Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

Vijana wengi hawajiamini na kingine kuigaiga mambo

Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
Hili la kutokujiamini ni tatizo kubwa sana kwa jamii yote ya Tanzania. Unakuta mtu hataki au hana hobby ya kitu fulani lakini analazimisha kuiga wengine ili asichekwe na kuambiwa mshamba. Hili tatizo linaleta tatizo jingine la watu kuwa kama yule mnyama nyumbu i.e. kufuata mkumbo.
 
Daima kitu kizuri ndo kinachosifiwa.

Unakuwa na mwanaume ana sura ngumu hadi ukipita nae mbele za watu wanashangaa nakucheka kwamba huyu mwanamke alikosa nini hadibakawa na mwanaume kama huyu.

Kweli wewe ni mzuri mkuu acha kabisa,
 
Hao wanaume weusi wenyewe wanasema kwa rangi zao kuoata mademu wakali tena weupe ni ngumu mno ndo maana ili mwanaume mweusi amiliki demu mzuri lazima apambane sana apate hela ili iwe kama kivutio.

Lakini kwa mwanaume mweupe hahitaji ulazima wa pesa kumiliki demu mkali anachohitaji ni weupe wake tu kuwagonganisha warembo.

Ukweli uachwe kuwa hivyo maana kujifariji kwakuwa umeumbwa mweusi wala haitabadili ukweli.
Come, let's bet! Am black
 
Back
Top Bottom