Vijana wa kitambo chetu

Bwashee , haya maisha nyumbu wanaoitwa motivation spika wanawadanganya sana vijana laiti ningepata hata ka ujasiri ka kuwasanua wana hapa jf kummmke
Vijana tunahangaishwa na magari na maisha mazuri tusijue watu wameyavumilia, kupambana kukosa na kupata mpka kufikia hapo

Sasa sisi mtu anasema weka laki upate million, hufikirii laki Tisa itatoka wapi ??

Nadhani vijana tuwe na subra na nidhamu ya kazi, pesa na kutengeneza uhalisia kwenye utafutaji nje ya hapo ni vilio
 
Bwashee na wewe unaendeshwa na huu ujinga kwani?
 
Mkuu kama ni mlevi angalia namna ya kuacha rasmi. Life begins at 40

Yaani hapo unaachana na games kabisa. Unaanza kuangalia future na legacy kwa familia yako.

Ila nabisha huo umri huna. Wewe ukienda sana 36 hvi
Kwa nini unabisha umri wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…