VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

hakuna lolote. Wameipeleka ujerumani kuiedit. Mtaumbuka sana mwaka huu

pole sibiri utaumbuka na ccm yako. Naona mmezoea kuidet video zenu ndiyo maana unadhani wote wanafanya hivyo. Mbona husemi hiyo hapo juu imeiditiwa?
 
chadema walifanya kosa kubwa kumwekea dhamana gaidi lwakatare. ona sasa limeua arusha na sasa linaenda kusherehekea kwao bukoba. shame on you lwax

LAZIMA itakuwa wakati unazaliwa mama yako alikua amesimama wima, ndio maana una akili ya namna hiyo. Next time, DONT make a quote on my comments, you mother fuk....
 
chadema walifanya kosa kubwa kumwekea dhamana gaidi lwakatare. ona sasa limeua arusha na sasa linaenda kusherehekea kwao bukoba. shame on you lwax

Kwetu tuna amini kitu kimoja,damu ya mtu haipotei bure,mtaokota makopo safari hii,maana jinsi unavyobwabwaja utadhani sehemu ya kichwa chako kumewekwa nazi,Shame on you.
 
hakuna lolote. wameipeleka ujerumani kuiedit. mtaumbuka sana mwaka huu

Nina shaka wewe ni jini si binadamu,kwa sababu binadamu hata kama ana chuki na mtu lakini anapoona
damu ya binadamu mwingine anaonyesha ubinadamu'
 
mtu yeyote anayebeza jeshi la polisi na mimi huwa ninambeza polisi wanafanya kazi safi.
 
ukiangalia hii video kwa makini ni wazi aliyerusha bomu kuna camera zilimnasa kabisa.
 
Sasa nimekubali saa ya mabadiliko ni sasa, watawala wakishagundua hawakubaliki tena na watawaliwa wanageuka kuwa virus na kuwadhuru watawaliwa. Vijana lazima tuikomboe Tz kwani hata wanetu hawatokuwa salama. Poleni wote mliofiwa na mnaouguza, EE mwenyezi Mungu zipokee roho za wote waliouawa na udhalimu huu, utawalipia kadiri ya mapenzi yako. AMEN
 
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili

WANAJF,

Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.

Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube

Mungu ilaani CCM...walaani viongozi wake..... na wote wanaoshabikia mauaji ..ndani na nje ya jamiiforum....
 
Last edited by a moderator:
Hakika Mungu atalipa. Damu za watu hao ziwalilie daima masikioni mwao wale wote waliohusika kwa namna moja ama nyingne.
 
mtu yeyote anayebeza jeshi la polisi na mimi huwa ninambeza polisi wanafanya kazi safi.

mkuu hebu twambie kwenye hili ni kazi gani nzuri wameifanya? umeona time toka bomu lipigwe kama walikuja haraka kutoa msaada wowote? ukiangalia hiyo video kwa makini unaweza ukadhani hakukuwa na polisi kabisa lakini kwa inavyo onekana hii video ni wazi aliye rusha bomu alichukuliwa vizuri na camera lets wait for part 2. na hapa uzuri wa polisi uko wapi? hivi kwa nini tuwe na usalama wa taifa kama matukio kama haya hayawezi kuthibitiwa kila siku. yani kazi yao ni kusema tumepokeo taarifa kwa masikitiko makubwa na kuunda tume za kujichunguza.
 
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili

WANAJF,

Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.

Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube

kweli hii ni hatari du! This is not Godish at all huyu mtu hakuwa na akili ya kujua madhara
 
Last edited by a moderator:
Hii haikubaliki kwa sabababu yoyote ile iwayo na kwa yeyote yule aliyefanya hivi.
 
M4C wameuana wenyewe hao

chama tawala oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kidumu chama tawala ,zidumu fikra sahii za mwenyekiti.
 
Nina shaka wewe ni jini si binadamu,kwa sababu binadamu hata kama ana chuki na mtu lakini anapoona
damu ya binadamu mwingine anaonyesha ubinadamu'

naumia sana ila nawalaani pia chadema kwa dirty politics wanazotumia
 
chadema walifanya kosa kubwa kumwekea dhamana gaidi lwakatare. ona sasa limeua arusha na sasa linaenda kusherehekea kwao bukoba. shame on you lwax

It would be better If you could mind your bizz rather than kutafuta wanaume humu JF.. Next time dont comment on my issues, katafute Nape ameongea nini ndio uka komenti huko, pussy mkubwa wewe....
 
kaka ben tunashukuru kwa awamu hii ya kwanza ya hii video, inasikitisha sana, nimejisikia huzuni moyoni mwangu kuona hao watu wasiokuwa na hatia. haiingii akilini wanaosema kuwa mlipuko huu umesababishwa na cdm yenyewe. mungu atawaumbua tu hawa wadhalimu wa hili tukio.
 
Mkuu EMT hata akina mama nao ni vurnerable, as the sayong goes ..."wakati wa vita wanaoteseka ni akina mama na watoto". Je tuseme akina mama nao wasiende kwenye mikutano?..(.or rather mikutano ya CDM?). Ni kwenye siasa hizi zilizoanzishwa na akina Mwigulu Nchemba tu ndipo tunaweza sasa kuanza ku-label mikutano ya siasa; mikutano ya makanisani na ifananayo.... "KEEP AWAY FROM CHILDREN"

Kwa hiyo, una-suggest nini? Kwa vile watoto ni vulnerable kama wanawake basi wawe wanahudhria kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa kwa wingi?

Everyone is vulnerable. Lakini kwenye jamii na pupolation yoyote kuna individuals na makundi ya watu ambayo ni more vulnerable than others to come to harm.

Kwa kawaida watoto wadogo, wazee waliokula umri, wagonjwa na disable people are particular vulenerable katika jamii yoyote either in the times of peace or war.

Of course, kwenye jamii nyingine kama zetu wanawake wanaweza kuwa vulnerable lakini sana sana kwenye abuse, ubaguzi na hatred. Lakini linapokuja suala la mikutano ya hadhara hasa hii ya kisiasa ambayo hata helath and safety ni kama hakuna, children are more vulnerable na wengi hawatajua wafanye nini kama kukitokea mfarakano.
 
Back
Top Bottom