Sawa shemeji yangu mzuri.hapo sasa nimeelewa.
usiteleze tena my shem.
It's true,Kuna jamaa aligawa talaka asee.Nimeshuhudia hii kitu!Hii siku kuna watu wanapewagwa talaka
asante shemeji naona wewe unajua maana ya Valentine watu hatutaki fujo.Sawa shemeji yangu mzuri.
ha ha ha ha mzee mwenzangu huu mwez na kuazimisha charger huku kutaleta shida
hii kauli kipind anatamka kama kulikua na mwangwi mwangwi sikuisikia vizur na uzee huu labda Raimundo kijana aseme yeye
hakiharibik kitu sie ni watu wema na hatupend mzee akupoteze jje's ila kama unamuamin Numbisa wakat yeye alikua anvizia ile power bank sijui kama utapata jibu sahih
Nachojua ni kwaajili ya wapendanao shemeji yangu mzuri!..Kwani kuna kingine kuhusu hii valentine.asante shemeji naona wewe unajua maana ya Valentine watu hatutaki fujo.
ndugu yangu Raimundo mie na babu tuna rule namba 3 yeye anaijua sasa kama wote charger tunazo na yeye anataka kucharge kila sehem mmh napata shaka
Siku yenye mambo mengi Sana. Ikiwemo mimba zisizo na babaIt's true,Kuna jamaa aligawa talaka asee.Nimeshuhudia hii kitu!
Unapenda kuambiwa wewe!.niambie hiyo rule namba 3 jaman mbona majanga?
Kuna mimba isiokua na baba kweli?Nayoijua ni ile ya yesu,kumbe na zingine zipo!Siku yenye mambo mengi Sana. Ikiwemo mimba zisizo na baba
Baby huo ni mfano tu ametoa lakini sio kweli, hata umuulize Chachasteven na Valentina atakwambia... Labda kwavile mi na valentina tuna project ya kikazi
huo ni wimbo wa Boyz II Men- Ends of the road
Afadhali umesema wewe,ningesema kuhusu ile project yenu asingeamini.Baby huo ni mfano tu ametoa lakini sio kweli, hata umuulize Chachasteven na Valentina atakwambia... Labda kwavile mi na valentina tuna project ya kikazi