Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

Mimi ni mkristo na nina ndoa ya kikristo lakini kuna jambo moja nimeliona linanifikirisha saana kuhusu ndoa zetu hizi

Kuna dogo namfahamu ana miaka 27 lakini miaka miwili nyuma alifunga ndoa ya kikristo. Miezi kama sita nyuma ndoa yake imevunjika yaan ndoa ilidumu kwa mwaka mmoja na nusu tu. Saivi kila mtu ana maisha yake na dogo hana mpango wa kurudiana na huyo mwanamke na uzuri au ubaya ni kwamba katika ndoa hii haikupata mtoto

Kinacho nifikirisha na tunalojadili ni kua kwa mujibu wa dini ya kikristo huwezi kufunga ndoa nyingine na mtu mwingine kama uliefunga nae ndoa yupo hai au mpk afe ndo ufunge ndoa nyingine,

Na ukianza kuishi na mtu mwingine ambae hujafunga nae ndoa mnaonekana ni wazinzi na huwezi kupata huduma za kanisa maana unaishi nje ya utaratibu wa kidini

Je hawa vijana walioachana wanaweza kuishi bila kua na wenza wengine maisha yao yote kwa ndoa iliyodumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu pekee.

Nadhani ipo haja ya dini zetu hizi kurudi kulitazama upya
 
Kwa mujibu wa mandiko ya Biblia mume anaweza kutengana na mke wake kama sababu iliyotokea ni uzinzi, kinyume na hapo ukioa unajifunga kwenye gereza la milele
 
Mimi ni mkristo na nina ndoa ya kikristo lakini kuna jambo moja nimeliona linanifikirisha saana kuhusu ndoa zetu hizi

Kuna dogo namfahamu ana miaka 27 lakini miaka miwili nyuma alifunga ndoa ya kikristo. Miezi kama sita nyuma ndoa yake imevunjika yaan ndoa ilidumu kwa mwaka mmoja na nusu tu. Saivi kila mtu ana maisha yake na dogo hana mpango wa kurudiana na huyo mwanamke na uzuri au ubaya ni kwamba katika ndoa hii haikupata mtoto

Kinacho nifikirisha na tunalojadili ni kua kwa mujibu wa dini ya kikristo huwezi kufunga ndoa nyingine na mtu mwingine kama uliefunga nae ndoa yupo hai au mpk afe ndo ufunge ndoa nyingine,

Na ukianza kuishi na mtu mwingine ambae hujafunga nae ndoa mnaonekana ni wazinzi na huwezi kupata huduma za kanisa maana unaishi nje ya utaratibu wa kidini

Je hawa vijana walioachana wanaweza kuishi bila kua na wenza wengine maisha yao yote kwa ndoa iliyodumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu pekee.

Nadhani ipo haja ya dini zetu hizi kurudi kulitazama upya
Wakatoliki na walutheri ndio wana hizo sheria,kwa walokole unafungishwa vizuri tu
 
Kwa bahati mbaya hivi vitabu vya kidini (Biblia na Quran) haviwezi kufanyiwa modifications au labda namna ya kutasfiri maandiko ibadilike
 
Mambo mawili wachukia kitimoto mmetuzidi ni kwenye ndoa na mazishi. Huwa nawafagiilia sana kwenye haya mambo mawili kwa jinsi mlivyoyarahisisha!
 
Kumbe maandiko ya Biblia yanakataa hata kutoa taraka, sasa kama mambo magumu kuna mahali tutaponea kweli?

Mark 10:11-12, “And He said to

them, ‘Whoever divorces his wife and marries another woman commits adultery against her; and if she herself divorces her husband and marries another man, she is committing adultery.'”

Itabidi tuwe single for life
 
Biblia haisomwi kama mashairi ya Shabaan Robert.
 
Kumbe maandiko ya Biblia yanakataa hata kutoa taraka, sasa kama mambo magumu kuna mahali tutaponea kweli?

Mark 10:11-12, “And He said to

them, ‘Whoever divorces his wife and marries another woman commits adultery against her; and if she herself divorces her husband and marries another man, she is committing adultery.'”

Itabidi tuwe single for life
Mungu hapendi kuachana!

Anapenda kuishi pamoja!!

Cha msingi ukiona Mambo magumu ongeza MKE kuficha mapungufu ya aliyepo!!
 
Mathayo 5:32​

Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
Kumbe tumekuwa dictated kwamba shida zozote tuvumilie isipokuwa uzinzi, what if mke anatishia kukutoa roho? 😏
 
Back
Top Bottom