KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,551
- 813
Na mitungi ya Oxgen.Angalizo tu Ambulance isikae mbali nae.
Na mitungi ya Oxgen.Angalizo tu Ambulance isikae mbali nae.
Imana ihimbazwe!Imana Niyonkuru!!
Alikuwa wanasumbuliwa na nini?
siri yake na waliomtibuAlikuwa wanasumbuliwa na nini?
Je! Mwana wa Adamu atakaporudi ataikuta imani duniani?
Story ingekuwa kama amekufa kama ulivyokuwa una muombea?Hii nayo ni story???
Kunywa sumu ufeSo what?
Vipi mbona kama umenuna mkuu! Maana ulikuwa unashangilia sana kuumwa kwakeKweli - jamaa kachungulia karudi - Hongera kubwa kwake !! Mungu ni mwema azidi kumtumainia yeye tu na kutenda yaliyo mema.
hapana Mungu kamponya ni jambo la kushukuru mno. Na Mungu akitenda basi ana makusudi yake yawezekana karudi ili kuja kujaribu kuwaambia wakubwa zake jambo - tunasuburi.Vipi mbona kama umenuna mkuu! Maana ulikuwa unashangilia sana kuumwa kwake
Nakuona ''Atheist'' katika ubora wako!Maombi ni uhuni ama utapeli kama utapeli mwingine. Hakuna kitu kinachoitwa maombi kinaweza kumsaidia binadamu.
Safi sana kama amerejea ofisi,Glory to God.
Pole sana. Endelea kuchukua tahadhali kujikinga na kuwakinga wenzio. Mzigo huu siyo mwepesi.
Kwahiyo hali yake imerudi kama awali Mungu ampatie nguvu zaidi, taifa bado linamuhitaji