Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Uhuru upi wananonyimwa? usiingize dini hapo tafadhali.

Hao ni malaya kama malaya wengine, tazama clip nyingine Mkenya mwenzao kaweka wazi kila kitu.

Wala haliwahusu wenyewe wenye nchi, wote wageni hao, mwanamme na wanawake.

Mkisikia uchafu wa uasherati na uzinzi ndiyo huo. Uislam unasema msiusogelee.

Wameyataka wenyewe.

Hicho ndiyo ukisikia "kiranga komo".
Tumeshashuhudia matukio mengi waarabu wakiwafanyia ukatili housegirls wao, usihangaike kuwageuza malaika, hawana umalaika wowote, hata hao unaowalaumu hapo, wamezungukwa na hao waarabu, na inawezekana huo ukatili wamejifunza kwa hao waarabu wenyewe.
 
Hiyo haihusiani na mke wala mume.
. Umeanza trna uingonwa zamani, tulikukomesha uongo ukapunguza.

Naona umeanza kurudia kidogo kidogo.

Wacha uongo, hakuna mke wala mume wala wanawake zake hapo.

Bao wote ni malaya, huyo mwanamme na hao wanawake.
Huko shule ulienda kujifunza ujinga?

Leo umepata cha asubuhi? Maana naona unawaza mambo ya bao la kitandani asubuhi asubuhi.

Bibi, punguza jazba kila jambo linapotokea uarabuni. Akili yako hukutuma kwamba wanaoongelewa ni Waislamu. La hasha!.

Kama una stress tafuta tiba mapema.
 
Tumeshashuhudia matukio mengi waarabu wakiwafanyia ukatili housegirls wao, usihangaike kuwageuza malaika, hawana umalaika wowote, hata hao unaowalaumu hapo, wamezungukwa na hao waarabu, na inawezekana huo ukatili wamejifunza kwa hao waarabu wenyewe.
Hao madada wa nyumbani tunasoma habari nyingi wakifanyiwa unyama na wakifanya unyama hapa kwetu. Haoa mpaka wanaitwa "beki tatu". Kama siyo kuwadhalilisha ni nini huko?

Tusijifanye sisi ni malaika sana.

Kesi hii ipo wazi kabisa, hakuna Msaudi aluyehusika hapo, ni umalaya tu.
 
Hiyo haihusiani na mke wala mume.
. Umeanza trna uingonwa zamani, tulikukomesha uongo ukapunguza.

Naona umeanza kurudia kidogo kidogo.

Wacha uongo, hakuna mke wala mume wala wanawake zake hapo.

Bao wote ni malaya, huyo mwanamme na hao wanawake.
Wewe ni bonge la mpuuzi kama hujaelewa kaa kimya ama kama huna mb za kuangalia usiforce! Ni wapi nimeandika mke na mume juha wewe[emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom