Mpiga Nyoka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 283
- 122
Nyerere Jr karusha biological bomb saiv fisadi mkapa atakuwa anatoka povu na kutetemeka mwili.
Nifundishe, lakini thinking isn't limited na mtazamo wako hauwezi kuwa sawa na wangu.
Leticia Nyerere alikuwa mke wa John Nyerere waliachana kama alivyo kwa Winnie Mandela kuendelea kutambulika kwa jina la mume wake wa zamani.
Tena wadai genes za kina Nyerere zina chembechembe za CCM, hivyo kitendo cha Vincent kujiuunga Chadema ni uthibitisho dili ilichezwa hivyo kudai anayepinga DNA ifanyike kuthibitisha not only ni mtoto wa nje bali pia wa kusingiziwa!.
Kumbe Chadema walimpa Vi-senti u-kampeni meneja ili akamtuhumu Mkapa kuwa alimuua Mwl. Nyerere? Huyu bwana mdogo kweli kaishiwa, kama mtanzania angeenda Mahakamani akiwa na vielelezo vya kuwa Nyerere aliuawa. Hata familia ya marehemu ingeshatoa tamko, iweje yeye mtu kuja abwatuke. Hii imedhihirisha wazi kuwa Mkapa hakukosea kusema si mmoja wa wanafamilia ya Mwalimu.
Nani huyo jamani anayesimamia uchimbaji wa Tanzanite Arusha?
Mkuu ukitaka kucomferm kama mtu ana LEUKAEMIA unafanya bone marrow aspiration yaani unachukua ute uliopo kwenye mifupa katikati kwani ndio unakuwa umegeuka na kuwa kansa unakuwa hautengenezi zile chembechembe zote za damu zile tatu nyekundu,nyeupe na platelets kiswahili chake sikijui yote hayo yanafanyika hapa kwetu muhimbili na wanatibu baadhi ya aina mkuu.hu ugonjwa wa bone cjui bla bla ndo same to mwakiembe du
Fuatilia sasa kampeni anazoziendesha Nyerere huko Arumeru, hakuna hata sera moja anayoinadi. Anaishia kutukana tu, kiwira na Nyerere aliuawawa yanawahusu kweli wana-Arumeru?
Gembe,1.Kama vicent alijua wazi kuwa Mkapa na Serikali yake ndiyo waliomumaliza JKN,alikuwa wapi kusema zamani?huu ni unafiki mkubwa..Haiwezekani ikuchukue miaka kumi na mbili kuja kusema jamba ambalo umekaa nalo mika 12,totally rubbish na inaonyesha ni kwa jinsi gani kuna machafu hata ya CDM anayo sema anasubiri baadaye aje Kuyasema.
Kumbe Chadema walimpa Vi-senti u-kampeni meneja ili akamtuhumu Mkapa kuwa alimuua Mwl. Nyerere? Huyu bwana mdogo kweli kaishiwa, kama mtanzania angeenda Mahakamani akiwa na vielelezo vya kuwa Nyerere aliuawa. Hata familia ya marehemu ingeshatoa tamko, iweje yeye mtu kuja abwatuke. Hii imedhihirisha wazi kuwa Mkapa hakukosea kusema si mmoja wa wanafamilia ya Mwalimu.
Tukubali Mkapa amefanya jambo la kijinga kabisa kuingilia masuala ya familia ya Nyerere, tukianza kuzungumuzia familia yake unafikiri itabaki salama. Kama Mkapa angekuwa na busara angemnadi mgombea wake na kuahidi kuwasaidia wananchi wa Arumeru kuwa atawasemea kwa uongozi wa juu. Angeishia hapo angeeleweka kazi ingebaki kwa Chadema kujibu atawasemea vipi. Lakini yeye kwenda personal ajilaumu mwenyewe.-Watanzania tutaendelea kubaki kuwa wajinga Period kwa kuependa na kushabikia siasa za maji taka.
-Nilijua CDM wameamua kuachana nazo kwa sasababu hazileti tija ila zinaendeleza siasa za kizamani ambazo hazilisaidii Taifa.
1.Kama vicent alijua wazi kuwa Mkapa na Serikali yake ndiyo waliomumaliza JKN,alikuwa wapi kusema zamani?huu ni unafiki mkubwa..Haiwezekani ikuchukue miaka kumi na mbili kuja kusema jamba ambalo umekaa nalo mika 12,totally rubbish na inaonyesha ni kwa jinsi gani kuna machafu hata ya CDM anayo sema anasubiri baadaye aje Kuyasema.
2.Hoja hii ni dhaifu na CCM watatumia Mtu wa karibu wa Mwalimu kwend ahuko kukanusha na kumkana Vicent(hili nalitegemea litatokea)
-Baadaye CDM itaonekana wamezusha hili na litawaharibia..Ugonjwa wowote hautakiwi kusubiri miaka mingi ili utoe dawa yake.
-Mkapa ni Mzoefu na alitumia maneno ya kuwatusi CDM kwa kuwa anawajua watabwatuka na kusahau focus ya kampeni zao....
-Kwa knowledge moja tu ya kipuuzi..Kifo cha Mwalimu kimewapunguzia nini watu wa Arumeru?ukiwaambia alimalizwa na Mkapa et all kinajibu mattatioz waliyo nayo?
Sijui...Ila hili la Mkapa ni kama uzushi tu
Ni kweli jina la Nyerere ni la ukoo si miliki ya Julius Kambalage ambaye ni Mwalimu nyerere kama wengi wanavyodhani. Mkapa asingeweza kumfahamu vicent kwa sababu sio mtoto wa Kambalage familia ambayo Mkapa yuko karibu nayo.
Vincent Nyerere ni mtoto wa nje.., Familia ya Nyerere hawamtambui kabisa mdogo wake Nyerere alizaa na mwanamke mmoja pale Makoko.
Ni kweli jina la Nyerere ni la ukoo si miliki ya Julius Kambalage ambaye ni Mwalimu nyerere kama wengi wanavyodhani. Mkapa asingeweza kumfahamu vicent kwa sababu sio mtoto wa Kambalage familia ambayo
Mkapa yuko karibu nayo.
Ni daktari gani huyo aliyenyamazishwa kwa kupewa uwaziri?