Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,098
- 14,001
Mkorogo+Nywele feki wananuka kama feri ya zamani.Ni ujinga na upumbavu na ulimbukeni kwa mwanaume kujichubua, hizo ni tabia za baadhi ya wasichana na wanawake wasiojitambua
Mkorogo+Nywele feki wananuka kama feri ya zamani.Ni ujinga na upumbavu na ulimbukeni kwa mwanaume kujichubua, hizo ni tabia za baadhi ya wasichana na wanawake wasiojitambua
Kwamba wakiwa na rangi nyeusi wanabaguliwa? Sikilizeni wakaka , yaani sis wanawake tunapenda wakaka weusi balaa, msijichubue kabisa mnaharibu, ukiwamweusi tembea kifua mbereee wadada wanapenda hiyo rangiVijana wa kiume na wa kike sasa hivi wanajichubua kwasababu ya ubaguzi na upendeleo unaokuwepo ktk jamii
Mfano unakuta mtoto anakosea mzazi anamwambia kwamba amefanya hivyo na ndo maana tu mungu alimuumba mweusi
Mweusi kama chungu cha mchawi
Wewe ni mweusi hadi huko rohoni kwangu
Una uzuri gani wewe mweusi kama mkaa!
Tatizo wewe ni mweusi sana yaani mbayaa
Ila jamaa wewe ni mweusi aisee sijui huko kwenu ulitokea wapi
Wazazi wako sisi ni weupe hata sijui ilikuaje tukakuzaa ww ukawa mweusi kuliko watoto wote
Wazazi na jamii kuonyesha mapenzi kwa watoto au watu weupe huku wale weusi wakiachwa tu unakuta mzazi anampenda mtoto mweupe na kuonyesha mapenzi ya waziwazi dhidi ya yule mweusi.
Jamii ya kitanzania inaongoza kwa kuwabagua watu weusi nazungumzia mtu ambaye ni mweusi yaani cheusi mangala
Huko mashuleni ndo usiseme na utani wa hapa na pale, ukigombana tu na mtu cha kwanza anaanza kukushambulia na ngozi yako kwanza kwenda huko ndo maana wewe ni mweusi, peleka weusi wako huko, lione leusi.
Mwishoni kaka wa watu au dada wa watu anaanza kujichubua tu, ubaguzi unauma sana asikwambie mtu bora hata kuuawa kuliko kubaguliwa au maneno ya ubaguzi
Hawajielewi hao wadadaLinishike vipi mzee wakati hapa nachagua yupi wakumtafuna najichagulia tu.
Huwa namwambiaga demu wangu nikikuhitaji kwa sex ukazingua basi nachukua demu mwingine aka replace nafasi kwa muda.
Hapo nakuwa namchanganya anaweza kunipa hata akiwa period.
Na hii sio kwa demu mmoja bali ni demu yeyote ninayekuwa naye. Hadi wakati mwingine nakaa nawahurumia jinsi ninavyowaburuza kama watumwa vile.
@aisome@CmpKwamba wakiwa na rangi nyeusi wanabaguliwa? Sikilizeni wakaka , yaani sis wanawake tunapenda wakaka weusi balaa, msijichubue kabisa mnaharibu, ukiwamweusi tembea kifua mbereee wadada wanapenda hiyo rangi
Yaani ww ndo unaharibu..umemkwot cheupe dawa hapo🤧Hawajielewi hao wadada
Labda ni watoto
Tall
Black
Hb ndo habarii
🤣🤣🤣 naogopa mie ujue🤣🤣🤣Hivi umeona wnajitetea ni wazuri wako kama wawili hivi
Nyamvuto😋@cmp ni kijana wetu mzuri mzuri makofi kwake tafadhali
Weka picha@cmp ni kijana wetu mzuri mzuri makofi kwake tafadhali
Ngoja waje na hasira zao wakwambie weusi ni laanaNaunga mkono hoja
Na weusi hawajiamini coz ni wabayaNgoja waje na hasira zao wakwambie weusi ni laana
Na weusi hawajiamini coz ni wabaya
Huyo mtoto tu naona findings zake zimeishia alipoYaani ww ndo unaharibu..umemkwot cheupe dawa hapo
Kwa kweli nashukuru sijakutana na magume gume. Wachache sijajua kwako ni idadi gani. Wewe unaweza kuwa umetengea na wanaume 70-100 ukaona wachache. Mimi idadi ya wasichana niliotembea nao sijakutajia idadi rasmi ya nliotembea nao. Nmekwambia waliotaka kupata mimba kwa msisitizo. Wanaweza kuwa wachache kama ambavyo nawe ungesema waliotembea nawe na kukupa mimba ni wangapi.Umekutana na wanawake au visichana vichache mkuu
Inashangaza sana.Kuwa mbaya nayo ni sifa?
Aha aha..Na weusi hawajiamini coz ni wabaya
Mhh sio mpenzi wa tv aisee...Aha aha..
Kuna mtangazaji wa zamani zile wa EATv kipindi cha Strictly Kenya! Alikua anaitwaga nani??
HaswaaaMiafrika ndivyo tulivyo.
Tunabaguana wenyewe wakati wote tunaitwa NYANI na mzungu.
Vipi mkuu ulishapata ile lotion?Nani huyo