101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,040
- 2,121
Leo nta share ka story Kidogo kuhusu UBAGUZI UGHAIBUNI MWAKA 2021 NILIENDA NCHI IITWAYO KYRGYZSTAN Nashangaa nilipendwa na wanawake tupu ila wanaume walikuwa wabaguzi kinoma, Wana wivu na mambo mengi ya ajabu sana Twende kazi
Kusema kweli nchi ile ni nzuri mno kuna wa dada wazuri kama unavyoona warusi na wa Ukraine au wa uzebarkstan yaan ukanda ule acha! Sasa nilipata kazi trip moja ya mwezi Mzima huko nikafikia hotel inaitwa futuro hotel nikaambiwa kwamba hapa bishkek pazuri sana kwa kutembelea
Kusema kweli nilienjoy kuwa eneo hilo maana bishkek Kuna wanawake warembo sana sana yan na walikuwa wakinitania kwamba Mi Mme wao Ila changamoto ili usibughudhiwe Inabidi ama utafte demu wa Kwenda naye kila sehemu ili wengine wasisumbue kukutaka, ubovu wanaume wa kule wajinga Ukipita Njian wanapiga kelele wanaita kwa Jina la dharau, ukipita sehemu wanacheka, wengine wanakuita jina la ajabu linaanza na matamshi na N kwa kirusi Ila nilivumilia, najua kujichanganya sana na watu mi najua kisasi nililipiza wapi
Kuna siku Niko njian naona watu Kama Wanashusha Vioo kwa gari kumbe ni wavulana wakatukana kweli, Ila nikaacha, nashangaa siku moja mhudumu wa hotel anaitwa Sasha akanifuata chumbani naye anataka picha na Mimi nikiwa uchi … nikasema acha upuuzi . Ukiita taxi wakaona ni mweusi wanapitiliza, nashangaa.
Nilienda kituo cha basi nikakaa wee magari yanapitiliza, siku kama nne hayasimami, siku moja nikawa na wengine weupe likasimama, nikagundua kwamba ili gari lisimame lazima nisimame na wengine weupe wa huku, nikiwa mwenyewe niliambulia lift za wa dada kwenye vigari vyao na wakawa wanataka kupiga picha na mimi
Kwenye hotel Kuna zinazokukataa na kusema wako full kisa NIGA ndo unaomba Nafasi, kwenye trein au basi ukiingia wanahama nafasi wanakuacha peke yako kwa siti, nikaenda library moja nikanunua kitabu japo mahudhui ni nyingine ila title ni MY MOTHER TOLD ME MY FATHER WAS MONKEY.
Nikawa nakisoma hicho kitabu kila niingiapo kwa basi au trein Haha wanashangaa, mi kubaguliwa hakukuwai kuniathiri chochote , maeneo mengine nje ya BISHKEK wao walikuwa hawanibagui Ila huko nilikuwa maarufu wakawa wa Naomba picha nilikataa wengine wakawa radhi wazilipie na Wengine wakawa wanataka kulipia nakataa, kuna mmoja anaitwa SAMIRA nam Kumbuka huyo demu aliandika ki proposal kwamba hajawai onjwa au onja mweusi anataka {_____}
Wengine mademu wajinga wanataka picha nao Lakin full body Naked bafuni nikasema acha ujinga.
Imeandikwa na @baryanebanzi