Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Itokee bahati mbaya nikamwazima chaja bila ridhaa yako...naomba unieleze kwanza itokee nini? nitakujibu baada ya hapo
Itokee bahati mbaya nikamwazima chaja bila ridhaa yako...naomba unieleze kwanza itokee nini? nitakujibu baada ya hapo
hiyo charge si ulisema ni yangu na wewe tu? au umebadilika lini?Itokee bahati mbaya nikamwazima chaja bila ridhaa yako...
uwiiiiii, nitalia na nani mie. Kwa hiyo Vale ndo kakudanganya mie shosti yake? mlikuwa wapi hadi muongee hayo maneno mingi mingi hivyo?
hahahahahahhaha mkuuu umeua kabisaaa
Bora ujisemee ukweli ndugu yangu. Kwan na wewe huwa unaazimaga chaja?
Aliniandikia barua. Hiyo barua aliniletea Numbisa. Numbisa ndo alinambia nikubali kumwazima... Si mtu mzuri kabisa... Uzuri Bonny na Raimundo ndo waliniambia nisithubutu. Wanakuheshimu sana shemeji yao. Nami sikuiazima tena kwa heshima yao na kwa mapenzi yangu kwako.
uwiiii kumbe huwa wanaenda wengi kuazima chaja kwake.
uwiiii unamsingizia Numbisa
uwiiii kumbe huwa wanaenda wengi kuazima chaja kwake.
Asprin si nilikuambia ukinichoka uniambie tu mie nitakubaliana na mawazo yako?
kwa nini unanifanyia hivi lakini? please moyo wangu mie umesahau kazi yake cjui.
wakati umewaahidi kitu.Sawa kabisa, nataka msiazimishe chaja kama ambavyo mimi siazimishi. Nyie ni ndugun zangu wa ukweli yani...
wakati umewaahidi kitu.
niambie tu ukweli bhana.
Raimundo njoo unisaidie hapa naona kama unafaa kwenye hili.
utakuwa witness namba moja upande wangu.
uwiii mbona naanza kutokuamini jamanNoo, siyo wanaenda, alisema ikitokea wakaenda wengi ndo atawaelekeza wengine waje kuazima kwetu, ila mpaka sasa tukimuuliza anasema hawajaenda!
Kwa hiyo mimi najua bado hawajaenda, labda kama anatudanganya na sisi pia.
Baby, hujamsoma vizuri mtumishi Raimundo .... hebu msome vizuri hapo chini.... msisitizo hapo kwa red...uwiiii kumbe huwa wanaenda wengi kuazima chaja kwake.
Asprin si nilikuambia ukinichoka uniambie tu mie nitakubaliana na mawazo yako?
kwa nini unanifanyia hivi lakini? please moyo wangu mie umesahau kazi yake cjui.
Noo, siyo wanaenda, alisema ikitokea wakaenda wengi ndo atawaelekeza wengine waje kuazima kwetu, ila mpaka sasa tukimuuliza anasema hawajaenda!
Kwa hiyo mimi najua bado hawajaenda, labda kama anatudanganya na sisi pia.