Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

aina ya sumu iliyowekwa ni arsenic....na mwalimu aliwekewewa huko South africa

Inauma sana mwalimu alikuwa anakufa taratibu wakaamua kwenda kummalizia London nakumbuka wkt anaondoka Dar alikuwa anatembea kabisa na akawapungia waandishi wa habari pale airport
 
Ninashauku ya kupata majibu yaliyojitosheleza kutoka kwa Vicent Nyerere kuhusu tuhuma kwamba yeye si mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Vicent hajajibu hoja hiyo matokeo yake ameishia kumtuhumu Mkapa kwamba ndiye muasisi wa ufisadi na kwamba alimuua Mwalimu bila kueleza kwa kiina uhusiano wake na Mwalimu.
Kumbe Chadema walimpa Vi-senti u-kampeni meneja ili akamtuhumu Mkapa kuwa alimuua Mwl. Nyerere? Huyu bwana mdogo kweli kaishiwa, kama mtanzania angeenda Mahakamani akiwa na vielelezo vya kuwa Nyerere aliuawa. Hata familia ya marehemu ingeshatoa tamko, iweje yeye mtu kuja abwatuke. Hii imedhihirisha wazi kuwa Mkapa hakukosea kusema si mmoja wa wanafamilia ya Mwalimu.
 
Haijawahi kusemwa hata siku moja kua Vincent ni mtoto wa Julius,na inajulikana wazi watoto wa Julius walikua kina nani,kinachoeleweka ni kua Vincent ni mtoto wa Josephat ambae ni kaka wa Julius,sasa hapo hakuna undungu?huyu mzee Mkapa naona kachanganyikiwa sasa,hoja alizotoa ni za kitoto mno na hazikua na mantinki kwa wana Arumeru!pili Vincent kitu alichoeleza ni sahihi kabisa!huyu Mkapa ndie aliyeiingiza nchi hii kwenye matatizo yote haya!uwa nasema siku zote,aliua viwanda na mashirika ya umma akitegemea nchi iendelee vp?yeye ndio chanzo cha watu wachache kulijilimbikizia mali na yeye ndio muasisi wa mikataba mibovu ili kuitia nchi hasara na pia ndie muasisi wa ufisadi wote!huyu mzee si wakumsamehe hata kidogo!

Isije ikiwa kama yule mama aliyekuwa anagombea ubunge kwa jina la ..... Nyerere wanandugu wakamkana.
 
Ninashauku ya kupata majibu yaliyojitosheleza kutoka kwa Vicent Nyerere kuhusu tuhuma kwamba yeye si mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Vicent hajajibu hoja hiyo matokeo yake ameishia kumtuhumu Mkapa kwamba ndiye muasisi wa ufisadi na kwamba alimuua Mwalimu bila kueleza kwa kiina uhusiano wake na Mwalimu.

Jifunze jinsi ya kutumia forum hii kwa tija!
 
Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki(Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu,huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia,alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa(kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa jamii Forums

ndo maana kikwete (ambaye kwa asili hampendi JKN) huwa anamkumbatia mkapa asishitakiwe.
 
kwani Vicent Nyerere anawajua ndugu wote wa Mkapa sioni tatizo na kauli ya Mkapa.
 
Sasa prof Mwakyusa si yupo atoe ushahidi mahakamani kama alikatazwa kumsogelea mwalimu alipokuwa london anatibiwa hapa tena Mkapa tunataka akimbie haraka mahakamani iliakaumbuke hukohuko na tupewe majibu ya hiyo bone marrow asipiration(FINE)kama ushahidi tuone kama ni kweli mwalimu alikufa kizembe namna hiyo na leukaemia ambayo baadhi ya type zake zinatibiwa hata hapa hapa kunamchezo ulichezwa si bure tunaujua mambo alarm ziligonga kichwana tukakosa ushahidi na pakulisemea hapa kuna namna tu.

hu ugonjwa wa bone cjui bla bla ndo same to mwakiembe du
 
Mbona amesema yeye ni mtoto wa Josephat na sio wa Julius lakini hawa wawili ni mtu na kakaake!

Nasikia Vicent ni mtoto wa Josephat Kiboko Nyerere na siyo Julius Kambarage Nyerere.
 
Naona Pasco na porojo zako unaangaika saana

Pole sana CCM ilishakufa zamani

There are currently 576 users browsing this thread. (164 members and 412 guests)
 
Kweli pesa ni mwana haram, kumbe Benja alimtanguliza mbele ya haki mwalimu wake na baba wa taifa (Kumbuka ndiye aliye muweka madarakani, Mkapa hakua maarufu hata kidogo before 1995) ili ijimilikishe sehem ya rasilimali zetu?

Kama hili limetolewa na mmoja wa wana familia ya Nyerere mwenyewe, tunawezaje kupinga hili? Kweli Siasa mchezo mchafu, hauna rafiki wau adui wa kudumu!
Nilikuwa nafikiria kugombea Ubunge, ngoja nitafakari upya wazo langu hilo, naogopa wasije waka ni Mwakyembe au kunikolimba bure.
 
Mkapa Bwana Kweli Mbabaishaji kama walivyo Wanasiasa wengi Tanzania, Kweli alihitaji kwenda Arumeru Kuuliza kama Vicent ni nyerere au siyo nyerere? Kwani lazima kila Nyerere yeye amfahamu?
 
Isije ikiwa kama yule mama aliyekuwa anagombea ubunge kwa jina la ..... Nyerere wanandugu wakamkana.

Yule mama alikua ni mmoja wa mwanandoa aliyeolewa na wana familia ya Nyerere na aliachana na huyo mwana family wa nyerere,ila Vincent inajulikana wazi ni mtoto wa kiboko Nyerere na hata Makongoro alishawahi kulielezea ilo,Mkapa kafirisika kifikra ilo ndo ukweli,nae ukweli anaujua sema aliamua kuwapumbuza watu akifikiria Watanzania bado ni wajinga kiasi hiko!
 
Kumbe Chadema walimpa Vi-senti u-kampeni meneja ili akamtuhumu Mkapa kuwa alimuua Mwl. Nyerere? Huyu bwana mdogo kweli kaishiwa, kama mtanzania angeenda Mahakamani akiwa na vielelezo vya kuwa Nyerere aliuawa. Hata familia ya marehemu ingeshatoa tamko, iweje yeye mtu kuja abwatuke. Hii imedhihirisha wazi kuwa Mkapa hakukosea kusema si mmoja wa wanafamilia ya Mwalimu.

Kwani Mkapa ndio mgombea? Na je yeye Vincent amedai ni mwanafamilia wa Nyerere au Mkapa ndio kasema sio mwanafamilia?
 
Mama P hilo mbona amelijibu? Amesema yeye ni mtoto wa Joseph Nyerere mdogo wake na Julius. I used to think Mkapa is smart lakini kumbe I was very wrong. Inawezekanaje mtu smart akaomba kura (of course wao wanomba kula) kwa kujadili koo za watu? Watu wa Arumeru hawana maji, matibabu ya kueleweka etc, hayo ya koo yanawasaidia nini? Shame on you Ben.

Fuatilia sasa kampeni anazoziendesha Nyerere huko Arumeru, hakuna hata sera moja anayoinadi. Anaishia kutukana tu, kiwira na Nyerere aliuawawa yanawahusu kweli wana-Arumeru?
 
kumbe humu jf tnachangia kiushabiki sana!mathalani mkapa angekataa kumpeleka mwl nyerere kutibiwa nje ya nchi watu kama vicent wangesema kama alvyoropoka,pili mm mwenyewe nina mzee,na mara nyingi wazee wetu huwa wabishi kwa hyo mwl nyerere aliapply hyo tabia ya wazee,halfu nyie wanajf kwl kwa akili alyokuwa nayo nyerere unaweza kusema eti alilazimishwa,huu ni ujinga na upuuzi kabisa,tjipange kuchambua mambo vzuri,
 
Mkapa alisema ukweli, hajawahi kutambulishwa na JKN huyo mtu anayeitwa Vicent...
Sasa kushare tu sir name na Nyerere huyo Vincent tayari anajiona ni wa familia ya JNK!
BTW huyo Josepahat ndio nimemskia leo...nyerere sidhani kama alishawahi kumtambulisha popote as well!
Huu ni wivu wa kike na ambao hautakusaidia kitu Broda...

Basi tutangazie kuwa JKN ni mtoto wa pekee kwa baba na mama yake!! Mbona yeye Mkapa hataki kwenda kupima DNA ya watoto wake. Ngoja Vincent ajue kuwa Mkapa ile kitu haitemi sawa sawa na watoto wote aliokuwa analea alisaidiwa na akina Mramba na Nicas Mahinda patakuwa padogo bwashee
 
Nasikia Vicent ni mtoto wa Josephat Kiboko Nyerere na siyo Julius Kambarage Nyerere.

Ni kweli jina la Nyerere ni la ukoo si miliki ya Julius Kambalage ambaye ni Mwalimu nyerere kama wengi wanavyodhani. Mkapa asingeweza kumfahamu vicent kwa sababu sio mtoto wa Kambalage familia ambayo Mkapa yuko karibu nayo.
 
Back
Top Bottom