Vijana kuwachukua mimama!!

Kama unataka kujua kama kuna utamu au vinginevyo kwenye huo utaratibu fanya ufanyalo ili uonje ndiyo utajua hali halisi.Ila.mm nadhani hapo kitonga ya kimaisha na kimapenzi inahusika
 
Kiukweli hata mimi huwa napenda san hawa wa mama ila bado sijambahatisha nikipata najituliza naye videmu vipite hivi.
 
Back
Top Bottom