kifamilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Tusiendekeze nyadhifa(titles) za kifamilia katika siasa na uongozi wa umma

    Kuitana "mama yangu", "baba yangu", "mdogo wangu", "kaka yangu", "dada yangu", "shangazi yangu", "shemeji yangu" na vyeo vingine kama hivyo katika shughuli za siasa na umma ni utamaduni mpya uliovuka mipaka, kushika kasi na sasa unaanza kukomaa. Zamani vyeo vya kifamilia ambavyo nilikuwa...
  2. B

    Tuige Mfumo wa Kifamilia kama Waarabu na Wahindi, Tutafanikiwa kama Familia na Taifa kwa Ujumla

    Nimeishi kwenye jamii za Hawa watu Takriban miaka 8 sasa. Nimefanya nao kazi za Maofsini na za Nje ya ofisi yaani za kijamii na Uchumi. Pamoja na changamoto nilizoona ktk familia zao na mfumo mzima wa maisha yao lakini bado kuna nafuu sana ukilinganisha na ya kwetu sisi watu weusi. Hizi jamii...
  3. GENTAMYCINE

    Acheni Kutudanganya Fabrice Ngoma alikuwa hana Matatizo ya Kifamilia, bali Aligoma hadi alipwe chake

    GENTAMYCINE naipenda sana Simba SC yangu na napenda sana Kuwacharura Yanga SC hapa JamiiForums kama sehemu yetu ya Utani wa Jadi ila hakuna Kitu nachukia kama Uwongo na Propaganda za Kitoto. Taarifa ya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa Kiungo Fabrice Ngoma hakuwepo Kikosini kwakuwa alipatwa...
  4. Nyafwili

    Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

    Umaskini ni mbaya sana, hasa pale ikiwa ndani ya ukoo wewe ndiye maskini zaidi kuliko wengine, epuka mikusanyiko ya familia hadi uwe na pesa. • Ikiwa unajua wewe ndiye masikini zaidi kati ya ndugu zako au hufanyi vizuri kwenye masuala ya kifedha, ninapendekeza uepuke matukio ya familia au...
  5. sky soldier

    Chuoni tuliaminishana kwamba ni sehemu ya kujenga connection za ajira lakini kiuhalisia ajira za connection 90% ni za kifamilia ama kindugu tu

    Nakumbuka tukiwa chuoni miaka hio 2011 tulikuwa tunaaminishana sana kwamba mtu inabidi ujenge connection sana chuoni ndio zitakusaidia kupata ajira, lakinii uhalisia baada ya kumaliza chuo ulikuwa ni tofauti sana. Hata uwe rafiki wa mtoto wa kigogo ni ngumu sana baba yake akupigie connection...
  6. Mto Songwe

    Hivi ni kitu gani kinatusumbua sisi mpaka biashara au utajiri wa kifamilia unakuwa mgumu sana au una shindikana kabisa ?

    Hili ni swali huwa najiulizi mara nyingi. Hivi ni kitu gani kinasumbua jamii yetu mpaka utajiri au biashara za kifamilia kufa na kushindwa baada ya mwenye mali kufa ? Maana ukitazama wenzetu waarabu wanaweza kufanya biashara au kuendeleza utajiri wa familia kwa miaka mingi sana vizazi na...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Ujasusi wa Kifamilia: Stadi za kazi (Maisha) kwa Watoto

    UJASUSI WA KIFAMILIA; STADI ZA KAZI(MAISHA) KWA WATOTO Anaandika, Robert Heriel Jasusi Wapi tulipotoka, wapi tupo, na wapi tuendako? Tulikuwa wangapi, tupo wangapi, na tunatarajia tuwe wangapi? Tulikuwa na nini, tunanini na tunahitaji kuwa na nini hapo baadaye? Tulifanya nini, tunafanya nini...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki

    Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
  9. Dr Matola PhD

    Tuongee Kifamilia leo, kama unataka kuoa au kuolewa na mna imani za dini tofauti jitafakari upya

    Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hawa wanandoa. Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni Mkristo oa Mkristo mwenzako. Issue ni ngumu, Mkristo kaowa mwanamke muislamu kipindi mahaba...
  10. Stroke

    Jina la mwanangu limezua vita ya kifamilia

    Wakuu nipo njia panda ya kuchagua upande. Haya mambo yasikie tu kwa wengine. Wakati anazaliwa mwanangu huyu mama yake mzazi mwenzangu ndio alisimamia jambo hili ukizingatia kuwa hiyo ndio ilikua taaluma yake. Sasa jamaa alipozaliwa tu huyu mama akampa jina dogo tuseme jina Y maana ndio alikua...
  11. P

    Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022...
  12. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia apongeza kuanzishwa kwa kituo jumuishi mahususi kwa kushugulukia mashauri ya kifamilia

    RAIS SAMIA APONGEZA KUANZISHWA KWA KITUO JUMUISHI MAHUSUSI KWA KUSHUGULUKIA MASHAURI YA KIFAMILIA Na Mwandishi Wetu 06/10/2021 🇹🇿🇹🇿 Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi hizo leo Jijini Dodoma wakati akizindua vituo jumuishi vya utoaji haki. Mahakama Kuu imeanzisha kituo jumuishi...
  13. toplemon

    Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

    Vijana wa kiume na wa kike sasa hivi wanajichubua kwasababu ya ubaguzi na upendeleo unaokuwepo ktk jamii Mfano unakuta mtoto anakosea mzazi anamwambia kwamba amefanya hivyo na ndo maana tu mungu alimuumba mweusi Mweusi kama chungu cha mchawi Wewe ni mweusi hadi huko rohoni kwangu Una uzuri...
Back
Top Bottom