Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 20,268
- 50,057
Ingekuwa amri yangu wangewekwa ndani wote kina vyeupe wanaongeza bure idadi ya wanaume wakati hatuna kazi nao, kiukweli mwanaume mweupe kwangu naonaga kinyaa nafsi hupoa km nimemwagiwa barafu,Hahahahhaaa yaani ww ndo umekuja kuharibu kabisa jamani! 🤣🤣🤣! Hahahhaa....
Nashukuru sana nimetoa vitoto vyeusi,