VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

damu mumwage nyie halafu lawama tupate sisi! punde si punde mtaumbuka na ni lazima muipate fresh mwaka huu. haiwezekani chama kinalea magaidi, mnapoteza maisha ya watu na wengine wanabaki vilema halafu tuwachekelee tu. tutapambana humu jf na polisi watapambana nanyi huko nje

mkuu hawa wanafiki wanawafanya watu hawanaakili vitu walivyoonesha hapo haviendani na uhalisia hata kidogo sijui wanamdanganya nani.


Kweli tanzania tuna ombwe............... inawezekana kabisa 50 % ya population ni matahahira lakini hatujui. No wonder division zero zinaongezeka kila kukicha. Labda dona la njano na bulga za miaka ya 70 na 80 zilikuwa na kitu ndani yake.

Ni Tanzania tu ndiyo tunaweza kupata hizi design za watu kama nyinyi kwa wingi!!
 
Tumekuwa tukihoji hapa kwa nini watoto wadogo wanakuwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa. Is it worth?

Maana katika sehemu za mikusanyikao mikubwa kama hiyi, watoto wako kwenye hatari zaidi hasa kukitokea purukushani ya aina hiyo.

Hata hivyo, aliyetupa hilo bomu, akimwona huyo mtoto alivyoumia sijui atasemaje?

Dhumuni lake hasa lilikuwa ni kumdhuru mtoto kama huyo?

Limetupwa na shetani,kwa vile ndiyo kazi yake kuangamiza hawezi kuwa na moyo wa huruma!Tunamlilia Mungu awalipe kwa kadri ya uovu wao ili wasijione washindi hapa duniani!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kaka ben tunashukuru kwa awamu hii ya kwanza ya hii video, inasikitisha sana, nimejisikia huzuni moyoni mwangu kuona hao watu wasiokuwa na hatia. haiingii akilini wanaosema kuwa mlipuko huu umesababishwa na cdm yenyewe. mungu atawaumbua tu hawa wadhalimu wa hili tukio.

Ni lazima sasa watanzania tukomeshe unyama huu!
 
It would be better If you could mind your bizz rather than kutafuta wanaume humu JF.. Next time dont comment on my issues, katafute Nape ameongea nini ndio uka komenti huko, pussy mkubwa wewe....

kama wewe ndo tabia yako kutafuta wanaume humu jf nakupa pole sana. humu watu wapo kikazi zaidi. uzalendo ndo unaotutuma
 
Limetupwa na shetani,kwa vile ndiyo kazi yake kuangamiza hawezi kuwa na moyo wa huruma!Tunamlilia Mungu awalipe kwa kadri ya uovu wao ili wasijione washindi hapa duniani!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums


Yea, endelea kukaa hapo ukimlilia Mungu bila kufanya chochote ukitegemea kuwa atakusaidia kukuondolea matatizo yako kwa vile yanaletwa na shetani.

Nikiwasoma watu kama nyie naona kabisa we are in for a very long ride.

Badala ya kudeal na tatizo, unamtafuta mchawi shetani

Poor you.
 
hili chozi lililonidondoka hapa this time,nakuomba Allah lidondoke na mtu aliolisababisha mauaji haya bila kujali yupo hapa nchini ama nje ya nchi...inshaallaah
 
Back
Top Bottom