Nadhani inalenga kutueleza kwa nini tunafanya choices tunazofanya. Kuna kitu kwenye jamii ambacho kinaonekana unnatural, yaani jibaba kuwa na kabinti na kijana kuwa na jimama. Lazima kuna sababu inayofanya kuwe na haya. Sasa wewe Womanofsubstance, unaweza kuangalia mwenyewe jinsi dunia inavyoenda. Kijana gani anaependa kuwa na msichana ambaye anamfanya atekeleze majukumu ya baba yake, ukionana nae tu mara sina hiki, ninunulie hiki, nifanyie hiki orodha ndefu sana. Unajua kulipa mapenzi sio jambo jema haliendani na utamaduni wetu, kwa hiyo vijana wengine wanaona why should i pay for something which we both enjoy. Someone is getting paid for enjoying and someone is paying in order to enjoy, hapo hakuna usawa.
Ndio maana people go for mimama ambayo you enjoy, learn and being taught without paying, just make her happy and make her feel respected, that is it.