Usitafute justifications ,,hakuna muislamu wa kwenda kudai talaka mahakamani labda awe mpumbavu ...watu wamepewa ruksa ya kutengana pindi hali ikiwa tafrani ....Yann tusumbuane mahakamani..Mahakamani kuna ndoa kibao zinavunjwa za kila dini,hivyo sio wakristo pekee wasiamini sheria za dini yao
Usitafute justifications ,,hakuna muislamu wa kwenda kudai talaka mahakamani labda awe mpumbavu ...watu wamepewa ruksa ya kutengana pindi hali ikiwa tafrani ....Yann tusumbuane mahakamani..
Mimi siwezi kuoa ndoa ya kikristo ambayo inafata sheria za viongozi wa makanisa waliozitunga kulingana na tamaduni za nchi zao za ulaya na sio kufata maandiko .... Heri nioe ndoa ya kitamaduni.Kaka nimefatilia thread zako za nyumba nimeona unaongelea zaidi kuhusu ndoa za kikristu au umeingia kwenye ndoa umekuta yaliyomo hayamo
Kwa sababu wewe sio mwanadamu ndo maana unakuja na mada za kijinga, wanadamu hakuna mkamilifu hata huko kwa waislamu ambako inarusiwa kuoa wake wa-nne na kutoa talaka still wako wanaolalamika wewe fanya kile unachoona ni sahii1. KUVUNJA NDOA
Sheria ya ndoa za kikristo imekataza kuvunja ndoa kasoro tu ukiwa na ushahidi watu wajue "unachapiwa" na ndio maana huwa mafumanizi yanaandaliwa, cha ajabu watu wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa zao kwa sheria, sababu zao ni kwamba mwenzake ni mchawi, kwa miezi anamnyima unyumba, ni mlevi, anatukania wazazi wake, anatenga ndugu zake, n.k inashindikana vipi kuvumiliana kwenye shida kama mlivyokubali kiapo cha shida na raha ?
2. KUOA / KUOLEWA UPYA
Sheria ya kuoa upya ndoa za kikristo ni pale tu mwenza wako akifa ama uwe na ushahidi watu wajue unachapiwa, cha ajabu mtu akishindwana na mwenzake kwa sababu zilizo nje ya hizo mfano kunyimwa unyumba, mke anatenga ndugu zake, mme anampiga sana, n.k. anakimbilia mahakamani kuvunja ndoa na anaoa ama kuolewa upya,
3. KUONGEZA MKE / MME
Sheria za kuongeza mke hazipo kwenye ukristo lakini mambo ni tofauti, Michepuko imekuwa ni wimbo wa taifa kwa sasa hasa kwa wakristo maana hawarusiwi kuongeza mke, imekuwa kama fashion, mtu anavyoishi na mchepuko ni kama mke wake tu, ni kawaida hata kukuta mchepuko kajengewa nyumba, chanzo cha haya yote ni visababu vidogo vidogo tu kisa mke hajui kupika, ananyimwa unyumba, mme anampiga sana, n.k.
Waislam wanahusika vipi hapa ?Kwa sababu wewe sio mwanadamu ndo maana unakuja na mada za kijinga, wanadamu hakuna mkamilifu hata huko kwa waislamu ambako inarusiwa kuoa wake wa-nne na kutoa talaka still wako wanaolalamika wewe fanya kile unachoona ni sahii
Wanawake wa kikristo nanyi mnashindwaje kuvumilia kuwasubiria wanaume wakipewa vifungo vya miaka 30 jela ?Very simple mbona. Hamia imani nyingine. Unayo free will. Unachoona chema then nenda..kifate. Kama hutaki dini pia its fine..achana nayo. Kama unayo power anzisha dini yako. Life is so simple mkuu.
Leo nimewahi ila nimekuta hakuna siti. Ni akina nani wanahusika?1. KUVUNJA NDOA
Sheria ya ndoa za kikristo imekataza kuvunja ndoa kasoro tu ukiwa na ushahidi watu wajue "unachapiwa" na ndio maana huwa mafumanizi yanaandaliwa, cha ajabu watu wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa zao kwa sheria, sababu zao ni kwamba mwenzake ni mchawi, kwa miezi anamnyima unyumba, ni mlevi, anatukania wazazi wake, anatenga ndugu zake, n.k inashindikana vipi kuvumiliana kwenye shida kama mlivyokubali kiapo cha shida na raha ?
2. KUOA / KUOLEWA UPYA
Sheria ya kuoa upya ndoa za kikristo ni pale tu mwenza wako akifa ama uwe na ushahidi watu wajue unachapiwa, cha ajabu mtu akishindwana na mwenzake kwa sababu zilizo nje ya hizo mfano kunyimwa unyumba, mke anatenga ndugu zake, mme anampiga sana, n.k. anakimbilia mahakamani kuvunja ndoa na anaoa ama kuolewa upya,
3. KUONGEZA MKE / MME
Sheria za kuongeza mke hazipo kwenye ukristo lakini mambo ni tofauti, Michepuko imekuwa ni wimbo wa taifa kwa sasa hasa kwa wakristo maana hawarusiwi kuongeza mke, imekuwa kama fashion, mtu anavyoishi na mchepuko ni kama mke wake tu, ni kawaida hata kukuta mchepuko kajengewa nyumba, chanzo cha haya yote utasikia "mme kaenda jela kifungo cha maisha", "mke kaenda kusoma ulaya miaka mitatu", "nyumbani kuna vurugu hakuna amani hatuongei", n.k
Very simple mbona. Hamia imani nyingine. Unayo free will. Unachoona chema then nenda..kifate. Kama hutaki dini pia its fine..achana nayo. Kama unayo power anzisha dini yako. Life is so simple mkuu