VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

Pole mkuu, ndpo binadamu 2lpofikia, ni bora ukumbane na simba kuliko mwanadamu
Kwa kweli mwili wote umekufa ganzi. Hata kazi haziendi! Naamini kuna namna Mwenyezi Mungu atalipa!
 
Keybord leo imekuwa ni kama chemsha bongo, sijui niandike nini! Mungu awarehemu waja wake, na awajalie waliohai maarifa na utaalamu wa kuwabaini wahusika wa huo mlipuko
 
nyie msidanganye watu hapa hakuna chochote cha mno,hakuna sehemu hata moja ambayo inaonesha mtu aliyerusha bomu wala polisi kuhusika mbona maneno yenu na vitendo vinapishana.
 
uhai ni uhai mkuu, hakuna mtoto wala mtu mzima!

Lakini katika mkusanyiko kama huo watoto wako kwenye risk ya kupoteza uhai wao.

Children are vulnerable na wakati wa vurumai kama hiyo hakuna atakayemjali mtoto.

Wataishia kukanyagwa kanyagwa tuu.
 
Salary Slip, Nambalapala, Mwigulu, Ritz, Lilambo, Lizaboni, Chriss Lukosi, Nape, Mwampamba, Juliana Shonza na wengine.... endeleeni kuwatetea hao wanaowatuma na mnaowaita wasikivu, lakini damu iliyomwagika itakuwa juu yenu na vizazi vyenu

damu mumwage nyie halafu lawama tupate sisi! punde si punde mtaumbuka na ni lazima muipate fresh mwaka huu. haiwezekani chama kinalea magaidi, mnapoteza maisha ya watu na wengine wanabaki vilema halafu tuwachekelee tu. tutapambana humu jf na polisi watapambana nanyi huko nje
 
Lakini katika mkusanyiko kama huo watoto wako kwenye risk ya kupoteza uhai wao.

Children are vulnerable na wakati wa vurumai kama hiyo hakuna atakayemjali mtoto.

Wataishia kukanyagwa kanyagwa tuu.

sure mkuu. ila nafikiri chadema bado hawakuelewi
 
Ben, part one na two zitiwe kwenye cd, zisambazwe nchi nzima ili wasio acces ya u-tube waone unyama huu wa CCM.
 
hiyo picha ya juu imenitosha
siwezi hata kuthubutu kuifungua.
 
wapi sasa alipovuliwa nguo. mbona hiyo video haina kitu kipya. tunataka watuonyeshe wapi video imewonyesha polisi akirusha hilo bomu na jinsi polisi walivyomtorosha mrusha bomu

mkuu hawa wanafiki wanawafanya watu hawanaakili vitu walivyoonesha hapo haviendani na uhalisia hata kidogo sijui wanamdanganya nani.
 
tunataka hasa inayohusu hapo blue kwani ndiyo itakata mzizi wa fitina na vilimilimi vya baadhi yetu
kiukweli sasa nadhan ukweli unaweza julikana kwa kumpata muhusika aliyerusha bomu hilo binafsi nasikitika kuona watu wasiokua na hatia wanaangamia kwa maslahi ya watu wachache poleni sana wana Arusha
 
Damu za wa TZ wanzetu zimemwagika na Uhai umetoweka!!! inauma sana,ili kusiwe na mashaka pande zote,wangekamatwa MWIGULU na LEMA alafu wangekabiziwa KGB au MOSADI ndani ya masaa 24 majibu yangengepatikana.
 
Hakuna shaka tena kuwa hii serikali Mungu Aliye hai ATAIKATAA! ebu WATANZANIA WOTE TUUNGANE NA MUNGU ALIYE HAI KUIKATAA SERIKALI YA CCM.
 
Kwa heshima ya utu na roho za marehemu pamoja na wahanga wengine wa tukio hili la Soweto-Arusha, napendekeza ianzishwe thread maalumu yenye dua/maombi na wana-JF sote kwa pamoja pasipo kujali itikadi wala dini zetu tuandike neno "AMENI" kuonyesha mshikamano na kulaani wote walioasisi mpango wa tukio hili. Mkuu @MaxiShimba au @Ex-Pastor wanaweza kutusaidia kuandika hiyo Dua/Sala

Nawakiliasha: Invisible, Ben Saanane
 
wapi sasa alipovuliwa nguo. Mbona hiyo video haina kitu kipya. Tunataka watuonyeshe wapi video imewonyesha polisi akirusha hilo bomu na jinsi polisi walivyomtorosha mrusha bomu

subiri sehemu ya pili usiwe na shaka . Uwe mvumilivu wakati ukifika utaipata bila chenga
 
Mwigulu aliporudi kutoka China huku amefuga mindevu bila mpangilio, ndani ya moyo wangu ukawa unanieleza kua huyu mtu SI binadamu tena. Kuna kitu cha kikatili sana huyu mtu alienda kujifunza huko China, na hii yote ni muendelezo wa mipango yake ya kijinga.

Baada ya kuona ishu ya Lwakatare imeenda mrama, sasa ameamua kuua kabisa. Mwigulu SI binadamu tena....

chadema walifanya kosa kubwa kumwekea dhamana gaidi lwakatare. ona sasa limeua arusha na sasa linaenda kusherehekea kwao bukoba. shame on you lwax
 
kwa jinsi ilivyo hiyo video whether aliyehusika ni CDM au askari Lazima wananchi tupate ukweli.
 
Dah machozi yamenitoka hapa ofisini, naomba mwenye kitambaa cha kufuta machozi aniazime, hata kazi naachia hapa kwa leo, huu si utu ni unyama! Kisa madaraka! Mungu na awalaani wote waliofanya hivi.
 
Back
Top Bottom