Vijana kuwachukua mimama!!

Pili, kuna hii ya hadithi za wakubwa, " Mama nanii jana nilichukua kale katoto pale mtaa fulani, kalipeleka moto hako goli tano hakajashuka saa hizi mimi mwepesi kabisa", mwenzake naye anataka kujaribu huo moto.
Tatu, kunakulipiza kisasi, ati baba nanii ana katoto ka shule basi na mama nae analipiza. Hii ni hatari sana.

Nne, baba kutomfikisha mama kileleni, hasa wamama wanapokuwa wanene na baba ni mnene, baadhi ya sehemu huwa hazifikiwi, dawa hudhani ni kupata kijana ambaye atamkuna itakiwavyo na kufika huko ambako mzee mwenye mali huwa hafiki bila kutumia utaalamu wa viungo walivyokuwa navyo.

Tano, ni kutokuwa wawazi kwa wapendwa wetu. Hili ni somo pana kidogo ambalo nisingependa kuliongelea kwa undani sana, ila kwa kifupi tu ni kuwa, wengi wa wake /waume sio wakweli katika uchumba na hadi kuoana. Utakuta mtu anapendelea aina fulani ya mapenzi lakini anaogopa kumwambia mchumba wake kuwa napenda hivi na hivi. NA mbaya zaidi anapoolewa anazodi kuficha iliasijulikane. Ashakumu si matusi watumiaji wa kinyume na maumbile ni watu wazima sana. Kuna wakati pale kwa mfano Jangwani Girls mabinti hawakuwa tayari kutumika kwa njia ya kawaida, hii ilikuwa ni kuogopa mimba, na kutunza bikra kama walivyofikiria. Binti wa namna hii anapoolewa hawezi kumwambia mume ambaye ni kijana mwezake kuwa nataka huku! ukizingatia wayasemayo wataalamu kuwa ukishaonja huko si rahisi sana uache. Kama hawezi kumwambia mumewe kuwa nataka huku, ataenda wapi kama sio kumtafuta amabye atamwamrisha kuwa sasa umeshakula huku tugeuze samaki!

Wengi huishia kuwatafuta wataalamu wao waliowafundisha ama kutafuta kijana watakaye mwamuru, ukizingatia na ugumu wa maisha ya vijana wetu, atakoboa na kusaga tu mradi apate pesa za kutanulia na maisha bora (wafikiriavyo) bila kujua athari zake.

Haya ni kwa mtizamo wangu, kama nimekosea basi mnisamehe ila ndivyo nijuavyo mimi.
Wasalaam
All in all majimama yanajua kuitunza na kulea kwa mfano.

1:Fedha......kwa hali hii mbaya ya kiuchumi basi majimam yanawatoa sana serengeti boys.....

2:Vijimambo: Majimam wanajua mambo wengi wao wamekwenda jando wanapepeta ile mbaya style zao usipime ni tofauti na body zao.

3:Hawagandi.....majimama ni mazuri kwa kuwa hawagandi kama hivi vigelofrendi ambavyo kila wakati wanataka muwe navyo.JImama mnaonana akikuhitaji kwa special mission tu.
TRy one
 
Mkuu ujumbe wako umetulai vibaya sana yaani na unayosema yote ya ukweli yaani.....Kwanza ukiwa na jimama huna haja ya kupaparika na maisha......Pia kama ulivyosema hapo juu sio mchezo kutwanga na kupepeta wengine wapo fit....Hahahaha
 
Naona wachangiaji wengi ni watoto au niseme vitoto, No serousness on this, naomba niwape ushauri wa bure.
'Age An't Nothing But a Number' ni jina la Album ya Tina Tunner
Yenye wimbo wa-'What Love Got 2 Do With It?.
Ha anamaanisha umri ni mfumo tuu wa namari na hauna
Uhusiano wowote na mapenzi.
Kwa kuanzia hilo jina la mimama silipendi. Tumieni jima la wapenzi waliowazidi umri.
Hakuna sheria ya umri wa mapenzi bali tumeutengeneza kijamii kutokana na mapokeo. Inapotokea mapenzi ya dhati kati ya waliopishana umri, its fine wakioana based on true love.

Hapa simaanishi tamaa za mapenzi kwa wamama wenye nazo ambao wanawarubuni vijana wadogo not for love but as sex machines, That is wrong.

Ole wenu nyie vijana msio na mapenzi ya dhati mnapopendwa kwa dhati na waliowazidi umri mkawakubali na kujifanya mnapenda kwa dhati usoni lakini siyo pendo la toka mioyoni mwenu kwa lengo la kuwahadaa wenzenu ili mfaidi fedha zao, amini usiamini, Eventually mtaishia pabaya. Hata kama hizo pesa umenufaika nazo, the supreme law of nature by the name of 'karma' will take care of you na cha moto utakipata.

Michezo yote chezeni lakini mapenzi usichezee!.

Siku zote ukiwa na njaa lazima kula sasa kama wewe unaona wote ni watoto waliochangia ungekaa kimya tu.......
 
Naomba kuchangia...Mimaa inapenda kupigwa kisawasawa..mi baba imechoka kazi kupiga tungi...ndio maana mimaa inapenda issue ya vijana.. kama si kweli naomba mamaa mmoja apinge hoja yangu....!!!

Hamna wa kupinga mkuu hoja yako imekamilika
 
Umesema baadhi ya mambo ya muhimu. Sina tatizo na mapenzi kati ya watu waliotofautiana umri. Hata hivyo sipendi ushabiki wa kipuuzi na mapenzi ya maslahi. Yaani kupenda vya kunyonga tu...!

Papizo et al, just note that "CHEAP IS ALWAYS EXPENSIVE"! Ndo maana simba aliyekamilika (isipokuwa mizee iliyong'oka meno) hali mizoga hata siku moja! You will enjoy to your last nerve if you work for your meal. Waiting for the food on a silver plate is as dangarous as slavery. Huu ni ufisadi wa ajabu unatakiwa kupigwa vita kwa nguvu zote. I thought everybody would be happy if we were informed that each and everyone of us works hard to pay for his/her bill and not to sit down and sharpen your ----- for the mizoga! Shame on everyone who goes for such silly practice!

Wazo zuri lakini watu wanakwenda na wakati.....Mambo ya mwaka 47 yalishaachwa tayari!!!
 
Huko unakoita kwenda na wakati ndizo silaha ya maangamizi! Huu ni kama ugaidi tu. Sikio la kufa halisikii dawa!

Maneno yako niya kawaida kwa watu ambao wanataka kusikia hoja za upande mmoja. Siwezi kusifia uchafu ili nisionekane wa mwaka 47. Kama lengo la vijana wa leo ni kutoweka kwenye uso wa dunia (to go extinct) basi endekeza huu mchezo mchafu. Raha ya dunia ni kuitwa baba (tena baba kweli) au mama na si kukaa ukanyatia mizoga. I am proud to be a fighter and not a toothless scavenger/stray dog! But life is your choice anyway, though morals have no other side to compare!
 
Mimi nafikiri hili jambo ni ukosefu wa maadili yetu . kwni heshima haiuzwi dukani hivyo kujiheshimu au kumheshimu yoyote ni maamuzi ya mtu binafsi.hivyo suala la kutembea na mijimama au mijibaba mikubwa ni jambo la maamuzi ya mtu mwenyewe hasa asiyekuwa na maadili na kujiheshimu.
 
All in all majimama yanajua kuitunza na kulea kwa mfano.

1:Fedha......kwa hali hii mbaya ya kiuchumi basi majimam yanawatoa sana serengeti boys.....

2:Vijimambo: Majimam wanajua mambo wengi wao wamekwenda jando wanapepeta ile mbaya style zao usipime ni tofauti na body zao.

3:Hawagandi.....majimama ni mazuri kwa kuwa hawagandi kama hivi vigelofrendi ambavyo kila wakati wanataka muwe navyo.JImama mnaonana akikuhitaji kwa special mission tu.
TRy one

Mnasema tu,,,, embu funga macho katoto ka kiume ama ka kike ka miaka 20 hivi kamesiama mbele ya jimama/jibaba (sio mmama/mbaba maana hawa wana afadhali kidogo) mkitambi kulee halafu ndo anakaita haka ka kinda darling nivue basi hii!!! Wanafanana vipi hawa? Sura imeshakunjamana kama Gorilla za kule DRC! Shame! Hata kama wanawajibika vipi, hata kama wanatoa michongo vipi, still ni aibu kubwa sana. OK, mke wa baba yako ama mume wa mama yako ukimkuta akifanya hivi na mtoto wa rika lako wewe utajisikiaje? Tusiwe washabiki hapa wa kusema age is just a number! Let us face reality, huu ni uvunjivu wa maadili. Jamani wazee wetu jaribuni kutafuta bamsapu/mamsapu anatakaga nini. Kama hamjui kusoma dalili tuwafundishe!
 
Mnasema tu,,,, embu funga macho katoto ka kiume ama ka kike ka miaka 20 hivi kamesiama mbele ya jimama/jibaba (sio mmama/mbaba maana hawa wana afadhali kidogo) mkitambi kulee halafu ndo anakaita haka ka kinda darling nivue basi hii!!! Wanafanana vipi hawa? Sura imeshakunjamana kama Gorilla za kule DRC! Shame! Hata kama wanawajibika vipi, hata kama wanatoa michongo vipi, still ni aibu kubwa sana. OK, mke wa baba yako ama mume wa mama yako ukimkuta akifanya hivi na mtoto wa rika lako wewe utajisikiaje? Tusiwe washabiki hapa wa kusema age is just a number! Let us face reality, huu ni uvunjivu wa maadili. Jamani wazee wetu jaribuni kutafuta bamsapu/mamsapu anatakaga nini ili mweze kuondoa ama kupunguza mmomonyoko huu wa maadili. Kama hamjui kusoma dalili tuwafundishe! Wako wengi watawasaidia humu.
 
Mnasema tu,,,, embu funga macho katoto ka kiume ama ka kike ka miaka 20 hivi kamesiama mbele ya jimama/jibaba (sio mmama/mbaba maana hawa wana afadhali kidogo) mkitambi kulee halafu ndo anakaita haka ka kinda darling nivue basi hii!!! Wanafanana vipi hawa? Sura imeshakunjamana kama Gorilla za kule DRC! Shame! Hata kama wanawajibika vipi, hata kama wanatoa michongo vipi, still ni aibu kubwa sana. OK, mke wa baba yako ama mume wa mama yako ukimkuta akifanya hivi na mtoto wa rika lako wewe utajisikiaje? Tusiwe washabiki hapa wa kusema age is just a number! Let us face reality, huu ni uvunjivu wa maadili. Jamani wazee wetu jaribuni kutafuta bamsapu/mamsapu anatakaga nini. Kama hamjui kusoma dalili tuwafundishe!

Mzee those are really facts.

It's hard to talk about ethics in a morally corrupted society. This is the mother of all evils which are eating us and bothering our minds. Kama tunawalaumu mafisadi, kwani wana tofauti gani na watu wa namna hii? Let's stop looking for excuses. Immoral things will remain to be immoral even when done for economical or whatever reasons. There is no way you can justify evils and devilish acts. That's the bottom line.
 
Mangi big up,kwa jamii tuliyonayo hivi sasa ni sawa na kusema umepiga Ikulu.Sina la kupunguza labda la kuongeza kama kuna mwanamke anahitaji just PM.
 
Kinachotokea kati ya huyo mama na kijana ni kwamba:

Mama ana tegemea na anapata penzi la motomoto si unajua tena vijana walivyo (ashakum si matusi) atamgeuzageuza yule mama kamachapati jikoni hivyo yule mama anapata furaha

Kwa upande wa kijana wengi wanakuwa hawana mapenzi na "jimama" ila wanafuatilia tu pesa zake na kujua atakabidhiwa usafiri basi
 
Na akishazoea ndo hivo tena hakumbuki kufanya kazi wala kuoa kijana wa watu! Anabakia Bado niponipo kwanza mama.
 
Huko unakoita kwenda na wakati ndizo silaha ya maangamizi! Huu ni kama ugaidi tu. Sikio la kufa halisikii dawa!

Maneno yako niya kawaida kwa watu ambao wanataka kusikia hoja za upande mmoja. Siwezi kusifia uchafu ili nisionekane wa mwaka 47. Kama lengo la vijana wa leo ni kutoweka kwenye uso wa dunia (to go extinct) basi endekeza huu mchezo mchafu. Raha ya dunia ni kuitwa baba (tena baba kweli) au mama na si kukaa ukanyatia mizoga. I am proud to be a fighter and not a toothless scavenger/stray dog! But life is your choice anyway, though morals have no other side to compare!

Hahahaha mkuu wewe PADRE nini???Lakini fresh wazo zuri sana kaka..Pia sio kwamba mizgo ambayo unahisi wewe pia unajuwa kuna wakati inabidi kula raha tu basi maana unaambiwa umekuja dunia kutumia maisha ya hapa sasa unataka kusema hapo ulipo wewe huna zambi???Pia hata kama ikiwa hivi je hiyo mizoga huwezi kuowa na kuweza kuitwa baba??

Anyway mkuu mawazo yako mazuri na wengi yatakawasaidia...Karibu tena
 
Mimi nafikiri hili jambo ni ukosefu wa maadili yetu . kwni heshima haiuzwi dukani hivyo kujiheshimu au kumheshimu yoyote ni maamuzi ya mtu binafsi.hivyo suala la kutembea na mijimama au mijibaba mikubwa ni jambo la maamuzi ya mtu mwenyewe hasa asiyekuwa na maadili na kujiheshimu.

Hadija kopa kwa hiyo hajiheshimu????Mhhh mkuu wazo lako zuri lakini naona kidogo lipo pembeni maana wewe unasema hao wote wanaochukua mijibaba au mijimama hawajiheshimu sasa wewe unataka watu wa aina gani wajiheshimu????Maana unaambiwa mapenzi hayaangalii tabia wala nini bora mmependana...........
 
Mangi big up,kwa jamii tuliyonayo hivi sasa ni sawa na kusema umepiga Ikulu.Sina la kupunguza labda la kuongeza kama kuna mwanamke anahitaji just PM.

Mhhh mkuu kazi ipo kweli sio mchezo.........
 
Mnasema tu,,,, embu funga macho katoto ka kiume ama ka kike ka miaka 20 hivi kamesiama mbele ya jimama/jibaba (sio mmama/mbaba maana hawa wana afadhali kidogo) mkitambi kulee halafu ndo anakaita haka ka kinda darling nivue basi hii!!! Wanafanana vipi hawa? Sura imeshakunjamana kama Gorilla za kule DRC! Shame! Hata kama wanawajibika vipi, hata kama wanatoa michongo vipi, still ni aibu kubwa sana. OK, mke wa baba yako ama mume wa mama yako ukimkuta akifanya hivi na mtoto wa rika lako wewe utajisikiaje? Tusiwe washabiki hapa wa kusema age is just a number! Let us face reality, huu ni uvunjivu wa maadili. Jamani wazee wetu jaribuni kutafuta bamsapu/mamsapu anatakaga nini. Kama hamjui kusoma dalili tuwafundishe!

Mkuu hapo hamna haibu kabisa.......Pia hakuna kuangaliana usoni ni vitendo na malove ya nguvu yanaendelea.......Ukianza kusema nichunguze hiki na hiki nadhani utaibua mengine ambayo hata hukutaka kuyajua.........Hahaha
 
Kinachotokea kati ya huyo mama na kijana ni kwamba:

Mama ana tegemea na anapata penzi la motomoto si unajua tena vijana walivyo (ashakum si matusi) atamgeuzageuza yule mama kamachapati jikoni hivyo yule mama anapata furaha

Kwa upande wa kijana wengi wanakuwa hawana mapenzi na "jimama" ila wanafuatilia tu pesa zake na kujua atakabidhiwa usafiri basi

Mhhh mkuu naona na wewe mzoefu sana maana maneno yako yametulia

Yeah kama kawaida unampa mambo mazuri hata kukusumbua hawezi kukusumbia kabisa.....Zaidi atakuwa anacheka na kukuonyesha meno basi na yeye akiona kijana unayaweza kila kitu anatoa......Hahaha
 
Na akishazoea ndo hivo tena hakumbuki kufanya kazi wala kuoa kijana wa watu! Anabakia Bado niponipo kwanza mama.

Mkuu hapo kuowa hamna tena na life si umeshapata kila kitu unapata ukiamka asubuhi chai ipo mezani kuna kuna kufanya kazi hapo???Hamna kazi tena mpaka baadae!!!
 
Back
Top Bottom