Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

Biblia inakataa ndoa za matala
Hakuna hilo katazo Mkuu!

Kilichopo ni sheria ya viwanda ya mwaka 1800 ambayo inahusiana na nuclear family pekee Kuwa rahisi kusafirishwa toka kiwanda kimoja kwenda kingine kuepusha gharama Yaani mke mmoja na watoto wawili tu!

Hakuna andiko la kibiblia linalosapoti katazo la mitara bali sheria ya kanisa pekee NDIO imechukua Hiyo ya 1800 ya industrial revolution!!

Wakati paulo anahubiri na yesu pia walikuwa mitara kama kawa ndio maana paulo anakazia Kuwa!

"Shemasi au askofu awe mume wa mke mmoja aliyelea watoto Katika kweli na naeshuhudiwa kutenda mema ""

Anasema hivyo Kwasababu mitara ilikuwepo kabla hata kristo hajaja na ilikuwepo wakati wanahubiri ndio maana ya katazo hilo kwamba ukiwa na mitara hurusiwi Kuwa shemasi wala askofu KWA mujibu wa paulo mtume!

Waroma wao wakaingiza sheria kali za mahusiano ILI kulinda uchumi wa kanisa usianguke KWA kukataza mapadri,maaskofu na masister wasioe wala kuolewa kwamba wawe mali ya kanisa na vyote wanavyomiliki!pia washirika waoe mke mmoja Moja kuepusha majukumu na uchumi uliobana!!

Hata leo ni uchumi tu unaotufanya tuwe na mke mmoja wala sio mapenzi ya Dini wala nini!

Na wenye fedha wanaoa wengi KWA mtindo wa mchepuko au mpango wa kando!!

Chunguza!

Kama mitara ingekuwa dhambi Ibrahim Baba wa imani angekataliwa na Mungu hata mfalme suleiman!!

Fuatilia hayo!
 
Mwanaume mwenzangu kataa kuzaa zaa hovyo unatengeneza kizazi kisichokuja kuwa na upendo, watoto wanapolelewa pamoja Kwa mama mmoja wwnatengeneza Bondi, hata kama watagombana Bado Ile bond ya upendo kati yao haitatoka, hata wakigombana hakuna atakayependa kusikia ndugu yake ameharibikiwa, haya mambo ya talaka sijui kuoa hutaki ila uzae tu, wakati umelelewa na wazazi wako, fikiria upya utafakari tena kwa makini, ni hayo tu
 
Kwani Ibrahimu alioa mitala??
 
Kwani Ibrahimu alioa mitala??
Sana kea ushauri wa mkewe!

Na wakaishi pamoja NDANI ya nyumba Hadi mgogoro ikatokea wa ishmael na osaka Ndio ?

Mungu akamwambia ibrahim mwana wa mjakazi hawezi rithi na mwana wa AHADI!!

Hata YAKOBO yalikuwa hayo hayo!

Zamani hakukua na ndoa kama za leo !

Ni kutwaa na kutwaana!

Kasome VIZURI kitabu cha mwanzo!
 
Mwanaume mwenzangu kataa kuzaa zaa hovyo unatengeneza kizazi kisichokuja kuwa na upendo, watoto wanapolelewa pamoja Kwa mama mmoja wwnatengeneza Bondi, hata kama watagombana Bado Ile bond ya upendo kati yao haitatoka, hata wakigombana hakuna atakayependa kusikia ndugu yake ameharibikiwa, haya mambo ya talaka sijui kuoa hutaki ila uzae tu, wakati umelelewa na wazazi wako, fikiria upya utafakari tena kwa makini, ni hayo tu
Esau na yakobo TUMBO Moja waliwindana!

Tumbo Moja halikupi uhakikisho wa upendo Mkuu!

Kuna watu wanatoana uhai kisa mali!

Hatma ya watoto wako haijengwi na tumbo Moja bali mkakati na mgawanyo wa Mali KWA KILA kaya!!

Umaskini na ukata ndio chanzo Cha upendeleo na chuki majumbani mwetu sio tumbo tofauti!

Kama una mali KILA kaya ijitegemee kimakazi na mali zao!

Hivyo tu Mkuu!!
 
  • Thanks
Reactions: _ID

Mkuu usichangange mambo, Sarah alimshauri mumewe alale na housegirl, na ndio maana house girl alifukuzwa, Ishmael ni mtoto wa nje ndio maana hata baraka alipewa kidogo
 
Ni baada ya mgogoro ule ndani ya nyumba!

Wangeishi vema kama KWA yakobo asingefukuzwa mtu pale!

Kina zilpa na bilha waliishi na Mamawenye nyumba kama wake WADOGO! Na wakazaa na kulea!
Mkuu usichangange mambo, Sarah alimshauri mumewe alale na housegirl, na ndio maana house girl alifukuzwa, Ishmael ni mtoto wa nje ndio maana hata baraka alipewa kidogo
baa
 
Esau na yakobo TUMBO Moja waliwindana!

Tumbo Moja halikupi uhakikisho wa upendo Mkuu!

Kuna watu wanatoana uhai kisa mali!

Hatma ya watoto wako haijengwi na tumbo Moja bali mkakati na mgawanyo wa Mali KWA KILA kaya!!

Umaskini na ukata ndio chanzo Cha upendeleo na chuki majumbani mwetu sio tumbo tofauti!

Kama una mali KILA kaya ijitegemee kimakazi na mali zao!

Hivyo tu Mkuu!!
Waliwindana lakini mwishoni Kwa sababu ya tofauti zao lakini walikutana tena naamini unajua kilichotokea
 
Na KWA yakobo je!!?wale zilpa na bilha waliolewaje NDANI ya dari Moja!!?
Hao akina zilipa na Bilha walibak kuwa wajakazi mahousegirl kwasababu kuzaa kwao na babawenyenyumba ilikuwa ni matakwa ya mama wenyenyumba, ndio maana hata Sarah alipopeleka mashitaka kwa Ibrahim, Ibrahimu aliruka futi 100 kwasababu ilikuwa si kwa utashi wake kuzaa na mjakazi, lakin mjakazi aliendelea kuwa mjakazi
 
Hivi dhana ya kuoa unaionaje!!?

Ina Maana kupika na kupakua na kuzaa sio ndoa hadi arusi sio!!?

Kwamba lazima ifungwe KANISANI au msikitini sio!!?

Bas sawa!
 
Usitafute justifications ,,hakuna muislamu wa kwenda kudai talaka mahakamani labda awe mpumbavu ...watu wamepewa ruksa ya kutengana pindi hali ikiwa tafrani ....Yann tusumbuane mahakamani..
Talaka inayotambulika ni ya mahakama tu, hizo za wavaa kobazi hazitambukiki nchi hii , sema tu wanawake waislamu wasome ni hakuna
 
Hakuna hilo katazo Mkuu!

Kilichopo ni sheria ya viwanda ya mwaka 1800 ambayo inahusiana na nuclear family pekee Kuwa rahisi kusafirishwa toka kiwanda kimoja kwenda kingine kuepusha gharama Yaani mke mmoja na watoto wawili tu!

Hakuna andiko la kibiblia linalosapoti katazo la mitara bali sheria ya kanisa pekee NDIO imechukua Hiyo ya 1800 ya industrial revolution!!

Wakati paulo anahubiri na yesu pia walikuwa mitara kama kawa ndio maana paulo anakazia Kuwa!

"Shemasi au askofu awe mume wa mke mmoja aliyelea watoto Katika kweli na naeshuhudiwa kutenda mema ""

Anasema hivyo Kwasababu mitara ilikuwepo kabla hata kristo hajaja na ilikuwepo wakati wanahubiri ndio maana ya katazo hilo kwamba ukiwa na mitara hurusiwi Kuwa shemasi wala askofu KWA mujibu wa paulo mtume!

Waroma wao wakaingiza sheria kali za mahusiano ILI kulinda uchumi wa kanisa usianguke KWA kukataza mapadri,maaskofu na masister wasioe wala kuolewa kwamba wawe mali ya kanisa na vyote wanavyomiliki!pia washirika waoe mke mmoja Moja kuepusha majukumu na uchumi uliobana!!

Hata leo ni uchumi tu unaotufanya tuwe na mke mmoja wala sio mapenzi ya Dini wala nini!

Na wenye fedha wanaoa wengi KWA mtindo wa mchepuko au mpango wa kando!!

Chunguza!

Kama mitara ingekuwa dhambi Ibrahim Baba wa imani angekataliwa na Mungu hata mfalme suleiman!!

Fuatilia hayo!
Kwanini usijike kuelezea kile dini yako imekuamru kufanya kuliko kutumia muda mwingi kufafanua imani usiyoijua na huifuati?
Thamani ya udanganyifu uliouandika hapa unanunua plot kubwa sana Jehanamu.
Kaza fuvu.
 
Mwanaume mwenzangu kataa kuzaa zaa hovyo unatengeneza kizazi kisichokuja kuwa na upendo, watoto wanapolelewa pamoja Kwa mama mmoja wwnatengeneza Bondi, hata kama watagombana Bado Ile bond ya upendo kati yao haitatoka, hata wakigombana hakuna atakayependa kusikia ndugu yake ameharibikiwa, haya mambo ya talaka sijui kuoa hutaki ila uzae tu, wakati umelelewa na wazazi wako, fikiria upya utafakari tena kwa makini, ni hayo tu
🙏🙏
 
Wengi wanapochanganya ni hapo....upande ule imani yao(dini)ni part fulani tu ya maisha wakati upande mwingine dini(imani)ni part ya mifumo yote ya maisha.......uislam ni mfumo kamili unaweza kujiendesha bila hata ya sheria za serikali /eneo fulani ila upande wa pili mambo mengi hayawezi kwenda bila sheria za nchi /eneo husika
Swadaqta!!!
 
Kuoa mke moja hakujawahi kukatazwa kwenye biblia maana hata kina Musa waliotuletea amri kumi walikuwa na mke zaidi ya moja kwa baraka zote za Mungu.

Yesu alielezea tu kumpa talaka mwanamke na wala hakugusia kuweka katazo la kuoa mke zaidi ya moja.

Hizi sheria za ndoa za sasa zilitafsiriwa kuendana na tamaduni za nchi kama Romania ambako dini ya kwanza ya kikristo ilizaliwa na hata hapo baadae dini nyingine zilipojiengua kitoka uroma, sheria za ndoa zilifanana na dini ya kwanza ya kikristo

Musa alikua na wake wangapi? Yesu alikataza alisema tangu mwanzo Mungu aliumba mtu mke na mtu mme hao wawili wataacha wazazi wao na kuwa mwili mmoja.
 
Kwanini usijike kuelezea kile dini yako imekuamru kufanya kuliko kutumia muda mwingi kufafanua imani usiyoijua na huifuati?
Thamani ya udanganyifu uliouandika hapa unanunua plot kubwa sana Jehanamu.
Kaza fuvu.
Dhambi ni ipi!?

Toa ufafanuzi mkuu!

Wapi nimedanganya!

Kama nilichoandika ni uongo nambie wapi!!!

Hakuna katazo la mke zaidi ya mmoja katika Mwandiko!

Yesu alikataza kuachana hata akasema alichokiunganisha Mungu kisitenganishwe hakukataza mitara ambayo aliikuta KWA ndugu zake WAISRAEL waliorithi utamaduni huo KWA yakobo mwenye wake wanne Yaani Leah, Rachel,Bilha na zilpa!

Ndio maana paulo anakazia uaskofu na ushemasi unawafaa wenye mke mmoja!!

Sasa jiulize anasemaje mke mmoja kama hawapo wenye mitara waliopo KANISANI!!?
Au miongoni mwa waamini!?

Njoo na hoja!

Au ndio we ndio wale mlioamnishwa KUHOJI Mwandiko ni dhambi na asemalo mchungaji,askofu au padri ni lazima kifuatwe hata kama kina ukakasi!!!?
 
Back
Top Bottom