Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

View attachment 1646533
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu...

Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo...

Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri...
View attachment 1646534
What IDU pretend to ignore is the underlying facts that even within Chadema as a party, there is no signs of democracy, or anything closer to it. Their Supreme Chairperson is like a monarchy. He has been there for decades.

And any attempt to unseat him democratically has seen the pioneers being met with imminent death threats, expulsion, or forced refuge. Chacha Wangwe, Zito Kabwe, Mwambe, and Sumaye are some but a few examples.

Fortunately most Tanzanian are now aware of their political and social needs and who are in a superior position to support them to success. And they equally aware of threats and mischievous ambitions of some foreign countries, whose are bent to impose in our midst a lustful puppet as a leader of their choice, who will then be used as conduit of our natural resources' plunder.

But fortunately, the people of the Republic of Tanzania have emphatically spoken, and without fear, or wavering, to that effect, during the October 28 General Elections.
Let Tanzanians embrace their own type of democracy and a rule of law, and accountability pertinent to their norms, culture, tradition and expectations.
 
Wazungu wanajua kucheza na akili za wajinga!

Wahenga walisema, ''wajinga ndio waliwao''.
Mwanzo wa hesabu ni moja wengine husema ni sifuli. Ndio kaanza hivyo. Rasmi jumuia ya kimataifa imeanza michakato ya kitaratibu na kanuni zao kuwashughulikia wezi wa kura na madikteta. Kimya kingi kinamshindo mkuu.
Matokeo ya hiki kilichofanywa na TunduLisu si ya usiku mmoja kama wanavyofanya spika na Rais nchini Tanzania leo teua kesho apisha bila taratibu. Huko taratibu za kisheria kushughulikia jambo hufuatwa ndio maana matokeo huchelewa kuyaona. Hakika madikteta wataadhibiwa.
 
Haya ni maneno ya waliokosa akili.

Ukisikia tu mtu anasema kuwa mtu fulani anatumiwa na mabeberu, utambue kuwa mtu huyo hana akili. Ukitaka kuthibitisha, mwulize ni kwa namna gani mtu hutumiwa na mabeberu, haweza kukupa jibu lolote la maana.

Neno hili kwa sasa limekuwa likitamkwa zaidi na wapenzi na mashabiki wa CCM ambao utafiti wa TWAWEZA ulithibitisha kuwa ni watu wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM hawana jipya lolote wanarudiarudia maneno hata nyimbo zilizotumika wakati wa kudai Uhuru ili kuwaweka wananchi kisaikolojia kujua ubaya wa Ukoloni. Beberu ni mbuzi dume tu kwenye kundi anayezalisha majike lakini ni aggressive sanasana akiwa kwenye heat maana anakuwa mkali kwa mabeberu mengine ili awe yeye tu. Viongozi wa mapambano ya kudai Uhuru walitumia maneno mabeberu, mabepali na mengine ili wananchi wawapende na kuwafuata wao na wawachukie wakoloni. Mbinu hizi maneno, nyimbo na sanaa zilifanikiwa sana lakini baada ya Uhuru ziliachwa kupisha Uhuru na Kazi.
 
Sijawahi Kuulizwa au Kukutana na Swali la 'Kipumbavu / Kipopoma' tokea nijiunge hapa JamiiForums kama hili lako. Limenifanya 'nikudharau' sana.
Unatakiwa ujidharau wewe kwanza, kwani umeuliza swali la kipumbavu sana.

Kwanza jiulize wewe unafaida gani kwa watanzania?

Unataka kutuambia wewe una akili nyingi kuwazidi walioanzisha hiyo Tunzo na kuamua kumpa Tund Lisu?
 
Hivi huyu ndugu hafai kuwa Rais wa JMT just because he's from Opposition Party - CHADEMA, hana uwezo wala sifa za kuwa Rais na mkuu wa nchi au tatizo lake ni nini hasa?

Na kama tatizo ni kwa sababu yuko chama cha upinzani, I suggest ajiunge haraka sana CCM na John Pombe Magufuli immediately ampishe jamaa kwenye kiti chake maana huyu ndiye mshindi wa kiti cha Uraia ktk sanduku la kura kwenye uchaguzi uliopita...!!

Jamani eeeh, we don't care anatoka chama gani. Sisi tunamhitaji mtu na mtu wa kufaa kuwa Rais wa nchi hii ni huyu haijalishi ni mCCM au mCHADEMA or whatsoever....

Hundiye Mr President Tundu Antipas Mughway Lissu aliyechaguliwa na watu whether some people like to hear it or they don't...!!

Eti Lissu anafaa kuwa rais? Tena rais wa nchi? Labda nchi ya kusadikika sio nchi iliyoko dunia hii iliyoumbwa na Mungu. Halafu eti kuna wananchi walimchagua. Mambo ya ulimwengu wa kusadikika hayo. Hao wananchi wangemchagua Lissu kwa lipi??? Kwa nza kwa wanaompenda Lissu wamshauri apunguze gharama zake kwa kumleta dereva wake wakati wa shambulizi ahojiwe na polisi ili ukweli juu ya lile shambulio ufahamike. Kwa wasiojitoa ufahamu bado wanahoji kwa nini gharama kubwa zitumike kumficha dereva. Ila kwa ambao wamejivua ufahamu wanasema sio issue kumweka dereva ughaibuni kwa gharama kubwa kisa tu ni ili asihojiwe na polisi wa Tanzania
 
Amekuwa mtu wa ngapi Kati ya waliowahi kuipata tuzo hiyo?

Sina kumbukumbu na sijui hutolewa katika interval ya kipindi gani kwamba kila mwaka au vinginevyo...

Lakini Award hii imeanzishwa mwaka 1983 na tuzo hii hutolewa kwa individual au taasisi inayokidhi vigezo...

What I know ni kuwa, mwaka huu aliyekidhi vigezo na kuipata ni Tundu A. Lissu wa Tanzania...

Unaweza kutafuta na kujua mwenyewe kupitia link hii: www.idu.com/bushthatcheraward
 
yaani tuzo waanzilishi magreth thatcher na george bush na wajinga mnajisifu . ah ah au mmesahau mmiliki mkubwa wa migodi ya barick ni george walker bush na family...beberu linampa tuzo kibaraka kwa kutetea maslahi ya mabeberu
 
Huyu thatcher aliyekuwa anawatetea makaburu Afrika Kusini na Bush aliyemtoa Sadam Hussein kwa sababu za uongo na akawaua pamoja na watoto wake leo wanaonekana wema basi akili za Tundu Lissu zinaelekea shimoni
 
Eti Lissu anafaa kuwa rais? Tena rais wa nchi? Labda nchi ya kusadikika sio nchi iliyoko dunia hii iliyoumbwa na Mungu. Halafu eti kuna wananchi walimchagua. Mambo ya ulimwengu wa kusadikika hayo. Hao wananchi wangemchagua Lissu kwa lipi??? Kwa nza kwa wanaompenda Lissu wamshauri apunguze gharama zake kwa kumleta dereva wake wakati wa shambulizi ahojiwe na polisi ili ukweli juu ya lile shambulio ufahamike. Kwa wasiojitoa ufahamu bado wanahoji kwa nini gharama kubwa zitumike kumficha dereva. Ila kwa ambao wamejivua ufahamu wanasema sio issue kumweka dereva ughaibuni kwa gharama kubwa kisa tu ni ili asihojiwe na polisi wa Tanzania

Ni vyema kuwa umetumia haki yako ya kikatiba kutoa maoni yako...

Lakini honestly, sijaelewa umeandika nini...

Sijaona counter argument yoyote zaidi ya kusoma maneno yasiyo na mpangilio wala maana ya kimantiki...

Hebu rudia tena kusoma ulichokikwoti na kisha njoo tena kujibu kama utapenda...
 
Unatakiwa ujidharau wewe kwanza,kwani umeuliza swali la kipumbavu sana.
Kwanza jiulize wewe unafaida gaani kwa watanzania?

Utaka kutuambia wewe una akili nyingi kuwazidi walioanzisha hiyo Tunzo na kuamua kumpa tundulilisu?
kwahiyo sasa hivi mmekua kama condom chadema...huyo huyo anaanda kikao cha kuulizia sijui ela za covid 19..huyo huyo anatoa tuzo kwa Tundu lissu ah ah chadema punguzeni upopoma
 
Back
Top Bottom