Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

Mahakamani kuna ndoa kibao zinavunjwa za kila dini,hivyo sio wakristo pekee wasiamini sheria za dini yao
Usitafute justifications ,,hakuna muislamu wa kwenda kudai talaka mahakamani labda awe mpumbavu ...watu wamepewa ruksa ya kutengana pindi hali ikiwa tafrani ....Yann tusumbuane mahakamani..
 
Ndoa ya ali kiba imevunjwa na mahakama kule kenya. Punguza povu mkuu
Usitafute justifications ,,hakuna muislamu wa kwenda kudai talaka mahakamani labda awe mpumbavu ...watu wamepewa ruksa ya kutengana pindi hali ikiwa tafrani ....Yann tusumbuane mahakamani..
 
Na chanzo kikuu ni kufuata sheria za watu viongozi wa makanisa wanaofanya ndoa ziwe ngumu badala ya kufata maandiko matakatifu yaliyorahisisha ndoa

1. KUVUNJA NDOA
Sheria ya ndoa za kikristo imekataza kuvunja ndoa kasoro tu ukiwa na ushahidi watu wajue "unachapiwa" na ndio maana huwa mafumanizi yanaandaliwa, cha ajabu watu wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa zao kwa sheria, sababu zao ni kwamba mwenzake ni mchawi, kwa miezi anamnyima unyumba, ni mlevi, anatukania wazazi wake, anatenga ndugu zake, n.k inashindikana vipi kuvumiliana kwenye shida kama mlivyokubali kiapo cha shida na raha ?

2. KUOA / KUOLEWA UPYA
Sheria ya kuoa upya ndoa za kikristo ni pale tu mwenza wako akifa ama uwe na ushahidi watu wajue unachapiwa, cha ajabu mtu akishindwana na mwenzake kwa sababu zilizo nje ya hizo mfano kunyimwa unyumba, mke anatenga ndugu zake, mme anampiga sana, n.k. anakimbilia mahakamani kuvunja ndoa na anaoa ama kuolewa upya,

3. KUONGEZA MKE / MME
Sheria za kuongeza mke hazipo kwenye ukristo lakini mambo ni tofauti, Michepuko imekuwa ni wimbo wa taifa kwa sasa hasa kwa wakristo maana hawarusiwi kuongeza mke, imekuwa kama fashion, mtu anavyoishi na mchepuko ni kama mke wake tu, ni kawaida hata kukuta mchepuko kajengewa nyumba, chanzo cha haya yote utasikia "mme kaenda jela kifungo cha maisha", "mke kaenda kusoma ulaya miaka mitatu", "nyumbani kuna vurugu hakuna amani hatuongei", n.k

4.MIMBA AMA KUZAA KABLA YA NDOA

Imekuwa kama fashion sikuhizi, mimba ama kuwa na watoto kwanza kabla ya ndoa, sababu ni kwamba ndoa ya kikristo ni mpaka kifo, wengi wanaogopa kuoa wanawake wenye matatizo ya uzazi waje kuishi bila watoto, wazazi wao wakose wajukuu....
 
Kaka nimefatilia thread zako za nyumba nimeona unaongelea zaidi kuhusu ndoa za kikristu au umeingia kwenye ndoa umekuta yaliyomo hayamo
Mimi siwezi kuoa ndoa ya kikristo ambayo inafata sheria za viongozi wa makanisa waliozitunga kulingana na tamaduni za nchi zao za ulaya na sio kufata maandiko .... Heri nioe ndoa ya kitamaduni.

Mfano mdogo tu, Yesu hakuzungumzia chochote kuhusu kukataza kuoa upya wala kukataza kuongeza mke, alichozungumzia ni utaratibu wa kumuacha mke ikiwa tu kazini, basiiii!!
 
1. KUVUNJA NDOA
Sheria ya ndoa za kikristo imekataza kuvunja ndoa kasoro tu ukiwa na ushahidi watu wajue "unachapiwa" na ndio maana huwa mafumanizi yanaandaliwa, cha ajabu watu wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa zao kwa sheria, sababu zao ni kwamba mwenzake ni mchawi, kwa miezi anamnyima unyumba, ni mlevi, anatukania wazazi wake, anatenga ndugu zake, n.k inashindikana vipi kuvumiliana kwenye shida kama mlivyokubali kiapo cha shida na raha ?

2. KUOA / KUOLEWA UPYA
Sheria ya kuoa upya ndoa za kikristo ni pale tu mwenza wako akifa ama uwe na ushahidi watu wajue unachapiwa, cha ajabu mtu akishindwana na mwenzake kwa sababu zilizo nje ya hizo mfano kunyimwa unyumba, mke anatenga ndugu zake, mme anampiga sana, n.k. anakimbilia mahakamani kuvunja ndoa na anaoa ama kuolewa upya,

3. KUONGEZA MKE / MME
Sheria za kuongeza mke hazipo kwenye ukristo lakini mambo ni tofauti, Michepuko imekuwa ni wimbo wa taifa kwa sasa hasa kwa wakristo maana hawarusiwi kuongeza mke, imekuwa kama fashion, mtu anavyoishi na mchepuko ni kama mke wake tu, ni kawaida hata kukuta mchepuko kajengewa nyumba, chanzo cha haya yote ni visababu vidogo vidogo tu kisa mke hajui kupika, ananyimwa unyumba, mme anampiga sana, n.k.
Kwa sababu wewe sio mwanadamu ndo maana unakuja na mada za kijinga, wanadamu hakuna mkamilifu hata huko kwa waislamu ambako inarusiwa kuoa wake wa-nne na kutoa talaka still wako wanaolalamika wewe fanya kile unachoona ni sahii
 
Waislam wanahusika vipi hapa ?
 
Very simple mbona. Hamia imani nyingine. Unayo free will. Unachoona chema then nenda..kifate. Kama hutaki dini pia its fine..achana nayo. Kama unayo power anzisha dini yako. Life is so simple mkuu.
Wanawake wa kikristo nanyi mnashindwaje kuvumilia kuwasubiria wanaume wakipewa vifungo vya miaka 30 jela ?

Mna visingizio vya ajabu sana kuolewa upya, unashindwa vipi kumsubiri mme wako amalize kifungo cha miaka 30 ndio mje mpate mtoto ?
 
Wewe unaongelea hao wakristo, sijui unahusianisha vipi matendo ya baadhi ya wakristo na kusema umepigwa!!

Jaribu kurelate vizuri ukifuata na vifungu na sio ushahidi wa janja janja kama huo wa kusema flani kafanya hivi ikawa vile, pauka pakawa, alfu lela ulela...

Sasa hapo wewe ulichopigwa ni kipi?? Maandiko yako wazi, kama huwezi kuyafuata basi zama kwa shetani..

Ni sawa na kusema, imani za dini tumepigwa coz watu wakipata nyege wanazini, sasa hizo si ni dhambi zao. Mtu anafanya dhambi kivyake wewe unakua umepigwa kivipi mkuu??
 
1. KUVUNJA NDOA
Sheria ya ndoa za kikristo imekataza kuvunja ndoa kasoro tu ukiwa na ushahidi watu wajue "unachapiwa" na ndio maana huwa mafumanizi yanaandaliwa, cha ajabu watu wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa zao kwa sheria, sababu zao ni kwamba mwenzake ni mchawi, kwa miezi anamnyima unyumba, ni mlevi, anatukania wazazi wake, anatenga ndugu zake, n.k inashindikana vipi kuvumiliana kwenye shida kama mlivyokubali kiapo cha shida na raha ?

2. KUOA / KUOLEWA UPYA
Sheria ya kuoa upya ndoa za kikristo ni pale tu mwenza wako akifa ama uwe na ushahidi watu wajue unachapiwa, cha ajabu mtu akishindwana na mwenzake kwa sababu zilizo nje ya hizo mfano kunyimwa unyumba, mke anatenga ndugu zake, mme anampiga sana, n.k. anakimbilia mahakamani kuvunja ndoa na anaoa ama kuolewa upya,

3. KUONGEZA MKE / MME
Sheria za kuongeza mke hazipo kwenye ukristo lakini mambo ni tofauti, Michepuko imekuwa ni wimbo wa taifa kwa sasa hasa kwa wakristo maana hawarusiwi kuongeza mke, imekuwa kama fashion, mtu anavyoishi na mchepuko ni kama mke wake tu, ni kawaida hata kukuta mchepuko kajengewa nyumba, chanzo cha haya yote utasikia "mme kaenda jela kifungo cha maisha", "mke kaenda kusoma ulaya miaka mitatu", "nyumbani kuna vurugu hakuna amani hatuongei", n.k
Leo nimewahi ila nimekuta hakuna siti. Ni akina nani wanahusika?
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom