La hasha! Nina-suggest kuwa hata wanawake WASIWE wanahudhuria mikutano ya hadhara ya kisiasa (hasa ya CDM) na ile ya makanisani.. If you know what I amean.
If that is your view regardless of what you mean. Kuhusu makanisani huwa hawafanyi mikutano ya hadhara bali wanafanya ibada.
Ni toka lini mikusanyiko hiyo niliyoitaja imeanza kuwa maeneo hatarishi?
Huwa unasubiri kwanza tatizo litokee ili utafute solution? Wakati watu wakisema kuwa Tanzania hakuna tena amani, wewe ulikuwa unadhani wanamaanisha nini hasa? Some saw this coming ages ago. Others are not even surprised with what happened in Arusha.
Je kundi gani laweza kuwa salama kwenye makusanyiko kama hayo ikiwa matishio sasa ni mabomu na risasi za moto?
Everyone regardless of gender or age is entitled to security whether wakiwa kwenye mkusanyiko or popote pale. Whether or not kuna matishio ya mabomu na risasi za moto does not remove the naked fact that children are more vulnerable. Hata kama kilichotokea kingekuwa ni natural disaster, it is likely that watoto waliokuwa pale wangekuwa kwenye risk zaidi.
Je kuna haja ya kuwa na hayo makusanyiko anyway (are they worthy vifo na vilema hivi)?
In fact kwangu, naona mikutano ya hadhara ya kisiasa imepitwa na wakati. Watu kibao kwenye hiyo mikutano lakini wanaopiga kura ni wachache. Piga mahesabu idadi ya watu waliohudhuria mikutano ya hadhara katika uchaguzi wa mwaka 2010 na waliopiga kura.
Mikutano ya hadhara ilikuwa ni ya CCM, ambapo wanaleta mpaka wanamuzi kutumbuiza. Walikuwa mpaka na bendi yao ya TOT. Vyama vya vingine vya siasa vimekopi na kupaste tuu bila kuangalia how effective the method is katika kuwa-engage watu na kuhakikisha wanapiga kura.
Kama ukiangalia kwenye hiyo video bomu lilipotupwa na kulipuka watu wengi pale hawakujua kilichotokea kutokana na mziki mkubwa uliokuwa unapigwa. Hata baada ya bomu kulipika, mziki uliendelea kupigwa as if nothing happened mpaka ulipozimwa baadae na wananchi kuambiwa wakimbie.
They need to be creative in finding other ways of how to engage people. Unless kuna ulinzi na usalama wa kutosha, siasa za majukwaani hazina tija. Hakuna cha maana tunacho-gain kwenye hii mikutano zaidi ya chokochoko za kisiasa, siasa za majitaka, majibizano yasiyokuwa na tija na kulaumiana, and probably vifo sasa.
Anyway inawezekana ndiyo utamaduni wetu, but how effective is these mikutano ya hadhara? How do you assess kama mkutano wa hadhara ulikuwa na mafanikio? Kwa kuangalia idadi ya wahudhuriaji? Kuzomewa au kushangiliwa? Kuhudhuriwa na watoto wengi? Au kugawa na kurudishwa kwa kadi?
Ni wakina nani hasa wanaohudhuria kwenye hiyo mikutano kama siyo wale wale wafuasi wa chama kinachoendesha huo mkutano? Kwa nini kusiwe na njia nyingine ya kureach out wale ambao bado wako undivided au ni wafuasi wa vyama vingine na kuwapa sera na alternatives?
Sisemi mikutano ya kisiasa ya hadhara haina tija kwa sababu ya yaliyotokea Arusha, bali nimekuwa nikiyasema haya kwa muda mrefu tuu in the context ya kuwa-convert wahudhuriaji wa hiyo mikutano kuwa wapiga kura na hatimaye kukupigia kura.