VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

Kwakweli inasikitisha sana, yeyote aliyehusika kwakweli apewe adhabu kali sana
 
How long will we stand side and look? We need to stop CCM and its gangs from turning this country into a butcher, its not too late let us act now.
 
nimeiona hiyo video wakuu kiukweli inauma umefika wakat wa ccm na serikali yake dhalimu kujua hawa si tembo ambao kinana anawafanya atakavyo, imefika wakati wa kikwete kutoka madarakani bila shurutisho, immefika wakati wa wananchi kujua haki zao na kuzitafuta hata kwa mtutu

hiyo video si halisi. Wameichakachua sana chadema na wameondoa maeneo yote yanayowagusa
 
Arusha haitatawalika mpaka wana arusha watakavyomkataa kitimoto na chama chake cha majambazi
 
Naomba watu mfikirie kwa makini na kiundani zaidi..Acheni kuwasema CCM..kwanin kila siku ni mikutano ya CHADEMA tu ndo watu wanakufa? mbona hatusikii chama kingine? hebu jifikirieni..tena yote inatokea sehemu ambao walikatazwa kupewa kibali..Iringa ilikuwa hivi hivi walikataliwa kibali an soweto pia tunaambiwa walikataliwa bado wakaenda.. Kwanini walienda kama hawakupewa kibali? kama kweli wanawatakia watu wao mema ..maana walijua baadae polisi watakuja kusambaratisha. Why? tumieni machoa ya ndani...mimi nimepoteza imani nao.
 
chadema: Mlipuaji wa bomu la arusha ni polisi, hatukubali mauaji ya aina hii published on 18 jun 2013 mkurugenzi wa habari na uenezi wa chadema akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 18/06/2013 makao makuu ya chadema amesema chadema inao ushahidi wa video kuwa aliyelipua bomu kwenye mkutano wa chadema arusha ni polisi na polisi wenzake wakamsaidia kutoroka source: Chadematv youtube
serikali ya ccm ilaaniwe na vizazi vyote
 
Last edited by a moderator:
Kaka Ben Saanane Mungu akubariki kwa video hii kwan imetufumbua macho wengi, tayar nimeshaichukua na kesho nitafanya kazi ya kuisambaza kwa wananchi waone jinsi ubaya wa serkali yao ulivyo, amani imebaki kuhubiriwa majukwaani tu lakin mioyoni hakuna.

Inauma sana.
 
Last edited by a moderator:
Nimeumia na kulia kuona hii clip cjui niandike nini maana naumia Ukweli nachukia walio shila dola
 
viongozi wa dini wako wapi? mbona hakuna anayetoa tamko la kulaani haya? mimi siyo nabii wala mtume ila ni maombi yangu iwe hivi:- Mungu aliyesema kila atakayemwaga damu ya mwenzie na yake itamwagwa, auwaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga. aliyehusika na haya kama ni serikali au ni maagizo ya viongozi wa serikali kila aliyehusika haki haitamuacha kuishi!!! tutashuhudia vifo vya wahusika iwe ni kwa ajaliau shinikizo la damu au vifo vya ghafla ili mradi kila aliyehusika katika hili haki haitamuacha kuishi! na alaaniwe kila aliyehusika kwenye tukio hili kuanzia aliyeagiza mapaka waliotekeleza unyama huu! wasomaji wa bible mnamkumbuka mfalme ahabu, aliwahi kuagiza kwa mkono wa mkewe yezebeli kumuua naboth myezreeli kwa sababu ya shamba tu. lakini mungu alimtuma nabii wake eliya kutoa laana kwenye nyumba ya mfalme na alisema hivi,"mahali pale mbwa walipoilamba damu ya naboth,mbwa watailamba na damu yako naam damu yako............2wafalme 21:1-24. na mimi ninasema tena kila aliyehusika na tukio hili kuanzia aliyeagiza mpaka aliyetekeleza lazima atakufa kifo kibaya kama alivyowaua wenzake na kila anayependa haki na aseme AMINA!
 
Kwa yaliyotokea Arusha ccm inahusika kwa asilimia mia.Serikali ya ccm inanuka damu. Wapenda haki tusikate tamaa damu iliyomwagika haijamwagika bure,ukombozi umekaribia. Polisi mnahangaika na waliokusanyika kuomboleza bila kibali.Hilo mnaliona ni kosa kubwa kuliko la wauaji.
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili


WANAJF,

Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.



Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Du,!nimeumia sana!cdm julisheni dunia nzima juu ya ukatili huu.sambazeni cd za tuko hili Tanzania nzima kwani watanzania wengi hawaingii humu.
 
Ndugu Ben, Asante sana. Nimejua udhalimu wa current administration. Hakika yana mwisho haya na kwa Mungu watahukumiwa na sisi kama ndugu na Mungu pia.
 

6549. Itafahamika kama Balali alifariki kweli au yupo hai, na kama yupo hai kwanini afichwe?

Ni dhahiri umapomtaja Balali nafsi ya prof. Juan inahuzunika sana huko iliko.
Mung amfanyie wepesi, Ipo siku na hao watwana watamfuata.
 
nimeiona video watu ni wengi sana
wafuasi wa chadema wanaonekana wengi sana
inapingana na maelezo ya kuwa chadema iliona haitashinda uchaguzi kwa sababu kwenye mikutano yao kulikuwa hakuna watu na walishakuwa na wasiwasi kuwa hawatashinda.
kwa video hii inaonyesha chadema walikuwa wamekubalika kwa kiwango kikubwa

inaonyesha wazi chadema wamehujumiwa

uchunguzi huru unahitajika
 
Ee mwenyezi mungu

ee mola

ee yesu

ee mungu kama upo ,hii ndo saa ya kutuweka huru kupitia kweli.amen
 
Poleni wote waliokutwa na unyama huu, ninaamini Mungu atafanya jambo fulani kuhusiana na hili suala la ushetani. Chadema tuko nyuma makamanda wenu.
 
Back
Top Bottom