The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
View attachment 1982026
Huyu ndiye Jaji ambaye aliamua kutotenda haki sababu ya cheo tu
Amepewa cheo katika mazingira ya kushangaza na katika wakati usio tarajiwa! Na yeye akakubali kwa mikoni yake miwili kumtumikia Shetwani Ibilisi!View attachment 1982026
Huyu ndiye Jaji ambaye aliamua kutotenda haki sababu ya cheo tu
Naombeni namba ya simu ya huyu Jaji.View attachment 1982004
Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe....
Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...!
Huyu kajitoa si kwa sababu eti ya majukumu yake mapya ya ujaji kiongozi, la hasha...!
Ni kwa sababu NAFSI YAKE IMEBEBA HATIA [guilty conscious]. Anaona giza mbele yake. Anamtumikia ibilisi shetani. Na shetani hana mzaha, atamtumikia weeeee lakini mwishoni anammaliza kwa kumchinja yeye. Ndivyo ilivyokuwa kwa Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu Kristo...!!
Hapo awali alijitahidi sana kuonekana ni mtu wa haki lakini mwizi ni mwizi tu japo atajifanya kuvaa ngozi ya mwanakondoo asiye na dhambi lakini mwisho wa siku atajionesha tu kwa ngozi yake halisi ya chui....
Hii ndiyo picha ya Jaji Mustapha Siyani ambayo mtu anaweza kuichora. Hakika, hii haina shaka yoyote kuwa huyu naye ni mshirika wa ile syndicate ya uhalifu wa kidola...
Jaji Siyani amemaliza kipande chake, anakuja Jaji mwingine miongoni mwa syndicate ileile ya waliokwisha kuapa kuwa lazima wampoteze Mbowe na CHADEMA...
Swali ni wataweza? Mpango wao huu muovu utafanikiwa?
Msikilize wakili huyu akichambua makosa ya kisheria ya hukumu ya Jaji Mustapha Siyani...
Mahakama na Polisi sio tena sehemu za kupata HAKI inabidi turudi kwenye kurogana tuu.Kwa hakika Mahakama ya Tanzania sio tena kimbilio la kupata haki..
Wakili ameeleza vizuri katika hiyo audio clip..hata ambaye hajui sheria anatamuelewa vema..
Lakini pale tu huyu Jaji alivyopewa Ujaji Kiongozi nilijua ndio basi tena hakuna HAKI katika hili shauri.
View attachment 1982004
Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe....
Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...!
Huyu kajitoa si kwa sababu eti ya majukumu yake mapya ya ujaji kiongozi, la hasha...!
Ni kwa sababu NAFSI YAKE IMEBEBA HATIA [guilty conscious]. Anaona giza mbele yake. Anamtumikia ibilisi shetani. Na shetani hana mzaha, atamtumikia weeeee lakini mwishoni anammaliza kwa kumchinja yeye. Ndivyo ilivyokuwa kwa Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu Kristo...!!
Hapo awali alijitahidi sana kuonekana ni mtu wa haki lakini mwizi ni mwizi tu japo atajifanya kuvaa ngozi ya mwanakondoo asiye na dhambi lakini mwisho wa siku atajionesha tu kwa ngozi yake halisi ya chui....
Hii ndiyo picha ya Jaji Mustapha Siyani ambayo mtu anaweza kuichora. Hakika, hii haina shaka yoyote kuwa huyu naye ni mshirika wa ile syndicate ya uhalifu wa kidola...
Jaji Siyani amemaliza kipande chake, anakuja Jaji mwingine miongoni mwa syndicate ileile ya waliokwisha kuapa kuwa lazima wampoteze Mbowe na CHADEMA...
Swali ni wataweza? Mpango wao huu muovu utafanikiwa?
Msikilize wakili huyu akichambua makosa ya kisheria ya hukumu ya Jaji Mustapha Siyani...
Tz sasahivi siyo sehemu ya haki tena ni sema hatari sn