Hiyo mbona irrelevant!
Humo CDC wana insist, lakini Politicians ndiyo wanaotangaza to put to an end with the aim of reopening and and getting back to normal.
Sasa sijui ulilenga ku prove nini hapo.!
CDC unfortunately iko compromised na wanasiasa. Hili gonjwa la Covid lina ugonjwa, siasa na biashara ndani yake. Bahati mbaya watu mnaangalia ugonjwa tu na hamuoni sehemu mbili zilizobakia. Na hapo ndio wengi wataumia.
Nikupe mfano hai, kama una lengo la kuelewa. California ni moja kati ya majimbo Marekani yalikuwa strict kwenye Covid. Baada ya wananchi kuchoka udikteta wakaamua kujusanya sahihi kulazimisha uchaguzi. Ghafla baada ya kuona kibarua kinaelekea kuota nyasi akaanza kulegeza masharti kipindi ambacho alidai ni hatari siku chache nyuma. Na sasa anatafuta fedha ili afungue mashule yote.
Covid imeondoka ghafla? Jibu ni hapana. Mengi ya maamuzi yalikuwa ya kisiasa na ndio maana alikuwa akiyavunja mara nyingi tu.
Issue ya barakoa wengi huongea bila ufahamu. Barakoa zinazozuia virusi ni ghali na wengi, hasa nchi za kwetu hatuzitumii. Hizi tunazozitumia hazikutengenezwa kuzuia virusi na nyingi zinakuwa sub standard. Kwa hiyo kuvaa barakoa kunampa psychological confidence mvaaji ila kiafya hazizuii virusi (isipokuwa kama unevaa zile zilizoundwa kuzuia virus)
Pili kwenye barakoa wengi hukosea kuvaa. Wakiwa wanaongea wanashusha kidevuni. Which means kama kuna virusi walikuwa kidevuni ukiipandisha unawaingiza kwenye njia ya hewa. Kwa hiyo wengi wanaovaa barakoa wana risk kubwa kutokana na misuse.
Tatu, kuvaa barakoa muda mrefu kunaweza kukusababishia infections kwenye mfumo wa hewa. Rejea utafiti wa Dr. Fauci et al juu ya spanish flu.
Kuna mengi ila hiwa nawashauri Watanzania haswa wanaoamini barakoa ni kinga, wasigeuke Gestapo kwa wale wasioamini. Kila mtu afuate anachoamini. Kama hutaki kukutana na wasiovaa barakoa, kaa zako home, maisha yaendelee. Vinginevyo wanaweza jikuta ni madikteta wasio na madaraka.
Anyway, nimeandika zaidi ya nilivyokusudia, naamini kuna mtu atasaidika.