VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

Ni masikitiko makubwa mno,MUNGU wetu aliye na ufahamu upitao fahamu zotee atuongoze kukipita kipindi hiki kigumu katika taifa letu,
 
Kwangu mimi polisi ni adui namba moja siwezi msaidia hata awe na shida ya kiasi gani..
 
Ukisoma michango ya watu wengi hapa inajaribu kudhihirisha ninachokiandika hapa mara kwa mara. Watu wengi hawapendi kinachoendelea lakini hawajui kama wanataka mabadiliko. They are sad kwa maana ya kisikitishwa na kilichotokea na kuamua kumwachia tuu Mungu kutatua tatizo.

Ndiyo maana posts kama hizo zimejaa maneno ya "sad" na "Mungu". Watu wengi bado wako kwenye stage ya "sadness" juu ya kilichotokea. They are not "angry" yet. Na ndiyo maana wameamua kumwachia Mungu maana kama wangekuwa na hasira lazima wangetaka changes. Wangechukua hatua to stop that happening again.

"Usually when people are sad, they don't do anything. They just cry over their condition. But when they get angry, they bring about a change - Malcolm X" .

Kwa posts kama hizi mzitegemee changes zozote unless wawe na hasira na kilichotokea. Unless watu wachukizwe na matukio kama haya, bado yataendelea kuwepo na sidhani huyo Mungu atakuwa radhi kusaidia watu ambao hawachukui hatua zozote kutatua matatizo yao zaidi ya kusikitika kama hawa hapa chini.


Too sad.....mungu yupo we all believe that. laaaa

Mungu wangu,

inasikitisha sana , …

nimeangalia sina cha kusema ila tu :Mungu uwasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo:

Mungu wangu!

tumuombe mungu atusaidie 2 epukane na ili janga

I am speechless but crying!!! ..........WHYYYY????

No no no pls. Jesus Christ ! Huu ni unyama Wa hali ya juu oh my God.

roho inauma sana tena sana-damu iliyomwagika Mwigulu atakuja kuilipia tena hapahapa duniani

Hatari sana...ila mzee mungu hataniwi..

speechless!!!!

Huyu ndo kabisa hataki kuona.

TAFADHALI weka onyo unapoweka picha ambazo ziko sensitive kama hizo
 
Mungu tu ndie ajuaaye,huu ni unyama wa hali ya juu kabisa,Sasa kina Mwigulu wanashangilia kama tutakumbuka ni juzi tu hata video yake ipo kwa youtube aliwaambia wana Arusha wasiende kwenye mikutano ya Chadema maana watakufa na kweli wamekufa sasa hapa si ushahidi upo wazi kwa nini watoe ofa ya Milioni 100 wakati Mwigulu alitaamka akiwa jukwaani wakati wa kumnadi mgombea udiwani wa CCm wakiwepo kina Juliana Shonza na Mwampamba hawa wanafahamu deal lote from A to Z so hawa moja kwa moja ni watuhumiwa wa kwanza na hizi Milioni 100 wakanunue madawati ya shule na sio kutuchanganya wananchi.Pia kama itakumbukwa juzi hapa kwa ukurasa wa Facebook wa Juliana Shonza aliandika kwa kuchekelea kutekwa na kuteswa kwa Mh Jushua Nasari na kuongeza Nasari kakimbia na kucha gari na kangolewa meno haha haha Ogopa masai weye haya ndio yalikuwa maneno yake huyu mwana dada.So hapa moja kwa moja ni kwamba mpango wote wa utesaji,utekaji nyara wa wanaChadema na viongozi wake kila kona ya nchi,ulipuaji wa bomu Arusha ni mpango mzima ambao umeratibiwa na mtandao wa CCm,Serikali na PoliceCCm hapa hakuna ubishi sema atakaye bisha atakuwa na matatizo ya ulemavu wa akili.Na watu wa aina hii hatuwezi kuwalaumu moja kwa moja kwani si kupenda kwao.
 
Huu ni unyama Wa Hali ya juu kwa raia wasio na hatia uliopangwa kulinda maslahi ya mafisad!

Je hawa mafisadi wataishi milele?
 
Tumekuwa tukihoji hapa kwa nini watoto wadogo wanakuwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa. Is it worth?

Maana katika sehemu za mikusanyikao mikubwa kama hiyi, watoto wako kwenye hatari zaidi hasa kukitokea purukushani ya aina hiyo.

Hata hivyo, aliyetupa hilo bomu, akimwona huyo mtoto alivyoumia sijui atasemaje?

Dhumuni lake hasa lilikuwa ni kumdhuru mtoto kama huyo?
watoto walitoka Madrasa au hujafuatilia mchakato mzima.
 
Lakini katika mkusanyiko kama huo watoto wako kwenye risk ya kupoteza uhai wao.

Children are vulnerable na wakati wa vurumai kama hiyo hakuna atakayemjali mtoto.

Wataishia kukanyagwa kanyagwa tuu.

Mkuu EMT hata akina mama nao ni vurnerable, as the sayong goes ..."wakati wa vita wanaoteseka ni akina mama na watoto". Je tuseme akina mama nao wasiende kwenye mikutano?..(.or rather mikutano ya CDM?). Ni kwenye siasa hizi zilizoanzishwa na akina Mwigulu Nchemba tu ndipo tunaweza sasa kuanza ku-label mikutano ya siasa; mikutano ya makanisani na ifananayo.... "KEEP AWAY FROM CHILDREN"
 
Last edited by a moderator:
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili


WANAJF,

Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.



Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube


Inasikitisha sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom