Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,112
- 1,249,111
Aiseee hii ni mada kesi kabisa aki na pipiro tangu lini wakakataliana
Sichezi tena na wewe...Aiseee hii ni mada kesi kabisa aki na pipiro tangu lini wakakataliana
uwiiii unamsingizia Numbisa
Kweli kabisa ananisingizia kwanza kabisa sikuwepo eneo la tukio ila alinitumia huu ujumbe ati ndio ngao yake![]()
Swali mubashara eti nani bwege hapo?
Mkuu Numbisa njoo mwenyewe useme ukweli wako hapa najua utanisaidia.
Valentina ukiona vinaelea vimeundwa jamani. taratibu na barua zako , duuuuh
Haaaa project ya kazi, nimeshaibiwaHalafu fanya tuonane giza likikolea tufanye ile project
Sichezi tena na wewe...
Ukiaambiwa ukwel unasema kashfaUwiii kama ni kashfa leo zimezidi ngoja niongeze spidi ya kuutumbua waraka
Hata charger zetu zina mvuto.... tukuchajie simu yako??
Kama zilivyo charger zetu
Basi ngoja nikuletee kalaputopu kangu ukaweke kwa upaja wako....Hee(nimepotea njia)
Basi ngoja nikuletee kalaputopu kangu ukaweke kwa upaja wako....
Kanatumia battery za National
Tuzifiche chaja zetu... ishakuwa tabu sasa