kwamba sisi wengine ni Watanzania wakakashangaa kumbe Nyerere alikuwa na akili sana?

Kwa mara ya kwanza nikaona media zote za hapa zinaongea very positively kuhusu kiongozi wa Afrika ukiachia Mandela.

Mie ndo nashangaa kwa kweli ktk hili, mwingereza amuue Nyerere mwaka 99 eti alikuwa kikwazo, mbona wakati wa Mwinyi mambo yaliendeshwa jinsi Mwinyi alivyotaka RUKSA, mbona Nyerere hakuwa kikwazo wakati huo, mbona Mwinyi aliua azimia la Arusha wakaleta la Zanzibar mbona Nyerere hakuwa kikwazo kuzuia zoezi hilo?

Ndio 99 mpaka wa muue ili kufanya utandawazi?
 
Mtu asiyejiheshimu anastahili kujibiwa hiyo, ameyataka mwnyewe badala ya kukaa atulie. Na bado jana nilisema hapa aache kutisha watu kwa kuanza kutukana watu atueleze aliko Balali.

Hongera sana Chadema tumesema acheni woga Igunga mlimulea sana hadi akawa anatamba wakati tunajua ana madhambi mazito.

Tumeshawazoea uzuri wake watanzania ni watu makini sana huwa hawapendezwi na majungu,wanataka sera nzuri,zinazoeleweka na namna ambavyo utazitekeleza vinginevyo wanakumwaga subirini mtaona kitakachotokea April mosi,kura zitasema!
 
Dr D. Mwakyusa kaguswa moja kwa moja. Hii njama lazima yeye alishiriki hasa hadi kuzawadiwa uwaziri. Ajisafishe nae.
 
Mie ndo nashangaa kwa kweli ktk hili, mwingereza amuue Nyerere mwaka 99 eti alikuwa kikwazo, mbona wakati wa Mwinyi mambo yaliendeshwa jinsi Mwinyi alivyotaka RUKSA, mbona Nyerere hakuwa kikwazo wakati huo, mbona Mwinyi aliua azimia la Arusha wakaleta la Zanzibar mbona Nyerere hakuwa kikwazo kuzuia zoezi hilo?

Ndio 99 mpaka wa muue ili kufanya utandawazi?

MkamaP,

Nimeipenda hii ya rais Mwinyi aliua Azimio la Arusha ambalo lilikuwa mtoto kipenzi cha Nyerere na Nyerere hakusema kitu.

Kuuza mashirika ya umma ndio kungemwogopesha Mkapa mpaka amwue Nyerere kwanza? Watanzania bwana kwa vijambo jambo tumo!
 
Jamani hawa Chadema tumeshawazoea wakati wa kampeni badala ya kunadi sera za chama chao wanashamulia watu na kuleta maneno ya kashfa,dharau na majungu na ndiyo maana wananchi hawawachaguhi wamechoka siasa za majitaka kama mzee mkapa alimuua nyerere kwa nini hakusema siku zote huko nyuma aje aseme leo kwenye kampeni Arumeru Mashariki,tumeshawajua kura hatuwapi mmezoea siasa chafu hamna sera,tutawafanya kitu mbaya kama walivyowafanya watu jimbo la Igunga na Uzini wenzenu wanazungumza sera nyie mmekalia majungu, kila kukicha mnawaza siasa za kuchafuana kama nyie mnakubalika iweje muangaike na vipingamizi kwa mgombea wa CCM hiyo yote ni hofu tayari mmeshashindwa kwa kuwa hamjiamini na uwezo wenu,imekula kwenu april mosi tunawagandamiza tumechoshwa na majungu yenu tunataka sera na mtueleze mtazitekeleza vipi!
maelezo kuhusu kifo cha mpendwa wetu baba wa taifa yamekua kama kuwekewa msumari wa moto kwenye kidonda kibichi, kama msingemuua nyerere msingeweza kuifikisha nchi hapa ilipo,
 
Jamani hawa Chadema tumeshawazoea wakati wa kampeni badala ya kunadi sera za chama chao wanashamulia watu na kuleta maneno ya kashfa,dharau na majungu na ndiyo maana wananchi hawawachaguhi wamechoka siasa za majitaka kama mzee mkapa alimuua nyerere kwa nini hakusema siku zote huko nyuma aje aseme leo kwenye kampeni Arumeru Mashariki,tumeshawajua kura hatuwapi mmezoea siasa chafu hamna sera,tutawafanya kitu mbaya kama walivyowafanya watu jimbo la Igunga na Uzini wenzenu wanazungumza sera nyie mmekalia majungu, kila kukicha mnawaza siasa za kuchafuana kama nyie mnakubalika iweje muangaike na vipingamizi kwa mgombea wa CCM hiyo yote ni hofu tayari mmeshashindwa kwa kuwa hamjiamini na uwezo wenu,imekula kwenu april mosi tunawagandamiza tumechoshwa na majungu yenu tunataka sera na mtueleze mtazitekeleza vipi!
Panadol ikifail kufanya kazi huwa tunatumia mkongoraa.
Mkapa anapulizwa kama vuvuzela kubuy trust za raiya just because alikua rais, anagharimika kubwabwaja siasa za maji ya chooni kwani wanaomtuma kubwabwaja wanajua siri za unajisi alioufanya akiwa ikulu (Blackmail).
CCM ni kifaru na MKapa ni dereva wa kifaru hicho hapa Arumeru, Sasa sisi tunachana kifaru na tunamchana dereva wa kifaru hichi.
Huyu mzee anastress coz mayai yake alikaangia chips mayai so hana watoto wakumletea wajukuu wakumchangamsha pale hekaluni kwake Lushuto.
 
Alafu Mkapa anavyosema kuwa ameishi na Mwalimu Nyerere kwa mda mrefu simuelewi, kwani yeye ndo mama maria ???

Nafikiri Mkapa (ni maoni yangu) nafikiri ni tacts ktk siasa, alijaribu ku undermine kwamba ya kwamba VICENT sio uzawa wa Julius Kambarage Nyerere, maana wenda kwa muono wake wapinzani wao wanataka kulitumia hilo jina kuonyesha hata uzao wa Julius ume hasi na uko upinzani.

Ukweli unabaki pale pale Vicent sio uzao wa Julius, lakini pia ni cousin wa akina Madaraka.
 
Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki(Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu,huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia,alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa(kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa jamii Forums

NI LINI MTASEMA YOTE MBONA MNATUPA NUSUNUSU.....Haya mi napita ntarudi tena baada ya uchaguzi sijui kutakua na lipi.
 
Nafikiri Mkapa (ni maoni yangu) nafikiri ni tacts ktk siasa, alijaribu ku undermine kwamba ya kwamba VICENT sio uzawa wa Julius Kambarage Nyerere, maana wenda kwa muono wake wapinzani wao wanataka kulitumia hilo jina kuonyesha hata uzao wa Julius ume hasi na uko upinzani.

Ukweli unabaki pale pale Vicent sio uzao wa Julius, lakini pia ni cousin wa akina Madaraka.
Hata kama angekuwa ni mtoto wa mwinyi au wa sokoine, kinachotakiwa kusikika kutoka kwa kiongozi mstaafu wa ngazi ya urais kama mkapa ni maneno ya busara na sio matakataka ya uyu ni mwana wa nani! na yule ni mjukuu wa nani!
Naamni alikua intoxicated coz sikuwai kudhani kama Rais mstaafu anaweza kuacha kuongea hoja na kufanya siasa za maji ya choo cha stand kama alivyofanya mkapa.
 
Mtanzania,

Umesahau kwenye ile press conference ya Nyerere baada ya kuandika kile kitabu chake?

Alimchambua Mwinyi vibaya sana na hata kufikia kusema "Rais gani anaongoza nchi na maamuzi ya nchi yanafanyika kitandani?" Baada ya hapo akamuangukia na Malecela kuwa HAFAI. Mwinyi aliendelea kupewa maneno yake kuwa "Hafai kuwa Rais na ni mdhaifu sana. Ila kuondoa Rais madarakani, inaleta mkosi kwenye nchi na tumvumilie tu amalize muhula wake wa pili."

Nafikiri kwa Mkapa, ninaweza kuanza kuamini kuwa alitaka kumzuia asigombee tena mara ya pili. Mkapa kwa kujua gomvi zao huko mwanzo ambazo unaona kabisa zilikuwepo, akalijua hilo na akaamua KUSAIDIA KIFO kwa kuzembea JKN kutibiwa au kwa kumuwahisha huko mbele ya hukumu.

Sijui ni sababu zipi zilimfanya JKN amuweke Mwinyi kuwa Rais ila kwa Mkapa, kila mtu alikuwa anajua historia ya Mkapa na Nyerere na hadi watu kuja kumwita mtoto wa JKN. Nyerere akamwita Mr. clean atakayekuja kusafisha Tanzania. Alimpamba sana mtoto wake na kila mtu aliamini hivyo kwa muhula wa mwanzo. Ila Mkapa aliponogewa madaraka, akaanza kuvimba kichwa na kuanza kivyake ukichukulia, Nyerere alimpa hadi kofia ya Mwenyekiti wa CCM.

Kama ilifika wakati Nyerere analalamika nje juu ya uuzaji wa Nchi unaofanywa na Mwanae Mkapa, basi kuna sehemu walikuwa wameshakosana vibaya sana. Kumbuka Mtanzania wanasema "there is a very thin line between LOVE and HATE. ukiteleza kidogo tu, love hugeuka kuwa hata uuwaji.

Mwinyi hayo mapenzi na Nyerere sidhani kama yalikuwa makubwa kiasi hicho na ukichukulia kuwajibika kwa Mwinyi miaka ya kuhamisha wananchi kwenye vijiji vya ujamaa huko Shinyanga.

All in all, VN awe kasema kweli au uongo, hii kitu imemuharibia sana Mkapa. Hata ajitetee vipi, kuna sababu nyingi sana zinanzoweza kuwafanya watu wengi waamini kuwa Mkapa alihusika hata kama ni kwa UZEMBE. Na unajua kabisa kuwa kuna nchi, kutokuwa msaada kwa mtu ni kosa. Hata kama umempiga risasi, na kumwacha anakufa, basi watakuhukumu hata kwa kosa la kutokumsaidia mtu aliyeumizwa na risasi.

Mkapa pia ana madudu haya ya EPA, Makampuni ya umeme, kuuza nchi na mengine mengi ambayo inabidi apande kizimbani ayajibu. Sijali sana kama alimuuwa Nyerere au lahh ila nafahamu kuwa aliuza nchi yangu ya Tanzania. Hayo ya Nyerere atajuana na ndugu zake Nyerere akina Vincent Nyerere na wengine kama wataamua kuungana naye au kumkana, shauri lao wana ndugu kwa ujumla.
MkamaP,

Nimeipenda hii ya rais Mwinyi aliua Azimio la Arusha ambalo lilikuwa mtoto kipenzi cha Nyerere na Nyerere hakusema kitu.

Kuuza mashirika ya umma ndio kungemwogopesha Mkapa mpaka amwue Nyerere kwanza? Watanzania bwana kwa vijambo jambo tumo!
 
Hata kama angekuwa ni mtoto wa mwinyi au wa sokoine, kinachotakiwa kusikika kutoka kwa kiongozi mstaafu wa ngazi ya urais kama mkapa ni maneno ya busara na sio matakataka ya uyu ni mwana wa nani! na yule ni mjukuu wa nani!
Naamni alikua intoxicated coz sikuwai kudhani kama Rais mstaafu anaweza kuacha kuongea hoja na kufanya siasa za maji ya choo cha stand kama alivyofanya mkapa.

Tusitake kuuacha ubinadamu na kujipachika vinginevyo

na nukuu "Kama mna wataka vijana nendeni nao huko mtaani mkanywe nao pombe ktk baa" maneno hayo ni ya Rais mstafu wa kwanza. Kila Rais mwanadamu hana busara kwa wakati wake niambie ni nani? Nyerere naye alikuwa anatukana wakati mwingine, hebu tuache kaunafiki wajemeni.
 
Hivi wakati nyerere anakufa nani alikua waziri wa mambo ya nje? Naye achunguzwe huenda anahusika na kifo cha mwalimu
 
Mtanzania,

Umesahau kwenye ile press conference ya Nyerere baada ya kuandika kile kitabu chake?

Alimchambua Mwinyi vibaya sana na hata kufikia kusema "Rais gani anaongeza na maamuzi ya nchi yanafanyika kitandani?" Baada ya hapo akamuangukia na Malecela kuwa HAFAI. Mwinyi aliendelea kupewa maneno yake kuwa "Hafai kuwa Rais na ni mdhaifu sana. Ila kuondoa Rais madarakani, inaleta mkosi kwenye nchi na tumvumilie tu amalize muhula wake wa pili."

Nafikiri kwa Mkapa, ninaweza kuanza kuamini kuwa alitaka kumzuia asigombee tena mara ya pili. Mkapa kwa kujua gomvi zao huko mwanzo ambazo unaona kabisa zilikuwepo, akalijua hilo na akaamua KUSAIDIA KIFO kwa kuzembea JKN kutibiwa au kwa kumuwahisha huko mbele ya hukumu.

Sijui ni sababu zipi zilimfanya JKN amuweke Mwinyi kuwa Rais ila kwa Mkapa, kila mtu alikuwa anajua historia ya Mkapa na Nyerere na hadi watu kuja kumwita mtoto wa JKN. Nyerere akamwita Mr. clean atakayekuja kusafisha Tanzania. Alimpamba sana mtoto wake na kila mtu aliamini hivyo kwa muhula wa mwanzo. Ila Mkapa aliponogewa madaraka, akaanza kuvimba kichwa na kuanza kivyake ukichukulia, Nyerere alimpa hadi kofia ya Mwenyekiti wa CCM.

Kama ilifika wakati Nyerere analalamika nje juu ya uuzaji wa Nchi unaofanywa na Mwanae Mkapa, basi kuna sehemu walikuwa wameshakosana vibaya sana. Kumbuka Mtanzania wanasema "there is a very thin line between LOVE and HATE. ukiteleza kidogo tu, love hugeuka kuwa hata uuwaji.

Mwinyi hayo mapenzi na Nyerere sidhani kama yalikuwa makubwa kiasi hicho na ukichukulia kuwajibika kwa Mwinyi miaka ya kuhamisha wananchi kwenye vijiji vya ujamaa huko Shinyanga.

All in all, VN awe kasema kweli au uongo, hii kitu imemuharibia sana Mkapa. Hata ajitetee vipi, kuna sababu nyingi sana zinanzoweza kuwafanya watu wengi waamini kuwa Mkapa alihusika hata kama ni kwa UZEMBE. Na unajua kabisa kuwa kuna nchi, kutokuwa msaada kwa mtu ni kosa. Hata kama umempiga risasi, na kumwacha anakufa, basi watakuhukumu hata kwa kosa la kutokumsaidia mtu aliyeumizwa na risasi.

Mkapa pia ana madudu haya ya EPA, Makampuni ya umeme, kuuza nchi na mengine mengi ambayo inabidi apande kizimbani ayajibu. Sijali sana kama alimuuwa Nyerere au lahh ila nafahamu kuwa aliuza nchi yangu ya Tanzania. Hayo ya Nyerere atajuana na ndugu zake Nyerere akina Vincent Nyerere na wengine kama wataamua kuungana naye au kumkana, shauri lao wana ndugu kwa ujumla.

Mkuu,
Mie binafsi siamini ktk hilo la kumuzuia, Mkapa first term alifanya vizuri mno, tena mno. Maana wakati anachukua nchi walimu na manesi na wengine walikuwa hawalipwi mshahara hadi miezi kadhaa, wafanyakazi wengi waliacha kazi na kuwa wafanya biashara.
Eti kwa kum jaji Mkapa kwa first term, siamini ktk hilo. Maana jamaa alifanya vizuri
 
Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki(Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu,huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia,alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa(kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa jamii Forums

Kumbe ndo maana wanakata umeme ili tusisikilize na kuangalia taarifa za habari? Hakuna asiyejua kuwa Mwlm aliuliwa!
Lakushangaza wa TZ tumeendele kukikumbatia chama cha wauaji!CCM ni chama cha wauaji!
 
Back
Top Bottom