VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

Haya bhana! najiuliza wamestahili kujeruhiwa na kufa kisa madaraka ya kisiasa au kuna kingine????
 
Ndiyo maana sasa wameanza kunyoosha kauli zao. Unajua CHAGONJA alidhani kuwa Mh. Mbowe anapiga blabla za politics ndiyo maana akampiga mkwara. Sasa tumuulize tena bado anautaka ushahidi??? Na hapa sasa Mh. Lukuvi ndiyo anaanza kuvuliwa nguo yeye na serikali yetu tukufu.
 
Tuleteeni ya wahusika. Hizi nyingine hatuzitaki mazwe. Hazinaflavour kabisa.
 
CHADEMA: Mlipuaji wa Bomu la Arusha ni Polisi, Hatukubali mauaji ya aina hii Published on 18 Jun 2013 Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 18/06/2013 Makao Makuu ya CHADEMA amesema CHADEMA inao ushahidi wa video kuwa aliyelipua bomu kwenye mkutano wa Chadema Arusha ni Polisi na Polisi wenzake wakamsaidia kutoroka Source: chadematv youtube
 
Last edited by a moderator:
Tumekuwa tukihoji hapa kwa nini watoto wadogo wanakuwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa. Is it worth?

Maana katika sehemu za mikusanyikao mikubwa kama hiyi, watoto wako kwenye hatari zaidi hasa kukitokea purukushani ya aina hiyo.

Hata hivyo, aliyetupa hilo bomu, akimwona huyo mtoto alivyoumia sijui atasemaje?

Dhumuni lake hasa lilikuwa ni kumdhuru mtoto kama huyo?
 
Tumekuwa tukihoji hapa kwa nini watoto wadogo wanakuwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa. It is worth?

uhai ni uhai mkuu, hakuna mtoto wala mtu mzima!
 
Mwigulu aliporudi kutoka China huku amefuga mindevu bila mpangilio, ndani ya moyo wangu ukawa unanieleza kua huyu mtu SI binadamu tena. Kuna kitu cha kikatili sana huyu mtu alienda kujifunza huko China, na hii yote ni muendelezo wa mipango yake ya kijinga.

Baada ya kuona ishu ya Lwakatare imeenda mrama, sasa ameamua kuua kabisa. Mwigulu SI binadamu tena....
 
Salary Slip, Nambalapala, Mwigulu, Ritz, Lilambo, Lizaboni, Chriss Lukosi, Nape, Mwampamba, Juliana Shonza na wengine.... endeleeni kuwatetea hao wanaowatuma na mnaowaita wasikivu, lakini damu iliyomwagika itakuwa juu yenu na vizazi vyenu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tumekuwa tukihoji hapa kwa nini watoto wadogo wanakuwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa. It is worth?

Maana katika sehemu za mikusanyikao mikubwa kama hiyi, watoto wako kwenye hatari zaidi hasa kukitokea purukushani ya aina hiyo.

Hata hivyo, aliyetupa hilo bomu, akimwona huyo mtoto alivyoumia sijui atasemaje?

Dhumuni lake hasa lilikuwa ni kumdhuru mtoto kama huyo?

EMT
Muuaji siku zote kwake huwa ni furaha,anachokiangalia ni malengo yake yametia ili apate kile alichokuwa akikipanga
lakini uwepo wa watoto ktk mikutano si vibaya,kwani nao wanajifunza siasa kupitia njia hiyo
tatizo ni pale wabaya wanapofanya mabaya pasi ya kuangalia nani yupo wapi.wanaroho mbaya na si watu wema ktk familia zetu za ujamaa nakujitegemea.
tuwakemee na kamwe wananchi hawawezi kutishika na haya,maana kama wangetishika wasingeonekana siku ya pili eneo la tukio.
TUSIPO FANYA SISI NANI ATATUFANYIA? je tunasubiri wawekezaji ktk ukombozi wa kifira?
 
Ndiyo maana sasa wameanza kunyoosha kauli zao. Unajua CHAGONJA alidhani kuwa Mh. Mbowe anapiga blabla za politics ndiyo maana akampiga mkwara. Sasa tumuulize tena bado anautaka ushahidi??? Na hapa sasa Mh. Lukuvi ndiyo anaanza kuvuliwa nguo yeye na serikali yetu tukufu.

wapi sasa alipovuliwa nguo. mbona hiyo video haina kitu kipya. tunataka watuonyeshe wapi video imewonyesha polisi akirusha hilo bomu na jinsi polisi walivyomtorosha mrusha bomu
 
Back
Top Bottom